mbona

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wanachadema ripoti ya CAG hamuioni? Mbona hatusikii mkinanga juu ufisadi kama ilivyokuwa huko nyuma?

    Mlipiga sana kelele miaka ya nyuma baada ya ripoti ya CAG kuwa inaleta tashwishwi juu ya ufisadi kufanyika. Mlikuwa mnapaza sauti na kupayuka kuwa kuna upigaji mkubwa, hasara za ATCL na matumizi mabaya ya pesa za umma. Swali, mbona sasa hivi mpo kimya juu ya kuchambua na kupiga kelele juu ya...
  2. B

    Kama upo hapa, please tuwasiliane mara moja

    Nipo Las Vegas hapa USA kama kuna mtu yupo karibu please tuwasiliane maana nipo tu bored. kulikuwa na kikao tumemaliza toka Jumamosi so nikaona nikae kae kidogo kuonana na jamaa zangu. bahati mbaya nao ratiba zao zimebana so tumeonana kwa muda mfupi tu wakati wa Breakfast na Lunch. nina muda...
  3. Kabla ya vita raia wanaambiwa shikeni silaha teteeni nchi yenu,baada ya vita wanasema war crime mbona siwaelewi hawa mabeberu

    Nato wamechanganyikiwa na sasa wanajiandaa kuwapa silaha zaidi hivi hawa watu wana akili sawasawa ,havi raia gani huyo anakufa pembeni ya kifaru ??????
  4. Mbona kwarezma watu wanafunga na wala hawawakatazi wengine kula?

    Itoshe kusema watu wa imani ile ni washari na wakorofi sana, ni wanafiki kuliko vipimo vyote vya unafiki ati dini yao ni ya haki, sasa haki gani ya kubugudhi wengine kama wewe umefunga ndio ulazimishe wa wengine wasiokua wa imani yako wafunge ?!!! Ebo !! Mbona wengine hua wanafunga kwarezwa na...
  5. Kigamboni: Moshi mkubwa watanda winguni na kuleta taharuki

    Kuna moshi mkubwa Kigamboni na inasemekana ni reserve ya mafuta inaungua. Inatengenezwa scarcity? ===
  6. Orodha ya World Bank 2022 ya low income countries, Tanzania imesahaulika? Kwenye middle income countries haipo

    Katika pekua pekua zangu, inaelekea kuwa Benki ya Dunia imesahau kuiweka Tanzania kwenye orodha ya low income countries. Yaani kwenye low income countries duniani hatuonekani na huko kwenye middle income countries nako hatuko. Sasa tutakuwa tuko wapi duniani? Mwenye kulijua hili atujuze. ---...
  7. TANESCO mbona mmekata umeme tangu usiku huku Bunju?

    TANESCO kuna shida gani mvua kidogo tu mmekata umeme tangu usku mpaka sasa huku bunju. Mnatutia hasara mjini umeme ni muhimu tunapishana na pesa. Yani mvua ikinyesha nyie mnapata excuse ya kukata.
  8. Mliofanikiwa kimaisha kwa kutumia kanuni ya 'Ubahili' mliwezaje, mbona mie nashindwa kabisa?

    Mungu si Athumani, maana amekuwa akishusha thawabu zake kwa muda wa takribani miaka mitano sasa tangu nilipoanza kupataa namna ya kujiingizia kipato changu na kumudu gharama za kuishi. Kwakweli niwe muwazi kuwa maisha siyo mteremko sana na wala sipati pesa nyingi sana lakini pesa nazopata...
  9. Inakuwaje Kitambaa Cheupe Sinza kunafurika kila siku?

    Yaani hii sehemu si J3, si J4, si J5, si Alhamis, si Ijumaa, Jumamosi na Jumapili ndiyo usiseme kabisa, yaani eti hata pa kukanyaga hamna, ni nini hiki? Mmechinja mkamtoa kafara hapo au kuna nini jamani?
  10. P

    Hawa wanatutumia sms tujikinge na matapeli mbona wao pia ni kama matapeli?

    Nimelipia malipo ya zuku kupitia airtel money 79,000/= na service charge wamechukua, malipo hayakufika palipokusudiwa, huduma ya zuku nimezimiwa, nimewasiliana na mhudumu wa airtel amenijibu short cut kuwa hela yapo iko hewani subiri masaa 36,sasa nakaaje muda wote huo bila huduma? Na je hela...
  11. N

    Mbona Mwanza Mgao wa umeme unaendelea?

    Nashangaa sana tanesco walitangaza kipindi cha nyuma siku kumi za mayengenezo kwamba zikiisha hakuna tena mgao, lakini cha ajabu Mwanza mgao wa Umeme haujawai kuisha mpaka leo, umeme unakatika saa mbili asubuhi unarudi saa kumi na mbili jioni, pengine unakatika saa kumi na mbili jioni...
  12. K

    Mbona Kelvin Twissa amezeeka ghafla?

    Aisee, huyu mwamba nini kimemzeesha ghafla namna hii?
  13. RC Amos Makala mbona wamachinga wanarudi kwenye njia za miguu tena Dar es Salaam?

    Sio vizuri kutimuana kila wakati kwakuwa zoezi la kutimua watu linazaa kelele na bughudha nyingi kwa wananchi. Tulifurahia kuona watanzania wenzetu wafanyabiashara ndogondogo wameziachia barabara za magari na njia za miguu za watanzania wenzao walizokuwa wamezivamia kwa maslahi yao binafsi...
  14. Wanufaika wa Bodi ya Mikopo mbona hamumshukuru Rais Suluhu?

    Mnataka mseme mwezi huu hamjaona kwamba madeni yenu yamepungua kwa nusu? Mtu ulikuwa unadaiwa milioni 15 zimebaki nane waliodaiwa 4m zimebaki 2m mbona hamumshukuru hata kwa hilo?
  15. Siku maalum za wanawake mbona nyingi?

    Kwa kumbukumbu zangu ni hivi juzi juzi hapa hii siku iliadhimishwa na RAIS SAMIA alienda kule DODOMA kwenye mkutano na kina mama... HAPA SASA HIVI KILA RADIO NA TV ZIMEANZISHA KAMPENI ZAO... ETI SIKU YA WANAWAKE... SIJUI LENGO NI NINI...HIZI SIKU...SAWA... Lets try to empower WOMEN to the time...
  16. Haji Manara (Msemaji wa Yanga SC) katamba kuwa Wameuza mno Jezi Msimu huu sasa mbona wamezipunguza Bei?

    Kwenu Wabobezi wa Marketing hivi Kupunguza Bei ya Bidhaa ili Uuze nyingi na Utambe kwa Watu ndiyo Mafanikio Kibiashara au Mafanikio zaidi ni Kuuza kwa Bei ya Juu hata kama utauza Chache ile utaingiza Pesa nyingi na pia Utakubalika kwa Ubora ( Quality ) ya bidhaa? Leo Klabu ya Yanga imeamua...
  17. NATO wamefikwa na Nini? Mbona waliweza Kuwait na wakaweza Kosovo,wanashindwa Nini Ukraine?

    Hapo zamani,Sadam huseini wa Iraq alifanya kama anavyofanya Putin wa Urusi Leo kwa kuivamia nchi ya Kuwait. Marekani na washirika wake wakaivamia Iraq na kuipiga Hadi ikatoka Kuwait. Miaka kadhaa baadae Slobodan Milosevic wa Yugoslavia aliwapiga kishenzi waasi na raia waliokua wanataka...
  18. B

    Watanzania mbona tunakosa mwelekeo? Mabaya tunalalamika, mazuri tunaponda. Sasa tufanyiwe nini?

    Kwa kweli ni mambo ya kushangaza sana tukio la Lissu kukutana na mama na shangaa watu wakiponda na wengine kuingiza ushabiki wa vyama. Wote ni viongozi na wanasiasa wanachokiongelea si kwa faida yao tu, bali kwa nchi nzima au tulitaka hivi vikao vifanyike kwa hisani na shinikizo la UN au USA...
  19. Mbona hamueleweki Watz, hii gesi mnayotaka kutuuzia Wakenya ina maana sio yenu?

    Kha! Hizi ni chokochoko bana, kwani gesi ya nani? Ha ha ha!!! Acheni tununue....
  20. N

    Paskali Mayala, mbona huleti "analysis" ni nini zitakuwa athari kisiasa za uamuzi wowote kesi ya Mbowe?

    Kwa kweli kaka yangu ninakuaminia sana kwa kufanya uchambuzi. Hata hivyo ukimya wako kuhusu kufanya uchambuzi na utabiri wa nini itakuwa athari kisiasa kuhusu uamuzi wowote utakaohusisha kesi ya Mbowe. Kwa mfano kwa sasa tunasubiri iwapo Mahakama itaamua Mbowe na wenzake wana kesi ya kujibu na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…