Nakumbuka mahali ilipokuwa taifa la Zimbabwe, Mshua aliwahi kufika huko miaka 1990s. Alitueleza mengi sana na kulikuwa na products za Zimbabwe kimasoko zilifika hadi hapa nchini.
Shida ilianza viongozi kuanza kukosa sera na mikakati ya kuendeleza nchi yao, na kuanza kutafuta adui wa nje...
Nimepata safari ya dharula kwenda Tanga nataka nitumie usafiri wa basi kutoka hapa Dar kwenda huko.
Kinachonishangaza ni kukosa huduma ya tiketi ya mtandaoni.
Ina mana ukitaka kwenda Tanga inabidi uende hadi stendi ndio upate tiketi? Sasa huo si uzamani sana wakuu
Nataka nikate tiketi kwa...
Tokea kushika kijiti kwa JPM kumekuwa na matukio ya kutisha na ufisadi wa kutisha.
Kuna kisa kimoja nimekumbuka hata nchi kubwa wanatumia sana zengine tunaona kwenye movie.
Ukishapangiwa majukumu na mkubwa wako na mission ikawa inakwenda kumfichua mkubwa wako ni wazi unatakiwa kupotezwa ili...
Kichwa cha habari kiko wazi. Ukweli ni upi? Nini maana ya Mwigulu kusema kuwa hata akiwa waziri mkuu wa wiki moja yatosha? Je, anaumwa?
Je,ameaga kama wanavyosema wasiomtakia wala kututakia mema?
Je, anatafakari kamba mpya au kutubia madhambi ya kuuawa kwa Gen Z wetu?
Yuko wapi Samia?
Tangu mauji ya October 29, 2025 mpaka November 3, 2025 yatokee yaliyopelekea watawala kushitakiwa katika Mahakama ya ICC, hatujamsikia Samia, Mwigulu, UVCCM na hata Msemaji wa Serikali akisema lolote.
Swali: Ni kwanini?
Je, wanaona aibu?
ICC ikiridhika kuwa wana kesi ya kujibu na kutoa...
Jana kuanzia saa 2 mbili usiku tarehee 8 December kuna mambo ya ajabu yalikuwepo ila tunajua ukiona sehemu moja jua na kote si mnasema watanzania ni wa moja.
Vituo vya polisi kuanzia vidogo na vikubwa kila napo pita vilikuwa vimezimwa taa na wamjiweka gizani usiwaone na maarufu ya bangi...
GT
Mambo si poa hata kidogo hawajui pakuanzia, Samia kabweka ndo kawachanganya kabisaa hawajui waanzie wapi. Je, wawe Wakatili kama yeye au wapole hapo ndo patamu.
Ila ukweli ni kwamba wakileta shobo za kijinga kitaa watakula jeuri yao wachague kusimama na wananchi au wabaki kimya na samia wao...
Tulipopiga kelele na kupoteza rasilimali zetu kwa ajili ya hayati Nelson Mandela aachiwe Afrika ya kusini haikuwa Sovreign state?
Ilikuwa dola huru lakini ilikuwa chini ya utawala dhalimu ambao ulimweka jela kwa kesi ya uhaini kwa mizengwe.
Mpaka sasa hapa kwetu kesi ya Lissu imeonekana wazi...
Niliona documentary ya watu wa Madagascar wanajipa rangi nyeupe usoni na mikononi, kwenye narration yake anayesimulia makala hayo, aliweka wazi kabisa siyo kwamba ni "Assimilation" Assimilado kwa kifaransa lakini ni obsession ya watu wa huko kuonekana ni weupe. Nilishangaa kidogo, nimeishi na...
Gen Z, tusipoteze focus. Focus yetu ni maandamano ya 9D.
Mbona kama Press za Mwigulu zinatuhamisha?? Tumeacha kuongelea 9D sasa tunamuongelea Mwigulu na press zake.
Nawakumbusha Gen Z, jukumu lililoko mbele yetu ni D9, ambapo tutaandamana tukimtaka Samia ajiuzulu na serikali yake yote...
Mtu ametekwa baada ya kumsema kiongozi fulani au kukosoa jambo fulani. Halafu anatekwa unasema waliomteka hawajulikani. Kweli?
Leo ukigombana na mtu ukamtishia maisha anakutipoti polisi na ikitokea amepata madhata kwa namna yoyote polisi wataanza na wewe.
Sasa hili suala la mtu anamkosoa mtu...
Yani siku hizi mtu kutekwa na kuuwawa au kupotezwa imekuwa kitu cha kawaida. Watanzania wanajazana kwenye comment section kutiana mwoga na kushangaa tu. Hii inadhihirisha hile kauli ya "Tutakupoteza na Watanzania watapiga kelele siku 2 kisha watakusahau".
Kila mtu sasa hivi Tanzania ni victim...
Kama umewahi kuishi na Wakenya, utagundua wengi wao wana matumizi mazuri ya ubongo.
Je, Watanzania tunakwama wapi? Au kwa sababu lugha ya kujifunza ni Kiswahili? Au ni vichwa vyetu tu?
Wakuu Balozi Nchimbi yuko wapi?
Mbona kama hili sakata la tumbo joto kuhusu Serikali na hizi report za kimataifa kuhusu haya mauaji mbona kama Nchimbi havimuhusu hivi. Wako sawa huko ndani kweli? Alie karibu na Nchimbi huko anisaidie kumsalimia
Ndio maana kuna jamaa aliwahi niambia hawa wanaojidai wanatetea haki za wanawake lengo lao kubwa ni kumdidimiza mwanaume tu. Na ndio maana wanakua kiherehere kuingilia mambo ya familia za watu na kukuza ugomvi kati ya mme na mke.
Haya leo mwanamke mwenzenu ameshiriki kufanya mwanamke mwenzake...
Nimepita saa kumi na Moja asubuhi na usafiri binafsi hapo mlima kitonga nimeona Kuna watu hawaeleweki wamevaa kininja ni wengi halafu Wana silaha aisee mpaka nikataka kugeuza safari wakaniambia pita hakuna shida Kuna nini kinaendelea aisee hii nchi mbona ishakua shida.
Mnaopita kitonga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.