Mbona Mwanza Mgao wa umeme unaendelea?

ngebe

JF-Expert Member
Jun 8, 2020
1,789
5,105
Nashangaa sana tanesco walitangaza kipindi cha nyuma siku kumi za mayengenezo kwamba zikiisha hakuna tena mgao, lakini cha ajabu Mwanza mgao wa Umeme haujawai kuisha mpaka leo, umeme unakatika saa mbili asubuhi unarudi saa kumi na mbili jioni, pengine unakatika saa kumi na mbili jioni unarudi asubuhi,

Serikali ya awamu ya sita imeshindwa kabisa hili swala la umeme, mnatia sana hasira mnataka tu kodi hamjiulizi kukosa umeme mnakwamisha shughuli zetu za uzalishaji?

Vitu vingine ni mabifu tu yasiyo na tija kilichomtoa kalemani wizara ya nishati ni nini? mnatuwekea watu ambao hata hajui kazi zao?

Mnatia hasira serikali la awamu hii limechoka sana tutavumilia tutachoka ukweli usemwe hakuna kupeana sifa zisizokuepo hapa
 
Nashangaa sana tanesco walitangaza kipindi cha nyuma siku kumi za mayengenezo kwamba zikiisha hakuna tena mgao, lakini cha ajabu Mwanzamgao wa Umeme haujawai kuisha mpaka leo,
umeme unakatika saa mbili asubuhi unarudi saa kumi na mbili jioni, pengine unakatika saa kumi na mbili jioni unarudi asubuhi,

serikali ya awamu ya sita imeshindwa kabisa hili swala la umeme, mnatia sana hasira mnataka tu kodi hamjiulizi kukosa umeme mnakwamisha shughuli zetu za uzalishaji?

vitu vingine ni mabifu tu yasiyo na tija kilichomtoa kalemani wizara ya nishati ni nini? mnatuwekea watu ambao hata hajui kazi zao?


mnatia hasira serikali la awamu hii limechoka sana tutavumilia tutachoka ukweli usemwe hakuna kupeana sifa zisizokuepo hapa
Mkuuu sio uko tuu hata huku kwetuuuu unaendelea
 
Makamba anatosha sana kalaman mpeni ajira nyie. Bado tu roho mbaya zinawazunguka zikemeeni ziwatoke ili mioyo yenu iwe huru mtazidi kuumia tu kipindi chenu kimepita kubalini matokeo.
 
Makamba anatosha sana kalaman mpeni ajira nyie. Bado tu roho mbaya zinawazunguka zikemeeni ziwatoke ili mioyo yenu iwe huru mtazidi kuumia tu kipindi chenu kimepita kubalini matokeo.
umeandika utumbo
 
Umeandika kwa hasira sana..najua unaumia kukosa umeme..huku serikali ikitaka kodi..chamsingi jipange kuhamaisha vijana na wazee wajue nini kinaendelea nchini..kutukana kipara humu haisaidii kitu yuko pale kwa maslahi ya walio muweka mana yeye mwenyewe yupo yupo tu hajua anachokifanya zaidi ya kuandaa mikataba ili wapige 10%

Kiufupi tangu jpm alale majizi na majambazi yameingia kazini rasm.

#MaendeleoHayanaChama
 
I feel your pain! Karne hii ya sayansi na technologia maendeleo yanategemea nishati kwa 100% ... Itoshe kusema nchi hii (kama ni nchi kweli) haijadhamilia kuendelea, yaani ipoipo tu inasukuma siku.
 
Mwanza mji uliokuwa unapata ziara ya Rais kila mwezi naona mnaonja machungu Sasa, wenzenu wa songea walishazoea kutomuona Rais yeyote mpaka wakati wa kuomba kura.

Samia mwenyewe amekuja Mara tatu sijui Ila hajagusa nyanda za juu Kusini toka aingie kwa hiyo kuweni wapole tu ukiona hodi zinazidi kwako ujue kuna kitu kinatoka kwako kinapelekwa kwa majirani.

Nyie mkiambiwa Rais anakuja mnajaa barabarani na matawi kumbe mwenzenu ana deal zake.

Jifunzeni kwa watu wa mbeya, Magufuli alipigwa mawe hakurudi tena na akaweka kisasi eti kwakuwa walipiga msafara wa magari yake.
 
Jua lituchome, upepo utupulize, mito inafurika paka inasomba nyumba zetu, Geothermal energy tunayo, kuna gesi, kuna makaa ya mawe, kuna uranium. Lakini kua na yote hayo hatuna nishati ya uhakika.

Ni heri kua mwerevu asiye na kitu, kuliko kua mjinga mwenye kila kitu. Ni aibu kua mtanzania.
 
Magufuli alimnadi Dk Tulia hapo Mbeya.

Akasema nileteeni Dk Tulia ili moyo wangu utulie
Anajua kilichomkuta kabla na akasema japo watu wa mbeya mlinipiga mawe Ila nimewasamehe😃😃 bila kujishusha hakuna mnyaki angemuelewa
 

Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom