mbona

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Uto wajiuliza: Tunakwama wapi, mbona wenzetu wanasonga mbele kiulaini?

    Kwanza uto sikieni: Simba siyo wenzenu! Simba ni daraja jingine kabisa! N kuikosea adabu Simba kusema ni wenzenu! Niwasaidie mnapokwama: Huku CAF hakuna cha bahasha! Huku unabebwa na uwezo wako wa soka, mmenipata?
  2. luangalila

    JamiiForums Tanzania Huyu Tuisila mbona kapoa sana?

    Nimemtazama huyu kiberenge toka DRC, lazima nimeona jamaa kachuja. Sijui kule RS Berkane jamaa wana shida gani na vipaji vya Kusini mwa Jangwa la Sahara hasa ukanda wetu huu? Sijui wadau mna mu-assess vipi huyu kiberenge cha kicongoman?
  3. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Kama kweli mikutano ya kisiasa ya hadhara imezuiliwa Mbona Ado Shaibu wa ACT Wazalendo anafanya mikutano ya hadhara? Au CCM inabagua?

    Ingekuwa sisi CHADEMA tungepata tabu kwa kufanya mikutano ya hadhara. Ila hawa jamaa wanaruhusiwa tu. Huu ni ubaguzi.
  4. Gotze Giyani

    JamiiForums Tanzania Uwekezaji wa UTT liquid Fund faida yake mbona ni tofauti na uhalisia wanaousema

    Habari wadau poleni na majukumu ya taifa lisiloeleweka kama sio lenye jana janja nyingi na yote ni kutokana na watanzania wengi kutokujali. Tuachane na hayo niliwai kusoma uzi mmoja huku jamii forums nikavutiwa nao nikajitaidi kufuatilia na kuuelewa zaidi basi nikaamua kuwekeza UTT amis mfuko...
  5. Samba

    JamiiForums Tanzania Tume ya Ajira, mbona interview za UDOM hamjatoa tangazo kwa website ya PSRS kama zilivyo nyingine?

    kama ilivo kawaida nilitegemea shortlisted candidates wa nafasi za kazi UDOM iwekwe kwa website ya PSRS . au kuna exceptions UDOM? watu wamepigiwa simu kwenda interview nini agenda ya siri hapo?
  6. Billionaire wa Betting

    JamiiForums Tanzania HESLB mbona hamueleweki?

    Leo nilienda ofisi ya HESLB kuchukua barua ya kumaliza mkopo sijui ndio inaitwa liquidation letter (wasomi msaada kama nimekosea)kwani mimi binafsi nilimalizana nao toka 2019 lakini nilichokutana nacho ni hiyo 540,360.67 Nimeomba maelezo huyo dada wa reception hata nilikuwa simuelewi , mara oh...
  7. P

    JamiiForums Tanzania Asili yetu waafrika ni nini? Mbona ni watu wa ajabu na hatuonyeshi ikiwa tunauwezo wa kuwakomboa watu wetu?

    Tuko tayari kupandishwa kwenye bas na wazungu tukienda kwao, Ila sisi hatuko tayari kupunguza na kuacha uagizaji wa magari ya kifahari yanayokula kodi nyingi za watu wetu Ukiacha wazungu na wenye asili ya Kiyahudi, tuliobaki ni binadamu tuliotokana na nini? Mbona siamini nikionacho baada ya...
  8. J

    JamiiForums Tanzania ITV mbona mnawaziba watu midomo kwenye mdahalo?

    Kuna mjadala unaendelea ITV hapa kuhusu tatizo la panya road kuibuka tena, watu wanatiririka maoni yao hapa ila muongozaji wa mdahalo ambaye ni mtangazaji Maulid Kambaya ni kama akisikia mtu akitoa maoni ambayo hakubaliani nayo anaanza kumkaba hoja yake kabla hajamaliza Achani watu watoe maoni...
  9. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Iko wapi Royal Tour mliopiga chapuo kuwa italeta manufaa kwa Watanzania? Mbona tozo na ughali wa maisha unazidi kuwabana Watanzania

    Mlisema Royal Tour itatunyanyua kiuchumi na kuleta watalii lukuki na hivyo pato la taifa kunyanyuka. Sasa kama Royal Tour ilikuwa muarobaini wa kulipatia taifa letu mapato sasa hizi tozo kandamizi za nini? Mlipigia debe sana Royal tour kwa ushabiki wa kisiasa .Leo hii mnalia na kusaga meno.
  10. Nyamwage

    JamiiForums Tanzania Hizi simu mbona bei rahisi hivyo kunani

    Habari. Hawa mabwana wanajiita Samsung discount wapo china plaza bei zao ziko chini sana ukilinganisha na maduka mengi yanayo uza simu za kufanana na hizo mpaka nimeshawishi nataka nikachukue Note 10+ lakini ninakuwa na wasiwasi ebu team Samsung nitoeni uwoga na wasiwasi nataka nikaitie petrol...
  11. adriz de mbusii

    JamiiForums Tanzania Tangazo la Serikali kufuta ada kwa watahiniwa linachanganya

    Habari za mchana wana JF, Moja kwa moja. Ninavyojua tokea elimu ilivyoanza rasmi kutolewa hakuna ada yeyote inayolipwa mpaka mwanafunzi anafanya mtihani na kumaliza kila kitu bure kasoro kidato cha tano na cha sita sasa kilichofutwa leo ni kipi? #UziTayari
  12. J

    JamiiForums Tanzania SoC02 Amka Afrika, amka mama!

    Kwanini unalala bado? Kwanini unalikumbatia shuka bado? Kumekwisha kucha, jua limekwisha chomoza. Amka sasa eeh mama Afrika maana majukumu yako ni mengi. Watoto wako wanalia njaa zinawauma, wanalia majirani zao wanawaonea, kwanini usiamke uwafariji wana wako...
  13. ryan riz

    JamiiForums Tanzania Hivi stendi ya daladala Sabasaba Dodoma wameshindwa kuwatenganisha wauza bidhaa za sokoni na parking za daladala?

    Nashindwa kuelewa, yaani eneo la nyuma ya stendi kuna soko la vyakula, ila cha ajabu sehemu zinapopark daladala zimezungukwa kwa kupangwa nyanya, viazi, machungwa nk. Yaani njia ya kupita shida pindi unapanda daladala, hata madereva wanalalamikia hili. Pia hupelekea watu kupigana kwa kunyaga...
  14. Replica

    JamiiForums Tanzania Kunani, mbona JK kakasirika hivi?

    Rais mstaafu wa awamu ya nne leo yupo kwenye sherehe za kilele cha maadhimisho ya miaka 10 ya chuo cha Taifa cha Ulinzi ambapo mgeni rasmi ni Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania. Tofauti na JK mwenye bashasha, mchana huu JK sura yake sio ya mchezo mchezo mpaka TBC wamekwepesha camera.
  15. D

    JamiiForums Tanzania Mnatuchosha wanasiasa. Mtulipishe tu huo umeme wenu laki 8, Kila kitu tumejenga shule, afya mara barabara. Hizo V8 zenu mbona hamzitaji?

    Viongozi wa serikali Kila gharama serikali inayoingia kuhudumia jamii mnalalamika wakati Kodi mnazichukua kwetu. Kwani mnataka pesa ya serikali mfanyie nini? Mbona kama V8 zenu, maposho na mishahara mikubwa mnayolipana hatulalamiki? Juzi Waziri Afya eti NHIF inapata hasara Hadi kutamani...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Wabunge Festo Sanga na Subira Mgalu mbona mnahangaika kumtetea Waziri Makamba kauli ya Umeme Laki 8?

    Siku ya leo mitandao yote ya kijamii inazunguka Clip ya Waziri wa Nishati, Januari Makamba ikisema kuanzia sasa gharama ya kuunganisha umeme iwe mjini iwe kijijini gharama ya kuletewa umeme ni laki 8. Clip hiyo imetokana na sehemu ya mahojiano ya ITV katika Kipindi cha Dakika 45 Makamba...
  17. Mystery

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mbona sioni ulinzi wa kutisha kwa viongozi wakubwa wa Kenya?

    Nimekuwa nikifuatilia kwa Karibu Sana, kipindi chote cha uchaguzi mkuu wa Kenya, sijaona msururu wa walinzi wa viongozi hao, wakilindwa na ulinzi wa kuwalinda viongozi hao, pamoja na uhasama mkubwa, uliokuwepo huko Kenya, Katika kipindi chote cha uchaguzi huo. Muda huu naangalia TV za Kenya...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Mbona kama dera ni oversize? Wanaohusika wako makini?

    Jamani naona Mama kapiga vazi fulani ila ni kama oversize na halimtoi vizuri kimuonekano. Swali ni je, wanaohusika na mavazi ya Mama wako makini? Ukiwa mkubwa, ujue hakuna dogo la kupuuzwa.
  19. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Rais Samia mbona unajifichaficha?

    Kwako Mheshimiwa Rais, kuna mambo yanatendeka hapa nchini yanakuhitaji wewe moja kwa moja useme ndiyo au hapana. Hawa wasaidizi wako tumeshawachoka. Maana stories ni zile zile ooh tunalifanyia kazi na hakuna kinachoendelea. Swala la tozo na kodi unatakiwa uje front useme tulipe au la. Siyo...
  20. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Mwigulu mbona wakati hayati JPM yupo watoto walisoma na kupata mikopo ya chuo kikuu bila tozo?

    Ina maana huko nyuma pesa za kukopesha wanafunzi zilitoka wapi 👇
Back
Top Bottom