mbona

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. P

    JamiiForums Tanzania Mbona ripoti ya Hon Chande inapongozwa kabla haijatoka? Kuna nini nyuma ya pazia?

    Kila mtu hasa waandishi kama Salim kikeke maulid kitenge wanaisifia ripoti hata kabla haijatoka n kwamba wenzetu tayari wameiona Ripoti inatolewa leo lakn WATU wanaisifia sijaelewa nn maana yake Hii nchi kuna sehemu imefika kila kitu n kisifia na haya hayaji hvhv laZma kuna WATU wapo nyuma...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Mbona bei ya mbolea inazidi kupanda kila siku huku Dakawa?

    Nauliza hivi hizi bei za mbolea zilizopanda wakati huu Serikali inafahamu hii changamoto maana hatuoni tena umuhimu wa ruzuku Maana sasa mbolea ni shilingi 85,000 kwa mbolea ya kukuzia hadi 95,000 sasa tunaomba tujue hii ndiyo bei elekezi huku kwetu Dakawa, Mvomero Morogoro. Bei ya kawaida...
  3. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Mbona hii mission ya mwezini sijaielewa, ni kweli tuliwahi kutua mwezini miaka ya nyuma?

    Kwanini kama miaka ya nyuma NASA Waliweza kufanya landing mwezini kipindi cha cold war kwanini hii misheni ya Artemis 2 objective ni just kuuzunguka mwezi kitu ambacho naamini hata chombo kingetumwa kufanya hio kazi kingeweza me nilijua tena safari hii tutatua mwezini
  4. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Kwahiyo kila mwaka Mungu Yesu anakufa na kufufuka?

    Kuna dini zina mambo ya ajabu sana aisee yaani kila mwaka tunasikia Mungu wa wakristo Yesu anafufuka huu ni usanii aisee kwahiyo Mungu anayewezakana vp kila mwaka anakufa na kufufuka tu kwahiyo hizi siku zingine wakati amekufa nani ana control ulimwengu?
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mfumo wa NSSF kupitia App yako mbona haufanyi kazi??

    Ni muda mrefu sasa, hii app ya NSSF haifanyi kazi lakini hela inapoingia unaingia ujumbe ukitaka kuingia kwenye App hiyo ili kuona Balance. Swali langu? 1. Je hiyo App imefungwa? 2. Na kama imefungwa kuna taarifa waliyotoa?
  6. T

    JamiiForums Tanzania Lile lililosemwa kwamba ni andiko la Rioba mbona ni kama la 'Mwajuma Ndala Ndefu' akimnanga 'Chausiku' kwa kumchukulia bwana

    Yaani mtu amekabidhiwa TBC, chombo cha habari kikubwa halafu kwenye kuaga baada ya kukalia kiti miaka 10 anashukuru hakutumbuliwa na anaenda mbali zaidi eti anawananga wabaya wake hivi kweli? Mtu wa level ya Ryoba!? Kwa dhamana aliyokuwa nayo kwa Taifa na usomi wa kuitwa 'Dr' inawezekana kweli...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania TANESCO mna shida gani? Kwanini umeme unakatika mara kwa mara?

    Umeme saivi unaweza kukatika hata mara tano na kurudi ndani ya dakika 15 hadi 20, sijui kuna shida gani maana najiuliza ni kwangu tu au ni kila sehemu? Mtaani kwako hali ya kukatikakatika kwa umeme ipo?
  8. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Hii vita ya mtandaoni Tanganyika na Zanzibar mbona kama imepamba moto

    Hello Hivi jeuri ya wazanzibar ni nini? Yaani mtanganyika siyo mzanzibar lakini mzanzibar ni mtanganyika hapo tulipigwa. Mzanzibar anaweza.miliki aridhi bara.mtanganyika marufuku kumiliki aridhi zanzibar ooh noooo hu ujinga
  9. jimama26

    JamiiForums Tanzania Mama Dorothy Gwajima suala la ushoga hulioni? Mbona linazidi kushika kasi? Umenyamazishwa?

    Kwako Mama Dorothy Gwajima. Natumai unaendelea vizuri na majukumu yako. Hivi Mama Gwajima, suala la ushoga hapa nchini Tanzania unaliona linavyozidi kasi au hulioni? Nakuelekezea wewe hii mada nikiamini kabisa ni eneo unaloliweza vilivyo tu, ila siku hizi umelikalia kimya, kama halikuhusu...
  10. loose Nut

    JamiiForums Tanzania Houthi mbona kimya hawamsaidii Iran.

    Wale wanamgambo wala mirungi wa Yemen tangu Iran kubondwa na Wateule na Marekani wamekuwa kimya kulikoni? Ni zaidi ya wiki sasa hata kimondo hawajarusha kuelekea ardhi tukufu, takatifu na teule. Wamemuachia tu mwenzao Hezbollah anayejitahidi kurusha vimondo kinyonge. Houthi waache uwoga bana...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Uchawa wa wanahabari: Mbona hakuna anayeuliza kuna Meli ngapi zilizopewa bendera ya Tanzania?

    Uchawa wa wanahabari: Mbona hakuna anayeuliza kuna Meli ngapi zilizopewa bendera ya Tanzania? Soma Kwanini kusiwe na Shirika la Meli la Muungano ili kuepuka usajili wa kiholela? Meli zinaandikishwa huko Zanzibar halafu zinaenda kutumika kwa kubeba magendo na madawa. Tuwaulize ni meli ngapi...
  12. Mzee Mwanakijiji

    JamiiForums Tanzania Swali Fyatu: Mbona kama wanajitahidi mno Kujipodoa?

    Na. M. M. Mwanakijiji Wanataka waendelee kututendea kama hawatupendi, lakini wanataka tuwatendee kama tunawapenda. Wamekuwa ni kama yule mwanamke mgomvi ila mrembo. Ukimuona kwa mbali na kwa karibu unaweza kujikuta unasema kama alivyosema Ice Cube na Chris Tucker kwenye ile filamu ya kuchekesha...
  13. S

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Je, huyu ndiye mrithi wa El Mencho? Lakini mbona kama AI

    Wakuu Naona kuna watu wanasambaza picha inayodaiwa kuwa ndiyo ya mrithi wa El Mincho lakini mbona kama imetengenezwa na AI
  14. figganigga

    JamiiForums Tanzania Je, Wanajeshi wa Tanzania Wanakufa kama Nzi huko Congo? Mbona Wananchi hatujulishwi

    Salaam Wakuu, Inadaiwa Wanajeshi wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania JWTZ, wanakufa kama Nzi au Mbu huko Kongo. Hii habari nimeiona mtandaoni. Je, hizi habari ni za kweli? Sasa kwanini Wananchi ambao ndo wahusika wa Jeshi hatuambiwi? Waziri wa Ulinzi yupo kwenye Sherehe za Futari na kufuturu...
  15. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Kama tatizo ni mabeberu mbona viongozi wetu ni matajiri?

    Kila mara tunaambiwa kuwa umaskini wetu unasabanishwa na kutawaliwa na wakoloni na kuendelea kugandamizwa na mabeberu. Sasa kama ni hivyo mbona viongozi wetu wao siyo maskini, au wao hawajathiriwa na ukoloni na ubeberu?
  16. Think2

    JamiiForums Tanzania Wanaume wa Kigoma mna nini? Mbona sio wastaarabu nyie

    Umekuja mjini toka kigoma fuata taratibu za ulipofikia sio vizuri kujiamulia kila kitu hapa mjini bana sio ujiji. Unakuta mtu anatafuna dagaa wabichi mabarabarani yaani kuweka mfukoni kabisa kama karanga kuhalibu bajeti za watu tu, mkirudishwa kigoma mnaanza fitina zenu . Mbaya kabisa anapika...
  17. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Mh Rais Nina hoja nisikilizwe, waliochoma soko la kariakoo wapo mbona mnawaacha? Sasa ushahidi tulio utoa mbele ya kamati tulikuwa na tumepoteza Muda?

    Mtoto akinyea Mkono ni kosa kuukata ila kitendo Cha wale majaa kuchoma soko na Leo mmezindua jipya paspo kuwachukulia HATUA Haina maana mnajenga Bali mnabomoa jamaa wapo kwa Nini mmewaacha?
  18. Registered_jf

    JamiiForums Tanzania Mbona hii ni habari njema! !

    Ni nani aliita polisi? ? Nimesikitika sana! Kwa hali zilivyo karne hii ya 21, Nikipata habari kuwa kijana wangu wa miaka 13 ametia mimba mwanamke wa miaka 33: Nitamuita nimuulize hizi habari ni kweli au si kweli? Swali ni rahisi sihitaji maelezo. Akisema ni kweli, namuambia haya nenda...
  19. Foffana

    JamiiForums Tanzania Matajiri mbona hamtangazi nafasi za kazi?

    Heshima yenu Wakuu Niruke moja kwa moja kwenye mada Humu kuna maCEO, MaHR, watu wana mabiashara yao makubwa wengine wana maconnection mbona hamtangazi hizo nafasi wadau tuingie mzigoni? Mnaenda kutafuta wafanyakazi kwenye platforms nyingine za ovyo mnaacha kuchukua vijana machachari wa JF...
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria Mkuu CHADEMA: Polisi wanazuia Wanachama wa CHADEMA wasipande miti, mbona ya Kizimkazi hawazuii?

    Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Wakili Dkt. Rugemeleza Nshala, amesema: “Tokea lini katika nchi hii kupanda miti ikawa kosa? Polisi anitajie kifungu chochote cha sheria kinachomruhusu kuwazuia wanachama wa CHADEMA kupanda miti. Tuna sheria ya mazingira...
Back
Top Bottom