mbona

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Miti inakua kutoka wapi? Mbona hatuoni shimo pale ulipotoka?

    Habari wakuu sana. Eti wakuu. Miti inakua kutoka wapi? Mbona unakuta mti mkubwa sana. Una kilo hata milioni moja(ukiwa mkavu), lakini pale ulipotoka hatuoni kama kuna kilo milioni moja zimetoka. Mti unatoka wapi?
  2. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Waathirika wa ajali ya Precision Air kulipwa Tsh. Bilioni 396

    Kamishna wa Bima Tanzania, Dkt. Baghayo Saqware amesema ndege ya Precision Air iliyopata ajali ilikuwa na bima na kwamba fidia kwa shirika ni zaidi ya Dola Milioni 50 (Tsh. Bilioni 116) Amesema bima ya ndege hiyo ni halali na ilikatwa kutoka kwa wakala wa ndani nan je ya Nchi ambapo waathirika...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kashfa ya Trilioni 1.5 Bwawa la Nyerere mbona Zitto Kabwe uko kimya kulikoni?

    BUNGE jana limeibua Kashfa ya upigaji wa zaidi ya trilioni 1.5 kwenye mradi wa bwawa la nyerere lakini tangu jana tuhuma hizo zimeibuliwa bungeni na mbunge wa kisesa, luhaga mpina nilitegemea zito kabwe ungetoa tamko juu ya suala hilo. Ukimya wa Zitto Kabwe kwenye mambo mazito kama haya...
  4. HPAUL

    JamiiForums Tanzania Unbeaten! Simba alikuwa unbeaten miaka mitano, mbona haizungumzwi?

    Jamani, Simba haikufungwa na timu yoyote Tanzania kwenye mechi za mashindano ikiwemo Ubingwa wa Tanzania tokea mwaka 1976 hadi 1980. Na Yanga hakupata hata sare miaka hiyo, hata katika mechi za kirafiki hakupata hata sare, na 1977 aliambulia kipigo cha 6 bila katika kugombea ubingwa wa nchi.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Jangwani hakuna miti ya maana wala misitu lakini mbona mvua zinanyesha?

    Najiuliza hili jambo mara nyingi kwani kuna wakati nilikuwa kule Sharjah,moja katika falme za kiarabu (IMARATI). Siku moja ikanyesha mvua kubwa tena ya kutisha na kwa muda mrefu. Nikajiuliza kule hakuna misitu kama huku kwetu tunayoitegemea kwa mvua,inakuwaje wapte mvua ?
  6. T

    JamiiForums Tanzania Oppah Clement angekuwa anatokea Africa ya Magharibi sasa hivi angekuwa anachezea Real Madrid W/Barcelona W au Bayern Munich W, Mawakala mbona mmelala?

    Igweeee igweeee!! Nimekaa nikitafakari jinsi gani tunakosa mawakala wa kuwavusha wachezaji wetu kwenda kucheza soka la kulipwa barani Ulaya na Marekani. Nchi yetu imebarikiwa kuwa na mchezaji mahiri sana katika soka la wanawake naye si mwingine bali ni muwindaji wa magoli, Oppah Clement. Huyu...
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ule uhamasishaji wa Nguvu na Kauli Mbiu tulipocheza na Al Hilal mbona siuoni tukicheza na Club Africaine leo?

    Kulikoni kuelekea Mechi ya Leo ukimya Umetawala sana kiasi kwamba hata zile Kauli Mbiu zetu za Uwongo na Kweli za Kutiana Hamasa za Kipuuzi hatujazikia wakati Leo tuna Mechi ngumu dhidi ya Club Africaine ya nchini Tunisia? Vipi tumeshachungulia kwa Babu au?
  8. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Hata kama kazi inaendelea. Mbona hatuoni miradi mkakati mipya zaidi ya kujikongoja kumalizia miradi aliyoasisi Hayati Magufuli?

    Mnakomaa kumalizia Sgr, daraja la Wami, daraja la Busisi na miradi kibao aliyoiasisi hayati JPM. Kwanini rais wa sasa asilete miradi mingine ya kuweza kisisimua uchumi? Ina maana hii miradi aliyoianzisha hayati JPM ikiisha ndio basi tena?
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tanzania mnasema Rwanda inapora Mali za Congo DR mbona hamzionyi pia France na Belgium wanaopora 24/7 huko?

    Kwa huu Unafiki Wenu, Wivu na Chuki Kubwa dhidi ya Rwanda Taifa lenu japo kuwa ni Kongwe ila hadi leo Umeme ni wa Shida, Maji ya taabu japo mna Mito mingi na Maziwa mengi, Elimu yenu ikiwa ICU kwa sasa na Mwezi huu Utafiti umeonyesha pia kuwa Watanzania Milioni Saba (7) wana Ugonjwa wa Akili...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Wanaosemwa wanautaka Urais ndani ya CCM, Je ni Dharau tu? Mbona wakati wa Chuma waliufyata wote?

    Kuna tetesi kila mahali kuwa ndani ya Chama cha Mapinduzi makundi kwa makundi wanajipanga kuweka upinzani hapo baadaye 2025 uchaguzi ujao. Ofcourse! Watasema ni haki yao ya kikatiba na demokrasia ndani ya chama chao, jambo la kushangaza ni kwanini sasa? Mbona wakati wa JPM wote waliufyata...
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa KMC Mwanadada mbona hubwatuki kwa mbwembwe kama kawaida kwa mechi yenu na Yanga SC leo?

    Mbona ukiwa unakaribia kucheza na Simba SC huwa hunyamazi na huwa 'Unabwatuka' mara kwa mara tena hadi kuwapigia simu waandishi Ili wakuhoji kuhusu maandalizi juu ya mechi ya Simba SC? Cha kushangaza leo unaenda kucheza na Yanga SC, ila kwa takribani wiki au aiku tano hujasikika kabisa...
  12. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Kuna nini Tanzania mbona kila kitu sasa ni mgao?

    Kuna kipi kinaendelea ndugu zangu hapa Tanzania kinachopelekea kila kitu kiwe cha mgao? Mfano umeme sasa ni anasa na huwezi kuupata bila kugawiwa. Maji hali kadhalika/kadharika! Kwa nini ghafla tu tumekuwa watu wa mgao?
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mbona leo kimya hamna update za Masanja?

    Yani hizi updates za Jamaa kugongewa na kuchapiwa zinachagamsha jamvi kichiz na kusisimua. Watanzania tunafurahiiii nakusahau shida zetu. Naomba tu hili saga liendelee hadi krismas huko watu tuenjoy maumivu ya wengine kwasababu huu mlo mmoja kwa siku wengi tunaupata bila kusindikizwa na umbea...
  14. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Je, Geita ni eneo hatari sana? Mbona walinzi wa Rais wamesimama juu ya gari?

    Vipi huko kanda ya ziwa hasa Chato, mkoani Geita ni eneo hatari sana? Inakuaje walinzi wa Rais Samia kusimama juu ya gari? Ndiyo wanawaogopa Sukuma Gang?
  15. comte

    JamiiForums Tanzania Kama kutairi na kukeketa vyote vinahusisha kutoa sehemu ya mwili mbona hivi sasa?

    Kwanini watu wanakataza wanawake wasikeketwe ila wanataka wanaume watairiwe?
  16. Mr_S

    JamiiForums Tanzania Mbona mwanamke ukimkataa anakuchukia sana?

    Ndugu zangu mimi kuna jambo huwa silielewi kabisa kuhusu wanawake/ mwanamke: "ukiwakataa huwa wanakuwa na chuki kali sana dhidi yako haijalishi mpo katika mazingira (hata kazini/biashara) gani." Kwanini hawa wenzetu huwa suala la kukataliwa wanalibeba kwa uzito sana. Mbona wao wanatukataa kila...
  17. Idugunde

    JamiiForums Tanzania WanaChadema mbona mnapenda malalamiko yasiyo na mashiko. Kuna ubaya gani kiti cha rais kupelekwa kanisan? Mmekosa hoja.

    Mnabwatuka hovyo. Mbona hata wananchi wa kawaida huwa wanaenda viti vyao makanisani. Hapa kuna shida gani? Hii ni non sense. 👇🏿
  18. Z

    JamiiForums Tanzania Waziri anaunda tume kuchunguza 'kufeli' kwa wanasheria, mbona CPA na PSPTB wanafeli pia?

    Tunaweza kujadili miaka yote juu ya professional bodies mbali mbali lakini kuna mambo mengi yaliyojificha ndani yake. Sehemu kubwa hii ni biashara kwa wachache. Mitihani ya CPA watahiniwa wamekuwa wakifeli kila mwaka kwa wingi. Hata matokeo yake mengi huwa ni ya kupanga tu! Rushwa kibao! Leo...
  19. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Kubemenda mtoto kuna madhara gani? Mbona kunaogopwa sana?

    Katika tafakari yangu nimegundua kuwa kubemenda mtoto hakuna madhara yoyote. Kubemenda ikiwa ni kuzaa watoto karibukaribu kupita kiasi, huyu hajamaliza kunyonya tayari mwingine kazaliwa. Zamani jambo hili liliweza kusababisha kwashiarkor kwa watoto. Hata Kwashiarkor maana yake ugonjwa unaompata...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Uto wajiuliza: Tunakwama wapi, mbona wenzetu wanasonga mbele kiulaini?

    Kwanza uto sikieni: Simba siyo wenzenu! Simba ni daraja jingine kabisa! N kuikosea adabu Simba kusema ni wenzenu! Niwasaidie mnapokwama: Huku CAF hakuna cha bahasha! Huku unabebwa na uwezo wako wa soka, mmenipata?
Back
Top Bottom