mbowe

  1. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Je, CCM huwa inaamua mpinzani gani aende Bungeni? Kama ndio, ina maana Mbowe na genge lake walibwagwa kimkakati?

    Hiki chama kinachotawala hapa nchini kwetu kina mtandao mpana sana. Hii ni kwa mujibu ya historia yake na jinsi kilivyojijenga kisiasa. Ndio maana ukiwazingua wanakuweka kando na kukushit. Inasadikiwa kuwa Mbowe na genge lake CCM haiwataki kabisa, maana wamekuwa hawana uzalendo. Swali...
  2. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya Kurugenzi CHADEMA Makao Makuu hayatakuwa na tija bila kumng'oa Mbowe

    Ni kujitutumua tu kwa chama changu kuonesha kinataka kufanya mabadiliko lakini ukweli ni kuwa hakuna kipya kitachotokea kama Mbowe hata pigwa chini. Kubadili uongozi katika kurugenzi za chama makao makuu sio solution. Maana tatizo ni Mbowe huyu yupo kibiashara na hana nia ya kuifanya Chadema...
  3. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Askofu Mwamakula mbona humkemei Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe?

    Makamanda Pipo's power ✌️ Mimi kamanda kindakindaki msemakweli naomba askofu Mwamakula ampe vidonge chairman wetu. Siasa za kitapeli sasa basi. Amekula ruzuku mpaka chama kikakosa nguvu ya kupata wabunge na madiwani,askofu kakaa kimya. Sasa tunafanyiwa dharau na vidampa 19 ambavyo havina mbele...
  4. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Video: Freeman Mbowe ni miongoni mwa watu wachache wenye akili kubwa ambao Tanzania imebarikiwa kuwa nao , Asante Mungu kwa zawadi hii

    Sitaongeza neno lolote , jionee mwenyewe .
  5. J

    JamiiForums Tanzania Ni dhahiri Baraza kuu la CHADEMA halitaketi hivi karibuni kwa hofu ya Corona, Mbowe ana hesabu kali!

    Mwenyekiti wa Chadema kupitia twitter amesema " Tanzania Corona iko tele" na ameitaka serikali kuchukua tahadhari. Kwa maana nyingine Freeman Mbowe anatuambia CHADEMA inachukua tahadhari zote za kupambana na Corona ikiwemo social distancing. Na kwa maana hiyo vikao vya watu wengi kama Baraza...
  6. Deogratias Mutungi

    JamiiForums Tanzania Bwana Freeman Mbowe, tumia lugha ya staha unapoishauri Serikali ya Rais Magufuli dhidi ya COVID19

    Salaam Wana JF, Kupitia ukurasa wa twitter Bwana Freeman Mbowe ambaye ni Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo" CHADEMA" ametumia haki yake ya Kikatiba kushambulia serikali hasa kiongozi wa nchi juu ya hatua zinazochukuliwa dhidi ya Covid19, Ukweli ni kwamba Bwana Mbowe ameshindwa...
  7. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe: Misimamo ya Serikali kuhusu Corona inaathiri wengi

    Yetu macho ==== Alichokiandika Mbowe Msimamo wa JPM na Serikali yake kuhusu #COVID19 ni aibu na jinai kubwa dhidi ya ubinadamu yenye athari kwa maisha & uchumi. Corona Tz ipo tele. Waso-hatia wanakufa. Woga & ukimya ni ujinga. Madaktari na wauguzi mna kiapo. Semeni ukweli. Kataeni uharamia...
  8. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Mbowe kaa pembeni, pisha uachie chama damu mpya

    Simug'unyi maneno wala sitaki kuwa mnafiki. Mbowe kaa pembeni. Kwa nini unawafanya watanzania ni mazuzu wa kisiasa? Hivi hata kama mzee wako ndie muasisi wa Chadema, ndio unataka kufanya Chadema private property? Chama chetu kinapokea ruzuku mil 104 kila mwezi, upo kimya mithili ya dodolima...
  9. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Mbunge na Madiwani walioapa hawakutenda jinai, ila ni wakaidi

    Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe amesema Madiwani na Mbunge mmoja wa CHADEMA, ambao wameapa baada ya kushinda katika Uchaguzi Mkuu, Oktoba 2020 hawajatenda jinai. Lakini amesema viongozi hao wamekaidi misimamo ya chama, hivyo chama kitatenda haki kwa kuwasikiliza kila mmoja wao kabla...
  10. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe kwa Taifa na Watanzania - Jan 2021

    Hotuba ya Mwenyekiti wa CHADEMA (T) Mhe. Freeman Mbowe kwa Taifa na Watanzania, mwelekeo wa 2021.
  11. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania Mgogoro wa viti maalum CHADEMA: Mbowe ana mkakati gani wa kuvunja kambi ya Askofu Bagonza, kambi ya Askofu Mwamakula, na kambi ya kina Mdee?

    Askofu Bagonza Jana mchana, mtandao wa Jamiiforums ulitutaarifu kuwa Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe ataongea na umma wa Watanzania. Mpaka sasa hajasikika. Wakati tunasubiri hotuba yake, napenda kumkumbusha kuja na jawabu kwa swali lifuatalo: Mbowe anao mkakati gani wa kuvunja kambi ya...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Nani kawatuma wananchi kumwona Mbowe shujaa wa siasa za Tanzania?

    Duniani wapo watu wamezaliwa na wivu. Wakati wote wanatamani wao waonekane bora kuliko wengine. Hii haikuanza hivi karibuni bali imeanza toka asili ya binadamu. Utakumbuka Kaini alivyotoa sadaka iliyomchukiza Mungu wakati Abel alitoa sadaka infaayo Mungu. Matokeo yake Sauli hakulia na kumshutumu...
  13. Q

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe kuongea na Taifa leo Jan 03, 2020 jioni

    Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe. Freeman Mbowe leo Jumapili, Januari 3, 2021, atazungumza na Watanzania kupitia hotuba atakayoitoa kwa Taifa na kurushwa moja kwa moja kupitia mitandao ya kijamii (YouTube, Twitter na Instagram), kuanzia saa 1.00 jioni. Stay tuned!
  14. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania Rufaa ya kina Mdee mbele ya Baraza Kuu dhidi ya Kamati Kuu CHADEMA: Kicheko kwa G19, Kilio kwa kina Mbowe

    Mhe. Halima Mdee na wenzake wakiwa katika picha ya pamoja na Spika wa Bunge, Job Ndugai, baada ya kula kiapo hivi karibuni. "Sasa ni wazi kwamba, mimi na wabunge wenzangu 18, tulionyanganywa uanachama wa CHADEMA juzi, tutarudishiwa uanachama wetu asubuhi na mapema siku Baraza Kuu la CHADEMA...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe anatosha kuwa Waziri wa viwanda na biashara, ni mtu wa mikakati anayejua mahitaji ya soko kwa wakati!

    Itoshe tu kusema nafasi ya waziri wa viwanda na biashara ingemfaa sana Mh Freeman Mbowe. Sisemi kwamba aliyopo hafai bali ninachosema Mbowe ana kila sifa ya kuweza kushika nafasi hiyo katika dunia ya sasa yenye ushindani wa " kuviziana". Nawatakia Sabato yenye baraka. Maendeleo hayana vyama!
  16. J

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya Job Ndugai ilivyowasambaratisha Prof. Assad, Makonda, Tundu Lissu, Mbowe na Mpina!

    Hao niliowataja ni wachache miongoni mwa wengi waliojaribu kupimana ubavu na mh Job Ndugai na kuangukia pua. Wengi hawaijui nguvu ya Ndugai ndani ya CCM lakini kiukweli huyu jamaa ni very powerful. Wako wapi leo akina Makonda, Prof Assad, Mbowe na yule aliyepima samaki kwa rula kwenye mgahawa...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Baada ya kumrejesha Mbowe Bungeni tutakuwa tumefunga rasmi siasa za Uchaguzi na kujielekeza kwenye kuchapa kazi

    Kwa sasa mijadala ya siasa za uchaguzi inaelekea ukiongoni na yule Robert Amsterdam anakwenda kuufyata mkia wake. Maalimu Seif na ACT-Wazalendo kwa ujumla wamekubali yaliyopita si ndwele tugange yajayo na sasa ni rasmi Zanzibar imetulia. Huku Tanganyika bungeni vyama vya upinzani wamejaa...
  18. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Mbowe huenda tukaona mengi zaidi ya Viti Maalum

    Katika pita pita zangu nikakutana na hii kauli ya Mbowe ambayo inachukuliwa kawaida sana ila ina kufikirisha ndani yake, huenda ikatoa majibu mengi kuhusu swala la Viti Maalum.
  19. Mlalamikaji daily

    JamiiForums Tanzania Ile CUF ya Lipumba na CUF ya Maalim inajirudia kwa CHADEMA ya Mbowe na CHADEMA ya Halima

    Nakumbuka ilianza mzaha mzaha kama hivi. Huku wanafukuzwa, kule msajili anawatambua. Mwisho mgawanyo ukatokea na sote tuliona kilichotokea watu wakagawana fito na CUF ikabaki hii ilivyo! Sisemi CHADEMA nayo itakuwa kama CUF ila naona hii trailer inavyoanza ni kama movie ile Ile. Kipindi kile...
  20. Elius W Ndabila

    JamiiForums Tanzania Dakika ya 89: Freeman Mbowe 0 vs Halima Mdee 5

    DAKIKA YA 89, KAMATI KUU YA CHADEMA 0 MH MDEE 5 Na Elius Ndabila 0768239284 Ingekuwa ni mchezo wa Soka ningeweza kusema hivyo kuwa Kamati Kuu ya CHADEMA 0 na Mh Mdee 5, hasa baada ya press yake ya leo. Mtakubaliana nami kuwa Majibu ya Mh Mbowe juu ya Wale Wabunge wa Viti Maalumu 19 yalijaa...
Back
Top Bottom