Kabla ya vita raia wanaambiwa shikeni silaha teteeni nchi yenu,baada ya vita wanasema war crime mbona siwaelewi hawa mabeberu

The situation in Ukraine in picture
JamiiForums1105496792.jpg
 
Nato wamechanganyikiwa na sasa wanajiandaa kuwapa silaha zaidi hivi hawa watu wana akili sawasawa ,havi raia gani huyo anakufa pembeni ya kifaru ??????
Kwani kupewa silaha ndio kunaondoa kutendeka kwa makosa ya kivita? Saa nyingine kulikoni kuanzisha nyuzi tupu kama hizi, ungeweza kutumia muda wako kidogo kusoma kuhusu maana na mazingira ya kutenda makosa ya kivita.
 
Hata wanajeshi wenyewe wanaopigana mstari wa mbele vitani wanalindwa na sheria za kimataifa. Hairuhusiwi kuwatendea isivyo kibinadamu pale wanapokuwa wafungwa wa kivita.
 
Hapa mm ndo inanishangaza. Tena wanapewa silaha wakiwa hawana uniforms. Wakiua warusi wanaitwa wajasiri wakiuawa inaitwa woo kraimu.
 
Inashangaza sana. Walisifiwa sana kuwa ni mashujaa wapigania nchi yao. Kulikoni tena
Mashaka yangu ni kama Zelensky ni raia wa Ukraine. Maana polshenko mtangulizi wake aliweza kutuliza hali ya hewa mpka walivyomtoa. Huyu wa sasa kaiangamiza nchi yake yy mwenyewe.
 
Back
Top Bottom