Nauliza mzee Lowassa yupo wapi? Mbona hatumsikii kabisa.
Tumezoea kumuona mzee Lowassa akitoa maoni yake kuhusu mwenendo wa Serikali aidha kukosoa au kusifia lakini amekuwa kimya muda mrefu sijui yupo wapi?
Nauliza tu kama amepita kuaga kwenye vituo? Sio lazima bali ni utamaduni wetu.
Kwa mtu ambaye ametumika na kutumikia ilitakiwa at least atuage na sisi huku!
Anyway kama ameshaenda tunamtakia kila la kheri. Ubalozi mwema!
Kiukweli sijajua wanaomsifia huyu mtu wanatumia vigezo gani;
1. Baada ya kulipa bili ya kuonganishiwa maji itachukua hata nusu mwaka kuungishiwa bomba mpaka mitaro inajifukia(mabomba wanasema hamna na hapa rushwa na watu wa stoo ndio kwao kama TANESCO).
2. Wananchi kujichangisha mamilioni ili...
Nakumbuka kesi nyingi nzito Serikali ilikuwa inapigwa chini. Wakina Mtikila, Masumbuko Lamwai, Mabere Marando nk. kama wana hoja za msingi wanashinda kesi.
Siku hizi mbona vijikesi vidogo tu ni mwendo wa kuahirisha kwa week moja au ndiyo kusikilizia maamuzi kutoka juu?!
This is very sad and...
Je, unatumia Choo cha Shimo au cha Kuflashi?
Hili linahusikaje na idadi ya Watu tunaohesabiwa?
Tunakoelekea mtakuja Kutuuliza huwa tunaenda haja kubwa mara ngapi kwa Siku na ya aina gani pia.
Cedric Kaze nakukubali sana Mwalimu unajua sana kukaba mashabiki lia lia tunajua kuwa Yanga haifungiki sasa msimu huu mbona naona kama Yanga haiko imara sana pasi si nyingi kama mwaka jana, uwezo wa timu kumiliki mpira na kupasua katikati kwenda mbele kushambulia umepungua, mabeki wanarudisha...
Ni kama wiki sasa imepita mara baada ya naibu mwenyekiti ccm taifa, Dkt. Abdulahman Kinana, zimeshatokea ajali mbili za magari na kuondoka na roho za watu kadhaa, sababu ni mwendokasi.
Tukiangalia kisiasa na kimihemko,traffic police hawana cha maana wanachofanya barabarani zaidi ya...
Habari wadau.
Nimeona kwenye tv. Historia ya mshindi wa urais Kenya. MR RUTO.
Alimaliza degree yake ya sayansi ya mimea katika chuo kikuu cha Nairobi mwaka 1991 na alifunga ndoa na mchumba wake baada tu ya kumaliza chuo.
Alifunga ndoa huku yeye Ruto akiwa na umri miaka 23 na mkewe Recho...
Dejan ni straika mpya wa Simba ,ni straika kweli kama umefuatilia timu alizochezea na magoli aliyofunga. Kacheza timu kubwa Ulaya na anafunga magoli mazuri sana, lakini mashabiki wa nchi hii wana mambo ya kitoto sana.
Hicho mnachomfanyia Dejan sio ushabiki ni upumbavu ,na ni ubaguzi wa rangi...
Jamani nilikuwa nasikiliza Leo habari asubuhi hii nikawa naskia Bei ya mafuta Zanzibar ni iko chini kuliko bara. Sasa hii si ni nchi moja? Kwa nini kuwe na utofauti?
Au wao wanachimba mafuta?
Wandugu nawashangaa hawa wananchi wanaotembelewa na Raisi Samia siwasikii wakieleza kero zao wamesimama tu kama makatuni flani hivi,hawajielewi au wametishwa.
Wakuu Salaam;
Mzee wetu wa siku nyingi katika Nchi yetu hasa katika tasnia ya Siasa kawa kimya sana.
Nimeona nimuulizie sababu ni muhimu kujua hawa Viongozi wamepotelea wapi, wana mchango mkubwa sana nchini. Wengine wanasikika mara kwa mara hata kama Covid-19 ipo hewani.
Anayejua yuko wapi...
Siyo siri mzee mamvi tumemmiss sana kwenye siasa za Tanzania, kulikoni? Nani ana taarifa zake za hivi karibuni? Je ameamua kukaa kimya au ameamriwa kukaa kimya?
Hii ni nane-nane na kuna wanasiasa wengi wanazindua sherehe na taasisi za serikali zinajilazimisha kwamba wamefanya makubwa ktk kilimo. Huu ni unafiki kwa wanasiasa na taasisi za serikali.
Tunayoyaona ktk maonesho haya, kama kweli ndiyo mafanikio ya kilimo kila mwaka, basi kilimo cha nchi hii...
Wengine kama akina GENTAMYCINE tuna Udhaifu Mmoja mkubwa wa Kukariri Jambo na Kutosahau Milele hivyo tunakumbusha tu ujio wa Ndege zetu zingine Mbili Kubwa za Air Northern Malawi.
Halafu tunawaombeni kama ambavyo huwa mnapenda Kukurupuka kwa kutafuta Sifa Kwetu Wananchi wa Northern Malawi juu...
PSRS ndio chombo kilichopewa dhamana ya kusimamia michakato ya ajira lakini kama sio kuelemewa basi itakua wana changamoto ambayo ni vyema waiweke wazi,mchakato wa ajira siku hizi umeanza kuchukua mida mrefu sana.mfano ajira zile za MDA's na LGA,s walizotangaza tangu mwezi wa tano mpaka leo hata...
Baadhi ya watu hujiuliza kwa nini nchi za kiafrika haziendelei, fikiria, Warioba alikuwa mwandani wa Mzee Nyerere, mbona hakuwahi kumshauri katiba mpya, serikali tatu mpaka Nyerere kastaafu?.
Ameona yeye ameshazeeka na kuchoka ndio kaona awavurugie wenzake? Mbona hakujiuzuru vyeo vyake ? Au...
Tangu mshahara wa mwezi July -2022 utoke pamekuwepo na jitihada na nguvu kubwa sana inatumika mitandaoni kuwaponda na kuwakejeli watumishi wa umma hasa walimu na manesi.Wengine wamekuwa wakienda mbali zaidi wakiwaita walimu hawana hakili hii si sawa na nikuwakosea heshima walimu wetu kwani Mimi...
Sio kawaida ya hawa Matarumbeta kushangilia Kila kitu, what happened? Hizi kelele za mitandaoni wangekua wameshasema neno, hii "Nyongeza" wameamua kuikalia kimya, au ni pesa ya vocha?
Samia anaupiga mwingi sio?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.