Barabara ya Mbezi Mwisho, Kimara kuelekea Town kila siku asubuhi kuna foleni kubwa, hivi tatizo ni nini?

BigTall

JF-Expert Member
Mar 9, 2022
422
1,049
900.JPG

90.JPG
Hii Barabara ya kutoka Mbezi Mwisho kupita Kimara kuelekea Mjini imekuwa na foleni sana hasa majira ya asubuhi, sijui nini ambacho kimetokea na kusababisha hali hiyo lakini ni jambo ambalo linakera sana.

Kuna wakati najiuliza kwani magari yameongezeka katika Barabarara hiyo maarufu kwa jina la Morogoro Road? Utaratibu wa uongozaji magari ni mbovu au ni nini hasa ambacho kimetokea?

Askari wa Usalama wa Barabarani wanatakiwa kuangalia namna ya kufanya, haiwezekani barabra ina lami, kuna mwendokasi lakini bado foleni imekuwa ni kero.

Askari aache ku focus kuvizia watu ili wawapige “mabao” badala yake waangalie jinsi ya kutafuta utatuzi, kwani foleni inasababisha watu wengine kuchepuke pembeni na wakifanya hivyo ndivyo hali inavyozidi kuwa mbaya.

Shughuli za uchumi zinasimama, mambo hayaendi kutokana na foleni hiyo ya kila asubuhi.
 
Foleni inasababishwa na Apo Kimara korogwe daladala zinapack barabarani
 
Mnakipato cha milioni 2 kila mwananchi
 
Kwa hiyo foleni inakuzuia kwenda kwenye vituo vya mafuta ya Petroli au dizeli kuongeza mafuta hayo? Nakuuliza mleta mada!

Nadhani utakuwa umenisoma bila kuni"sonya"
 
Hii Barabara ya kutoka Mbezi Mwisho kupita Kimara kuelekea Mjini imekuwa na foleni sana hasa majira ya asubuhi, sijui nini ambacho kimetokea na kusababisha hali hiyo lakini ni jambo ambalo linakera sana.

Kuna wakati najiuliza kwani magari yameongezeka katika Barabarara hiyo maarufu kwa jina la Morogoro Road? Utaratibu wa uongozaji magari ni mbovu au ni nini hasa ambacho kimetokea?

Askari wa Usalama wa Barabarani wanatakiwa kuangalia namna ya kufanya, haiwezekani barabra ina lami, kuna mwendokasi lakini bado foleni imekuwa ni kero.

Askari aache ku focus kuvizia watu ili wawapige “mabao” badala yake waangalie jinsi ya kutafuta utatuzi, kwani foleni inasababisha watu wengine kuchepuke pembeni na wakifanya hivyo ndivyo hali inavyozidi kuwa mbaya.

Shughuli za uchumi zinasimama, mambo hayaendi kutokana na foleni hiyo ya kila asubuhi.
Mlipo ambiwa njia nane zilifaa kufika ubungo mliona kama watu ni wajinga na hawana akili…sasa hivi mnalia lia
 
Back
Top Bottom