mbeya

  1. J

    Wakurugenzi wa halmashauri watii agizo la Rais Magufuli

    Rais Magufuli alitoa agizo la kuwataka DEDs wa halmashauri zilizo vijijini lakini wenyewe wanaishi mjini kuhamia maeneo yao ya kazi ndani ya siku 30 na mwisho ni tarehe 07/11/2019. DED wa Tarime vijijini ameshafungasha virago na tayari yuko kijijini na amewataka watumishi wote kuwa wamehamia...
  2. INAUZWA Nauza Kisembuzi cha DStv used full set

    Niko Mbeya Imetumika mwezi mmoja tu,ipo katika hali nzuri sana bado ina upya wake,ichukue kwa Tsh. 85,000 tu ,maelewano yapo nicheki kwa 0767142928 Utapata dstv decoder,remote yake,dish lake,waya wa dish kwenda kwenye decoder,hdmi cable,nuts na bolts
  3. Mbeya: Wananchi wenye hasira wachinja hadi kuua watoto wawili wa Diwani wa CCM

    Watu wasiojulikana wamewaua watoto wawili,mmoja akiwa ni binti wa kazi wa Diwani wa CCM kata ya Mkingamo wilaya Momba mkoani Mbeya. Chanzo cha mauaji inasemekana ni dhuluma ya viwanja kwa wananchi wa kawaida. Habari zaidi zinasema kawadhurumu wananchi viwanja vingi sana,wakati mwingine huuza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…