Zamani nikiwa nakua nilikua siishi kusikia matukio ya ujambazi na uporaji..na watu kuuawa na mali zao kuibiwa..lakini miaka zaidi ya 10 au zaidi sasa sijasikia tukio la watu kufanya uporaji wa kutumia silaha au unyanganyi wa kwenye majumba ya watu?
Maana zamani ingawa social media zilikua...
Kwa zaidi ya mwaka mzima sasa gari ambayo inatakiwa kutumiwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Bodi ya Korosho Tanzania (CBT) kwa ajili ya shughuli za kiofisi badala yake imekuwa ikitumika kwa shughuli binafsi nyingi ikiwemo za masuala ya shamba.
Gari hilo lenye namba za usajili SU 42509...
Anonymous
Thread
binafsi
bodi
bodi ya korosho
hii
korosho
mbona
mwenyekiti
shughuli
Mimi na cheka sana yani hapa mjengoni na idara kubwa wanao jifanya pombe sio ila watumiaji wa hivi vitu.
Kuna mmoja idara kubwa na tajiri na mpenzi wa mirungi anatumiwa sana .
Mbona sheria kama hipo kwa maskini sio kwa wao wenye sheria.
Tokea siku ya juzi kuna changamoto kwenye app yenu ya NMB mkononi, kutoa pesa ni shida na nimekuta nimeandikiwa deni ndani ya account yangu yaani (-Kisha kiasi ninachodaiwa) jambo ambalo sijawahi kuliona hapo kabla.
Nimetuma pesa juzi na imerudishwa jana ila nikitaka kununua umeme pia...
wakuu kwema ?
Na mimi natafuta mrembo mpole mwenye hofu ya mungu
Nina 26yr mtanashati na najielewa, mimi ni mkristo location dar es salaam mishe international businessman + Engineer
Ninajua kupika, kufua vizuri 🙏
SHEMEJI: bandiko ni kitu gani na inatoka wapi?
KIJANA: Si unajua shemu mimi JF ndio napotezea mawazo, sasa nimepigwa ban, siwezi ingia
SHEMEJI: ndio maana asubuhi hadi jioni upo na simu tu tena nakuonagaa una type kwa hasira kabisa, ila mbona kazi nakuunganishiaga ufanye kazi eti unasema...
Picha linaanza wakuu nimezoea Mafinga ukifika rood unasubili magari yaishe ndo uvuke Leo apah Dar Si nimekaa masaa ma wili nasubili magari ya ishe lakin hayaishi ndo nikaona wat wanavuk TU ivo ivo ndo na mm nikaamua nivuke
Yan wakuu amkunipa mwongozo mzur sjui mlikua mnataka nitie aibu kwanza
Kuna vyama vilishiriki uchaguzi Mkuu, vinalalamika kwamba CHADEMA Asifanye maridhiano na CCM bali maridhiano yafanywe na vyama vyote.
CHADEMA anataka uwajibikaji kabla ya maridhiano na Msamaha.
Vyama Uchwara vinadai CHADEMA Wasisikilizwe kwani nao wana haki kama chadema.
Sasa mbona Zanzibar...
Moja kwa moja kwenye kero yangu:
Nimeona tangazo la EWURA kutangaza kuwa bei ya mafuta ya petroli na dizeli imeshuka kwa sh 96 and 151 kwa mafuta yanayoshushiwa katika bandari ya Dar-es-salaam .
Bei mpya
Petroli: Sh 3,990 kwa lita
Dizeli: Sh 4,182 kwa lita
mpaka sasa sijaelewa kwanini mafuta...
Hvi inakuaje bando zinaisha ghafla hivi?
Gb kumi natumia jf, fb, insta, na YouTube pekee. Movie sidownload hakuna consumption kubwa na nimewasha data saver alaf GB kumi hazimalizi siku mbili kweli...
Jaman wadau na nyie mnaliona hilo?
Ndugu zangu kwema?
Hivi na nyie mnapata changamoto ya kimtandao hususani kwa watumiaji wa Vodacom kama mimi?
Ukituma meseji haziendi, ukijaribu kupiga simu muda mwingine simu inabaki kwenye connecting mode tu hata kwa dakika mbili bila hata kuita.
Ukijaribu kutumia M-Pesa Menu ya kawaida...
Hapa makasiriko ni mengi sana sijui Tatizo nini
1. Ni maisha magumu ?
2. ARVs
3. Mitaji kukosa
4. Kukimbiwa na mademu au Tatizo ninii?
Au njaaa ?
Mtu unakuwa idle Kidogo Unasema ngoja nifanye kutoa ka story fulan ni shee na wenzangu 😀
Hujamaliza hata story unasikia weka passport na muhuri...
Kwa ambao hamjawahi kupata bahati ya kumtoa mwanamke usichana wake nakupa hii fact ile damu ikidondokea kwenye shuka hata ufue vipi na jik lile alama halitoki ila sababu sijui mpaka leo atleast nilibahatishaga mmoja maria wangu 2015.
Serikali ya Tanzania ilitangaza katika hotuba ya Bajeti ya mwaka 2026/2027 kuwa imependekeza kupunguza ushuru wa forodha kwa baadhi ya magari ya umeme kutoka asilimia 25 hadi asilimia 10. Aidha, ilitangaza pendekezo la kusamehe VAT kwa baadhi ya vifaa vya kuchajia magari ya umeme ili kuhamasisha...
Wakuu, nimeshudia watu wengi walipokuwa CHADEMA walikuwa wanaonekana kama wako timamu, ubongo unachaji, wakiongea wanatoa madini, wanakupa kitu cha kukufanya ufikiri ila hao hao wakihama wanaongea kama wamekatwa vichwa, utumbo tu kama akili hamna.
Kwani wakiwa CHADEMA huwa wanapewa nini ili nao...
Yaani CCM hadi leo hawataki kuamini kuwa watu sio wajinga tena kama walivyozoea kutufanya kuwa sisi ni wajinga tu.
Inawezekanaje watu wamekamatwa na siraha, wanapewa fedha kila mwezi ili kuandamana, wana taarifa za waandamanaji kuzua vurugu na kuchoma vitu. Lakini hawaweki huo udhibitisho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.