Kwa mawazo yangu ukitaka kuvunja muungano basi uwe na Serikali ya Tanganyika yenye madaraka ya ndani makubwa sawa na ile ya Zanzibar.
Ukifanya hivyo utabakia na serikali ya muungano yenye kudhibiti Wizara chache hazizidi kumi. Serikali ya muungano itakuwa dhaifu tegemezi.
Kama tanganyika...
Hii inathibitisha CHADEMA inataka madaraka ili ile nchi, inathibitisha nia yao ya madaraka ni pesa kwao sio kwa wananchi, hawajali hata kujenga ofisi kuu ya chama, watajali vipi kujenga nchi yetu. Tazama video hii ya mwana CHADEMA anavyochambua chama chake, sio mwana CCM ila CHADEMA.
Wako wapi wale viongozi wa dini ambao wengine walikuwa wajumbe wa halmashauli kuu ya taifa ya chama? Kwanini sasa CHADEMA kama waanzilishi na waliwaaminisha watanzania kuwa chama ambacho akikubariki na viongozi wa dini hakifai kuwa na dola au kuchukuwa dola. Mwenyekiti Mbowe alikwenda mbali...
Ndugu zangu,
Napenda kumshukuru Mungu kwa kunipa siku ya leo.
Katika uchaguzi ambao niliufuatilia kwa karibu kubwa sana tangia nianze kufuatilia siasa na wanasiasa, basi ulikuwa ule wa 2015. Ulikuwa uchaguzi wa kipekee sana kuwahi kutokea hapa nchini, na ulikuwa uchaguzi mgumu sana kwa Chama...
Kwanza nielezee kwa wale wasiofuatilia sana mambo ya siasa nini maana ya voter suppression. Kwa tafasiri nzuri kutoka Wikipedia ni
Voter suppression is a strategy used to influence the outcome of an election by discouraging or preventing specific groups of people from voting.
Kwa Kiswahili...
Mwaka huu mwanzoni kabisa niliwaambia kuwa Jimbo la Hai ni mojawapo ya Jimbo ambalo litavuta hisia za Siasa za Tanzania, hapa hakuna kulala, ni mwendo wa mahuburi, ngumi na jino kwa jino. Hii Ni kutokana na umuhimu wa Jimbo hili kwa Upinzani na kwa CCM. Kwa Upinzani ndipo anapotokea Mbowe ambaye...
It sounds awkward, lakini ndivyo ilivyo. Kwamba iweje ofisi kuchomwa moto iwe ni jambo jema? Iweje msafara wa mgombea Urais Tundu Lissu ushambuliwe mbele ya macho ya polisi liwe jambo jema? Iweje Tundu Lissu ashambuliwe kwa Risasi za kivita za SMG na AK47 iwe ni jambo jema?
Well. Tufutane ili...
Endeleeni kutufuatilia kupitia hapa hapa JF ili kujipatia taarifa za uhakika bila kuchuja chochote .
Jingine la kufurahisha ni kwamba Mwamba Mbowe tayari kishatua Hai ili kuandaa mazingira salama ya ujio wa Game changer Tundu Lissu
Habari kutoka huko jimboni Kilombero hali ya mtoto wa mjini Lijualikali ni tete kisiasa.
Baada ya kuunga mkono juhudi kuangukia mikononi mwa spana za wajumbe wa CCM na kuambulia kura 2 ameamua kujiongeza na kwenda kwenye kura za maoni udiwani akaambulia kura 5,Sasa anaomba kurudi CHADEMA.
Labda bado yuko jimboni kwake Hai anasheherekea ushindi wa kura za maoni.
Nyakati nyingine hudaiwa Mbowe huwa hapati mialiko lakini ibada haina mwaliko, mimi na mzee Mgaya tupo ibadani.
Nawatakia Dominica yenye baraka.
Maendeleo hayana vyama
Mbunge wa milele wa jimbo la Hai Mh Freeman Mbowe ( Mwamba Tuvushe ), leo tena amepitishwa na wajumbe wa CHADEMA wa mkutano mkuu wa jimbo hilo ili kugombea tena Jimbo hilo
Hakika huyu ndugu ana laana mbaya sana kwani karibu asilimia 99 ya waliojiondoa CHADEMA huku wakimrushia mzigo wa tuhuma karibu wote wameanguka katika kura za maoni.
Ni imani yangu hata yule mmoja aliesalimika kwa ushindi wa kura moja, nae atakwenda kuvuna aibu katika uchaguzi mwezi Oktoba...
Habari wanaJamiiForums,
Siasa nzuri pale mmoja wao akiwahi kusoma akama za nyakati halisi. Na hili nimesisitiza sana huko nyuma Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe kama atasoma nyakati vyema apumzike kugombea uraisi
Else atakutana na aibu kubwa kilichofanyika ni sawa na kusema CHADEMA...
Hakika Mbowe ni Jabali la Siasa Tanzania. Mbowe ni mwanasiasa makini sana hasa anapojenga hoja zake iwe bungeni au hata nje ya Bunge.
Amekuwa mtulivu pasi na visasi au kujibizana hata anapokashifiwa au kutukanwa na wanasiasa wasioweza kujenga hoja na kukimbilia personal attacks.
Mifano ni...
Kwa namna bwana mkubwa huyo alivyo vumilia maswahibu mengi ya kushangaza ni wazi pamoja na kwamba ni mpinzani kwa hakika anayo haki ya kuheshimiwa na watu wote wapenda amani.
Mbowe ni kiongozi mvumilivu na wa kupigiwa mfano! Kuna wakati huwa najiuliza ingekuwaje mtu kama Tundu Lissu, Heche...
James Mbowe, mtoto wa kaka wa mwenyekiti wa CHADEMA Mh Freeman Mbowe amechukua fomu kugombea ubunge jimbo la Moshi Mjini kwa tiketi ya CHADEMA.
Freeman yeye alishatangaza kutetea kiti chake jimboni Hai mkoa huo huo wa Kilimanjaro.
Source: Ayo tv
Maendeleo hayana vyama!
Kiukweli nafasi ya Tundu Lisu kupitishwa na Chadema kuwa mgombea urais ni ndogo sana.
Washindani wa Lisu mh Mbowe na Nyalandu waliwahi kwenda katika hekalu la mfalme Suleiman mjini Yerusalemu ambako waliweka nia zao mbele ya Mwenyezi Mungu.
Nyalandu alisema wakati wanaweka nia zao kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.