mbowe

  1. J

    Pamoja na yote CCM imshukuru Mbowe kwa kuwatengenezea viongozi akina Shonza, Profesa Kitila, Dkt. Mollel, Katambi, Waitara nk

    Baniani mbaya kiatu chake kizuri na usione vyaelea vimeundwa. Unapoona mtu anatoka kwenye chama kidogo kama Chadema na kwenda chama dola na moja kwa moja anapata uteuzi wa Rais basi elewa chama alichotoka kimemjenga akajengeka. Binafsi huwa simfagilii Mbowe lakini kitu kimoja huwa nakikubali...
  2. T

    Hotuba ya Mbowe, ni dawa ya kutibu misuli ya moyo

    NIMERUDIA kuisikiliza Hotuba ya Mheshimiwa Freeman Mbowe, Mara kadhaa. Hii ni hotuba inaweza kudumu kwa muda mrefu sana kama rejea sahihi ya maamuzi sahihi yaliyowahi kufanywa na CHADEMA, tangu mfumo huu wa vyama vingi uanze. Hotuba ya Mbowe, ni dawa ya kutibu misuli ya moyo katika siasa...
  3. Elius W Ndabila

    Maamuzi ya CHADEMA yanasubiri 'VAR'. Tumtazame Mbowe akisoma

    Jana Mbowe, Mwenyekiti wa CHADEMA na Mbunge wa zamani wa Wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro alisoma maadhimio ya kikao cha Kamati Kuu kilichoketi jana asubuhi hadi Usiku. Kikao hicho kwa mjibu wa Mbowe kilikuwa na ajenda moja tu ya kuwajadili Wanachama wa BAWACHA ambao walienda kula kiapo cha...
  4. R

    Casual observation yangu ni kuwa watu wamefurahia adhabu ya Halima na wenzake 18

    Nimepitia social media zote casually, 98% wanamsifu Mbowe na Kamati Kuu kwa maamuzi waliyoyachukua. CHADEMA imeimarika kwa maamuzi haya. Zitto, mtihani sasa umerudi kwako, Mbowe kamaliza!
  5. Mlalamikaji daily

    Haya Mbowe ameitendea haki pasi aliyoletewa, sasa mpira upo kwako Maalim Seif

    CHADEMA wameona kama mbwai na iwe mbwai. Badala ya kutuliza wamerudisha huko huko Mpira ulipotoka. Na kwa Bahati umeangukia kwako Maalim Seif, tunasubiri tuone utafanyaje? Mpira unao wewe Sasa. Watazamaji wa Zenji na Bara wanasubiri kuona. Kazi kwako
  6. M

    Shairi: Aikael Mbowe, Freeman Mwamba wa Tanzania

    Ameunguruma Simba, Nchi imetetemeka Manyang'au yamevimba, Aibu imewashika Yalijiona miamba, Ile isiyovunjika Hongera sana Mbowe, Wewe ni mtu makini Hawa watu waonevu, Ni watu waso na soni Matendo yao uovu, Na ghiliba za shetani Mipango yao mibovu, Kaivunja Freemani Hongera sana Mbowe, Wewe ni...
  7. J

    Hoja ya Mbowe: Je, mbunge anaapa mbele ya Spika au anaapishwa na Spika mbele ya Bunge?

    Kwangu mimi katika yote yaliyozungumzwa kiapo cha mbunge ndio kimenipa tafakuri. Spika Ndugai baada ya kuwaapisha wabunge 19 wa Chadema kwenye viwanja vya bunge alisema kanuni zinamruhusu kumuapisha mbunge mahali popote palipoandaliwa. Cha muhimu ni mbunge kuapa mbele ya Spika. Mbowe ambaye ni...
  8. Francis12

    Kamati Kuu ya CHADEMA yawavua nyadhifa na uanachama Halima Mdee na wenzake 18 walioapishwa kuwa Wabunge wa Viti Maalum

    Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe atazungumza na Umma wa Watanzania kupitia mkutano na waandishi wa habari, leo Novemba 27, 2020, kuanzia saa 3.00 (usiku huu), kuhusu maamuzi ya Kikao cha Kamati Kuu ya Chama Vyombo vya habari vya Kitaifa na Kimataifa vimealikwa. Stay Tuned for Updates...
  9. J

    Mbowe ndiye kiongozi pekee wa upinzani ambaye wabunge wake zaidi ya 20% walihamia CCM

    Kwanini ni CHADEMA tu chini ya Mbowe ndio wabunge wake hutamani sana kuitumikia CCM. Hebu fikiria katika bunge la 11 zaidi ya 20% ya wabunge wa kuchaguliwa wa CHADEMA walikimbilia CCM, hili siyo jambo dogo kabisa. Hapo CHADEMA kuna biashara gani. Morrison funga hao Nigeria. Maendeleo hayana...
  10. J

    Mbowe alimleta Lowassa, akamleta Dkt. Mashinji, akampa Bulaya "unadhimu" Bungeni na Kamati Kuu ikabariki baadaye, hata Wabunge watabarikiwa!

    Ndani ya CHADEMA, Mbowe wanamwita " MWAMBA" na ni mwamba kweli kweli kama Petro. Hakuna jambo lililetwa na Mbowe au liliamuliwa awali na Mbowe kamati kuu ya CHADEMA ikagoma kulibariki. Hata kesho tarehe 27/11/2020 siku ya Ijumaa saa 3.00 asubuhi Halima James Mdee akiithibitishia kamati kuu...
  11. B

    Mwenyekiti, Katibu Mkuu CHADEMA kigugumizi cha nini sakata la Wabunge wa Viti Maalum?

    Mabibi na mabwana inafahamika kuwa safari kuelekea uhuru haijawahi kuwa rahisi. Wala safari ya kuelekea huko haijawahi na wala haitakuja kupungukiwa wasaliti. Kwamba pana mbunge bungeni anaendelea kujitanabaisha kuwa ni mbunge wa CHADEMA na mko kimya tu? Kwamba kuna watu yasemekana wamekiuka...
  12. Roving Journalist

    GE2020 Mnyika: Sakata la Wabunge wa Viti Maalum limehusisha mfumo wa Serikali kufifisha ajenda ya 'Uchaguzi haramu'. Ahoji Nusrat kuteuliwa akiwa gerezani

    Leo Novemba 25, 2020 katibu mkuu wa CHADEMA amezungumza na vyombo vya habari makao makuu ya chama hicho eneo la Ufipa, Kinondoni mada kuu ikiwa uteuzi wa wabunge wa viti maalum ambapo uapisho wao ulifanyika jana bungeni jijini Dodoma jana. Yafuatayo ni maelezo kwenye mkutano huo kuanzia mwanzo...
  13. Erythrocyte

    Viongozi wa Juu wa CHADEMA kuongea na Wanahabari Novemba 25, 2020 Makao Makuu ya Chama, Kinondoni

    Kesho Jumatano, Novemba 25, 2020, CHADEMA kupitia uongozi wa juu wa Chama, kitazungumza na Umma wa Watanzania kupitia waandishi wa vyombo mbalimbali vya habari, katika mkutano utakaofanyika Ofisi za Makao Makuu ya Chama, kuanzia saa 5 asubuhi. Asanteni. Wote Mnakaribishwa.
  14. Maramla

    Wabunge wa Viti Maalum (CHADEMA) na kisa cha asiyefanya kazi na asile

    Na Mwamba wa Kaskazini Nianze kwa kongole kwa Mbunge wangu kipenzi Halima Mdee na wenzake waliokubali kutimiza haki yao ya kikatiba leo kwa kukubali kuapishwa kuwa wabunge wa Viti Maalum (CHADEMA) kwenye Bunge la JMT. Wabunge hao takribani 19 wa CHADEMA wameapishwa leo wakati mambo mawili...
  15. Kipenzi Changu

    GE2020 John Mnyika: Hatujateua majina ya wabunge Viti Maalum. Tunafuatilia Ofisi ya Spika na tukithibitisha hujuma au usaliti hatutasita kuchukua hatua

    Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amesema, chama hicho hakijateua majina ya wabunge wa viti maalum “ niliandika barua NEC kuwajulisha. Tunafuatilia yanayojiri Ofisi ya Spika wa Bunge na tukithibitisha hujuma au usaliti hatutasita kuchukua hatua.” ---UPDATE--- Akihojiwa na shirika la...
  16. Replica

    Habib Mchange: CHADEMA wanavunja Katiba kutopeleka Wabunge wa Viti Maalum. Ataka Rungu la Msajili wa Vyama liwashukie

    Habib Mchange: Nitashangaa sana kama wanawake wa CHADEMA wataendelea kuburuzwa na wanaume kwenye chama kuhusu mambo yanayowahusu. Viti maalum sio suala la hisani ya Mbowe, Mnyika wala sio suala ya hisani ya Magufuli, ni jambo la kiharakati, Wanawake wamepigania usawa kwenye vyombo vya maamuzi...
  17. J

    Je, Freeman Mbowe akiteuliwa na Rais kuwa mbunge atakataa au mnawabania tu wabunge wa BAWACHA?

    Nauliza tu endapo itampendeza Rais Magufuli na akamteua mwenyekiti wa Chadema mh Freeman Mbowe kuwa mbunge, kamati kuu ya CHADEMA itamzuia kama wanavyojaribu kuwazuia wale wabunge wanawake 19 kutoka Bawacha? Ni hako kaswali tu makamanda. Maendeleo hayana vyama!
  18. tramadol

    GE2020 Freeman Mbowe usiwanyime wengine Ubunge kisa wewe hujashinda

    Kuna taarifa zinasambaa kuwa CHADEMA hakitachagua wabunge wa viti maalumu kwenye uchaguzi huu huku wakijua kabisa kuwa ipo kisheria. Kutochaguliwa wabunge waliokuwa wabunge miaka 10 kutoka CHADEMA katika uchaguzi huu akiwepo Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe isiwe ndio kigezo cha kuwaminya...
  19. J

    Mbowe: Tumeitikia wito wa kuripoti Polisi lakini hatujui zoezi hili litaisha lini, tumetimiza wajibu!

    Mwenyekiti wa CHADEMA mh.Mbowe jana aliripoti kituo cha polisi cha Oysterbay pamoja na watuhumiwa wenzake akiwemo Godbless Lema na Boniface Jacob. Mbowe aliwaambia waandishi wa habari kuwa wao wametimiza wajibu wao wa kuripoti polisi ila kujua kinachoendelea waulizeni polisi. Mbowe amesema...
  20. MAHANJU

    GE2020 Mbowe umetia aibu. Jiuzulu, umeporwa jimbo kizembe

    Amani iwe kwenu wajumbe! Tunaposema upinzani katika nchi hii bado sana ieleweke kwamba bado mbichi kweli kweli hata uwezo wa kuendesha nchi bado. Mbowe kama kiongozi Mkuu wa kambi Rasmi ya upinzani na Mwenyekiti wa Chama Kikuu cha upinzani ulitakiwa kukataa hila za wazi wazi za Bwana mdogo...
Back
Top Bottom