Nimekutana na machinga wauzao kalenda mitaani akinionyesha kalenda yenye picha ya mwl Nyerere, Magufuli,
Cha ajabu nilipomuuluzia picha ya mama akaniambia hiyo picha licha ya kuwa haiwezi kuuzwa lakni unapopita nayo mitaani unatakiwa kuwa na tahadhari sana.
Inavyoonekana sijui ni nani...
Wakuu, Mimi naona aya mambo ya kizungu sana, sisi wa matumbi tuliokulia mpwimbwe katavi naona kama ni mageni sana.
Niko kwa hotel moja hapa nusu saa imepita sijui cha kufanya, ukikaa kwenye hiki choo mjeredi unagusa sink, hujui wangapi wamekaa hapo, na imagine ata nikikaa mzigo hautoki nikisema...
Nianze kwa habari hii, kuna mama mmoja alikuwa pale TRA tawi la Kinondoni,alikuwa mama poa sana,ukienda pale kufanya makadirio huwa anakupa ushirikiano mzur sana na mwisho wa siku mambo yanakuwa sawa.
Kama Miaka miwili au mitatu iliyopita nilimtafuta kwenye call kutaka kumuuliza jambo...
Mjadala kuhusu mpango wa kujenga Ebola quarantine facility nchini Kenya unaendelea kushika kasi huku Wakenya wengi wakijiuliza swali moja kuu: Kama facility hii ni salama, kwa nini Marekani isiijenge kwao?
Maafisa wa Marekani wanasema kuwa kuweka kituo hicho Kenya kutasaidia Americans...
Hali zenu wafuasi wa hili jukwaa la MMU... kama kawaida yangu, nimetenga miezi hii mitatu nifanye research kuzunguka kumbi baadhi za starehe na zile ambazo kuna dada poa wanaojiuza. Ile barabara ya Mandela road nimepita mno ila sikuwahi kufika pale R Side in particular... Nimesikia mengi mno...
Wana-JF,
Kumekuwa na utaratibu uliozoeleka wa Waziri Mkuu, Mheshimiwa Mwigulu Mchemba, kufanya ziara mbalimbali sehemu mbalimbali nchini. Katika ziara hizo, pamoja na mambo mengine, amekuwa akitenga muda wa kusikiliza na kutatua kero za wananchi.
Katika utatuzi huo, tumekuwa tukishuhudia mambo...
Nilidhani magumu tunayo sisi ambao tunakunywa pombe na kuchoma nyama.
Unachukua kinywaji kikali unafanya ukemia alafu maisha yanaendelea.
Nashangaa na nyie msiokunywa watumishi wenzangu wa serikali baad ya wiki tu mshahara kutoka mnakua hoi bin taaban.
Natumaini tuko poa
Kila mmoja anaona au aliona yaliyotokea kabla na baada ya uchaguzi wa mwaka jana 2025 ,baada ya machafuko ya October 29 ,Raisi aliunda tume ya kuchuguza kilichotokea na sababu ya yale mambo kutokea na tayri tume imekabidhi ripoti yake na mapendekezo yake.
Baada ya tume...
Kwa wale wadukuzi.....
Nmap scan report for 212.7.194.67
Host is up (0.00099s latency).
PORT STATE SERVICE
7/tcp open echo
9/tcp open discard
13/tcp open daytime
21/tcp open ftp
22/tcp open ssh
23/tcp open telnet
25/tcp open smtp
26/tcp open rsftp
37/tcp...
Crdb yapata faida ya bilion 206 robo ya mwaka huu.
Nategemea serikali itakapo kuja na mambo ya kusema kwenye mei mosi waje na hili .
Sio mnapokelea vichakani hizo gawio then mnagawana watu wachache....
Aise, kwema wadauh? Leo nimecheka sana mwanangu mmoja alikopa elfu 40,000 wakampa 24,000/= badala ya 40,000 aise nilishangaa jamaa akala kiapo cha kutokulipa deni hilo, sasa hizo simu kutoka kwa zuri pesa ni balaa.
Jamaa akaamua kuwatandika block la maana weee!
UJUMBE uliofatia hapo ni balaa...
Watanzania sijui mna shida gani , Kuna familia nyingi mno zimetendewa vibaya sana na watawala na vyombo vya usalama, waliowatendea unyama wanajulikana lakini hakuna anaelipa kisasi.
Uonevu utaisha siku watu wakianza kulipa kisasi, yanayotokea Tanzania yangetokea south America pasingekalika...
Wanabodi,
Hii ni Makala yangu kwenye gazeti la Nipashe, Jumapili ya leo.
Leo, nimeizungumzia Ripoti ya Jaji Chande kwa kuwa mtu wa shukrani, kushukuru kwa hiki kidogo ili tupatiwe kikubwa!.
Asante Jaji Chande Kwa Ripoti Yako, Japo Ripoti Imekidhi Haja, ila Haijamaliza Kiu!. Asante kwa Kutoa...
Mimi ni software enginerr mkongwe, mwenye uzoefu zaidi ya miaka kumi, na nilikua sijaanza kuchangamkia coding via AI, nilikua napiga codes zangu mwenyewe nikitarajia siku nitapata fursa nitajifunza kutumia AI. Sasa ikatokea mteja anahitaji nimtengezee mfumo wa hotel management, na kanipa siku...
Kila mtu hasa waandishi kama Salim kikeke maulid kitenge wanaisifia ripoti hata kabla haijatoka n kwamba wenzetu tayari wameiona
Ripoti inatolewa leo lakn WATU wanaisifia sijaelewa nn maana yake
Hii nchi kuna sehemu imefika kila kitu n kisifia na haya hayaji hvhv laZma kuna WATU wapo nyuma...
Nauliza hivi hizi bei za mbolea zilizopanda wakati huu Serikali inafahamu hii changamoto maana hatuoni tena umuhimu wa ruzuku
Maana sasa mbolea ni shilingi 85,000 kwa mbolea ya kukuzia hadi 95,000 sasa tunaomba tujue hii ndiyo bei elekezi huku kwetu Dakawa, Mvomero Morogoro.
Bei ya kawaida...
Anonymous (01f4)
Thread
bei
bei ya mbolea
dakawa
kila siku
kupanda
mbolea
mbona
siku
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.