mbowe

  1. Leslie Mbena

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Mtemi mwingine wa kupambana na Mbowe?

    YUKO WAPI MTEMI MWINGINE WA KUPAMBANA NA MBOWE!? Leo 15:15hrs 14/05/2021 Sabaya anaonekana kufanya makosa kwa sababu ya aina za siasa za Arusha, ndio maana juzi kaongea Sabaya hapa Tanzania, akajibu Godbless Lema akiwa Canada, na sababu nyingine ni "spotlight" iliyokuwepo eneo lake la utawala...
  2. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe: "Mtu anaweza tu akashangiliwa kwenye majukwaa akapigiwa kura, lakini hakuna meritocracy (uwezo)". Je, dawa mujarabu ni ipi?

    SWALI LANGU: Ni utaratibu upi mpya utumike katika kupata watendaji bora wa kisiasa mbali na huu wa sasa ambao baadhi ya wakongwe wa tasnia hii (Freeman Mbowe) wanaona kuwa haufai? Habari zenu ndugu zangu wa jamiiforums. Jana siku ya Jumatatu May 10, 2021, wakati ninapitia makala kadhaa katika...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mbowe anashambuliwa kama mpira wa kona, huku Ndugai kule Sabaya? Au Freeman ni mti wenye matunda?

    Nijuavyo kwa sasa Mbowe amebakia kuwa mwenyekiti wa CHADEMA tu hana vyeo vingine nje ya chama chake. Kama ni kupoteza ubunge hata mwenyekiti wa NCCR Mageuzi mh Mbatia amepoteza, boss wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe amepoteza sasa kwanini kwa Mbowe inakuwa nongwa? Yohana nauliza kwanini Freeman...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Katika hili la Rais Samia kuwaamini Wapinzani Freeman Mbowe ana mchango mkubwa, apongezwe

    Wote tunajua serikali ya Rais Samia ina waziri mmoja na manaibu waziri watano waliopitia kwenye mikono ya Mbowe kimalezi pale Chadema. Tunaye waziri Kitila Mkumbo na tunao manaibu waziri Mwita Waitara David Silinde, Gekui, Dr Mollel na Patrobas Katambi wote wakiwa wamelelewa na Mbowe. Pia...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Awamu hii Spika angekuwa Zungu kasi ya maendeleo ingeongezeka, Job anapenda ligi na Mbowe ambayo ni yao binafsi

    Kwa namna ninavyosikiliza hotuba za Rais Samia halafu tungekuwa na Spika asifungamana na siasa za kishabiki kama Zungu wa Ilala hakika uchumi ungepaa. Mambo ya kila siku kuisema Chadema na Mbowe ambao hawako bungeni ni matumizi mabaya ya kodi zetu. Nataka kujenga Umoja wa kitaifa by Rais...
  6. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Sasa ni Dhahiri Mbowe ni Mwalimu wa siasa Tanzania

    Ukiachilia mbali kwamba Mbowe ni Mwenyekiti wa CHADEMA , Chama cha siasa kilichoshambuliwa zaidi barani Africa kikifuatiwa na ANC ya Africa Kusini enzi za makaburu , Lakini pia duru za kisiasa za dunia zinamtaja Mbowe kama Mwenyekiti bora wa chama cha siasa kuwahi kuwepo barani Africa tangu...
  7. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Lissu ambana Mbowe: Aelezea Historia yake, adai hajawahi omba kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA, "Nimekijenga chama kwa jasho na nguvu zangu"

    Ningependa niweke wazi na Watanzania wakielewe, sijawahi kuomba kuwa mwenyekiti kwa mtu yeyote, mwaka 2004 nilikuwa Mwenyekiti baada ya wajumbe wa kamati kuu na wazee wa Chadema kunipendekeza kutokana na historia na commitment yangu ya chama. Nilianza harakati za kuijenga Chadema baada ya kuona...
  8. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kupokea mamluki alilizalisha Mbowe mwaka 2015. Huyu mwenyekiti hafai

    Mwaka 2015 Mbowe alifanya juu chini ili ampe nafasi Lowassa ya kugombea urais. Na ndipo hapo akakaribisha mamluki kibao toka CCM ambao walikuja kuharibu morali na nguvu tuliyokuwa nayo makamanda tuliotaka ukombozi wa kweli. Leo hii wanarudi CCM na kutuacha tena kwa dharau na kebehi. Mimi nasema...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Mbowe Ikulu kama itakuwa ya kizalendo namuona Dr Tulia akikaimu Uspika na kuutwaa kabisa

    Kama Mwenyekiti wa CHADEMA mh Mbowe katika mazungumzo yake na Rais Samia ataamua kuwa wazi na kumweleza ukweli Rais namna akina Halima Mdee na wenzake walivyotinga bungeni basi ni wazi kuna kiongozi mkubwa Bungeni atalazimika kujiuzulu. Je, Mbowe ana ujasiri wa kukilinda chama na kuweka pembeni...
  10. Ileje

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amekubali ombi la kukutana na Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe

    Katibu Mkuu wa CHADEMA Mh. John Mnyika ametoa taarifa kuwa Rais Samia amekubali ombi la Mh Mbowe kukutana naye katika tarehe itakayopangwa baadaye. https://www.jamiiforums.com/threads/hotuba-ya-mwenyekiti-wa-chadema-freeman-mbowe-aliyoitoa-jana-aprili-11-2021.1858436/ Naomba kuwapa taarifa...
  11. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Kama mwaka 2015 Mbowe aliwaingiza mkenge na mkawa wapole kuweni wapole kwa lolote lile

    Mwaka 2015 wanachadema waliingizwa mkenge wa hali ya juu na walikuja kushutuka baada ya kuwa wameshatumiwa na wanasiasa wajanja. Mpaka leo wapowapo tu kama vile hawana dira. Mwaka 2020 baada ya kuona chama chake anachomiliki ndugu Mbowe kuwa kitakosa ruzuku alifanya makaratee. Sasa anata ruzuku...
  12. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Lipumba amekua Mwenyekiti wa CUF miaka 26, Mbowe wa CHADEMA miaka 17, Zitto wa ACT Wazalendo miaka 7, Jumla miaka 50

    Vyama vya upinzani tunapokua tunalilia demokrasia hapa Tanzania huwa tuna maana gani iwapo kwenye vyama vyetu tu hatuna demokrasia. Leo viongozi wa vyama vya siasa Tanzania wana combined leadership period of more than 50 years. Kama nilivyoeleza kwenye kichwa cha mada hapo juu, Lipumba alipewa...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Spika usiruhusu wabunge waongo waongo kuchochea chuki, Mbowe alisema biashara zake zimefungwa na TRA

    Natoa tu ushauri kwa kiti cha Spika kwamba siyo vema wala haki kuruhusu wabunge kuchochea chuki na fitna kwa jamii tena kwa watu ambao hawako bungeni. Nilivyomsikia Mbowe ni kwamba biashara zake zimefungwa na TRA baada ya kushindwa kulipa kodi ya tsh 2 bilioni ambayo anaipinga. Mbowe aliongea...
  14. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Mbunge: Mbowe alidanganya Watanzania, Biashara zake hazikufungwa na Serikali bali Wanafamilia yake

    Mbunge wa Viti Maalum kutoka CCM, Jackline Ngonyani, amesema Mwenyekiti wa CHADEMA aliwadanganya Watanzania kuhusu Serikali kufunga biashara zake na kumyanyasa. Amesema biashara anazozifanya Mbowe ni za urithi wa Familia na alikuwa anazifanya bila kuwapa mrejesho Wanafamilia ndipo walipokwenda...
  15. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Tofauti kubwa kati ya Mbowe na Tundu Lissu

    Freeman Mbowe Mbowe kwa upande wa akili. Hana. Ila anajitahidi wakati mwingine kuonesha ana busara. But angekuwa na akili na busara angekuwa mwanasiasa mzuri zaidi. Kuna kipindi sababu ya kukosa akili anakosea steps. Mfano: Suala la kusema alivamiwa akapigwa kuvunjwa mguu halikuwa na ukweli...
  16. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe: Rais Samia Suluhu anateswa na kivuli cha Magufuli

    Kwa wasiojua kiswahili .
  17. MPUNGA MMOJA

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kukutana na viongozi wa Vyama vya Siasa

    Rais Mama Samia Suluhu ametangaza atakutana na kuzungumza na vyama vya Upinzani chini. katika kujenga muktadha wa demokrasia nchini.
  18. beth

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Mijadala Bungeni haina afya kwa Taifa. Tufanye kazi kama Bunge linavyotakiwa kufanya kazi

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema amekuwa akifuatilia mijadala ya Bunge na kuongeza kuwa kuna mijadala isiyo ya afya kwa Taifa Amesema: "Kipindi hiki ndugu zangu Wabunge tunatakiwa kupitisha Bajeti za Sekta mbalimbali za Serikali kwa ajili ya maendeleo ya Taifa. Naomba jikiteni sana...
  19. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Ukiingia kwenye mitandao ya kijamii kuna uzandiki mwingi sana

    "Ukiingia kwenye mitandao ya kijamii kuna uzandiki mwingi sana, kila mtu anazusha lake, naomba sana viongozi wa dini mlikemee hili na mengine yote yanayoenda kinyume na maadili na miiko yetu. uzandiki: hali ya unafiki, udaku, umbeya, uongo. Wanafiki mama anawaonya acheni unafiki Wambeya mama...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Haya ndio matatizo ya kumpa Kibajaji dakika 15 ili amshambulie Mbowe, yeye akawashambulia viongozi wakuu na wabunge wenzie

    Nilisema hapa kitendo cha kumteua Kibajaji kuwa mchangiaji mkuu wa hotuba ya Waziri Mkuu kwa kumpa dakika za upendeleo 15 hakikuwa cha busara. Matokeo yake Wabunge wote waliofuatia nao wakawa wanapita mlemle ama kuegemea kwa hayati Magufuli au kujipendekeza kwa Rais Samia badala ya kujadili...
Back
Top Bottom