mbegu

  1. JamiiForums Tanzania Sababu inayopelekea Mbegu za uzazi kuchanganyika na damu

    Sababu zinazopelekea mwanaume kutoa mbegu ambazo zimechanganyika na damu (hematospermia). Sababu inayojulikana zaidi ni kutokana na uchunguzi wa tezi dume (Prostate biopsy) ambapo inahusisha kuondolewa kwa sampuli ndogo za tishu ili kuchunguza saratani ya tezi dumu. Sababu zisizo za kawaida ni...
  2. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Sasa Tanzania inazalisha mbegu zake yenyewe

    "Huko nyuma Tanzania tulikuwa tunaagiza mbegu kutoka nje ya nchi lakini sasa tunazalisha wenyewe kwa kuziwezesha sekta binafsi kufanya "research" na kuanzisha mashamba yanayozalisha mbegu bora na kuzisambaza hadi nchi nyingine." - Rais Samia Suluhu akizungumza kwenye mkutano wa wakuu Nchi za...
  3. JamiiForums Tanzania Mbegu bora ya mihogo inapatikana wapi Kanda ya Ziwa?

    Inayohitajika ni ya miezi sita na ya mwaka mmoja. Wakulima wengi wa huku wanaotesha ya miaka miwili. Ni wapi inapatikana ya kisasa, inayoweza kukomaa ndani ya kipindi cha miezi sita na mwaka mmoja? Mashamba ya kuoteshea yapo mkoani Geita na Kakonko mkoani Kigoma.
  4. JamiiForums Tanzania Mbwa Mbegu nzuri ya kufuga

    Nahitaji kufuga mbwa. Naombeni kama kuna mdau anaweza ni bless na mbwa nitashukuru sana. Zisiwe zile mbegu za mbwa wa kizaramo... Vile vyembamba vinatanga na njia wakati wote. Hapana. Pamoja na kuwa ninaomba lakini pia haimaanishi nitachukua mbwa ambaye najua sitakuwa na furaha naye. Wale...
  5. JamiiForums Tanzania Mbegu ya mipapai ya kisasa inapatikana wapi?

    Ninataka mbegu na siyo miche. Mwaka huu nilinunua zaidi ya miche 50 lakini baada ya kuanza kuchanua maua, nimebaini mingi ni midume. Nimeamua kutafuta mbegu nisie mwenyewe. Ni wapi ninakoweza kuipata? Nipo Geita.
  6. JamiiForums Tanzania Mbegu ya dragon na kiwi inahitajika

    Anyaehitaji yupo Mwanza. Anahitaji kidogo ya kwenda kujaribisha kwenye shamba lake. Kama unafahamu inakopatikana naomba taarifa tafadhali. Muhusika si member humu, kwa hiyo ni muhimu kuweka bei na mawasiliano, hasa y simu. Natarajia kumpa mrejesho Usiku wa Jumatatu, 13/11/2023. πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
  7. JamiiForums Tanzania Dah ama kweli damu ni nzito kuliko maji , hako ka bint kakuje tu ethiopia. Wana wa kiethiopia wakatie mbegu za ki ethiopia kaendeleze kizazi

    Au vipi wana maneno Maana kamenonaa kwa sasa kana stahili mb*o*0 za ki ethiopia ili kaendeleze kizazi ....maana za kizungu zitaleta half cast(muethipia muzungu) aseeeee! ALL IN ALL DAMU NI NZITO KULIKO MAJIIIIIIπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎ Karibuni wagawaji wa...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Nahitaji ushauri kuhusu mbegu bora ya mahindi

    NI mbegu ipi ya mahindi nikiitumia naweza kupata matunda Bora? Ushauri wenu ni muhimu Sana, #Elimu ya kilimo
  9. JamiiForums Tanzania KWELI Roque Jose Florencio alikuwa Mtumwa aliyetumika kama dume la mbegu kuzalisha watumwa wenye nguvu

    Inadaiwa huyu jamaa bhana enzi za utumwa, alitumika na masta wake kama mbegu ya kuzalisha watumwa wenye nguvu. Inadaiwa kutokana na kuwa na nguvu, umbo maridadi na urefu wa futi 7 hivyo masta wake alimpa upendeleo wa kipekee wa kumpunguzia majukumu mengi huku kazi yake kubwa ilikiwa ni kulala na...
  10. JamiiForums Tanzania Msaada: Bei za Mbegu za mahindi Mwanza

    Wakubwa salam. Nipo Mwanza mjini hapa. Naomba kuelekezwa maeneo yanakopatikana maduka ya jumla ya pembejeo za kilimo. Na pia naomba kujua bei mbegu za mahindi Kwa mfuko wa kilo mbili. Aina ya Mbegu ni DK 31 na 33 Ahsanteni.
  11. O

    JamiiForums Tanzania Msaada nataka kujua kwanini mbegu zinarudisha nje baada ya kusex na wife mi kama 15 mpaka sekunde 40 au dk1

    Mke wangu mbegu nyingi humtoka baada ya kusex naye nashindwa kuelewa maana bado hatujapata mtoto na mimi ndo mtoa bikira karibia mwaka sasa Embu nipeni shule maana hasikii maumivu yoyote kama nilivyo ambiwa kuwa kunaweza kukawa na kitu kama kidole kina zuia mbegu kwenda mbele
  12. JamiiForums Tanzania Nauza mbegu za michongoma

    Habari zenu Nauza mbegu za michongoma. Zipo kibaha. Kwa anayehitaji kwa ajili ya kupanda kama fence kwenye kiwanja ama shamba lake anaweza nicheki kwenye namba 0758308193 na bei ni sh 10000 kwa chupa ya soda yenye mbegu. Mfano eneo la eka 1 chupa 6 zinatosha. Hiyo ni gharama ndogo kuliko kuweka...
  13. JamiiForums Tanzania Mbunge Lindi Mjini aungana na wadau kuishauri Afrika kuwekeza katika utafiti mbegu asili

    NCHI za Afrika zimeshauriwa kuwekeza katika utafiti wa mbegu asili kwa kuwa zina lishe bora, uhakika wa chakula na salama kwa afya ya mtumiaji. Ushauri huo umetolewa na wadau mbegu asili kutoka nchi 25 za Bara la Afrika, Marekani na Ulaya ambao wanakutana jijini Dar es Salaam kwa siku tatu...
  14. JamiiForums Tanzania Mbegu Feki (Mahindi na Alizeti) Tanzania Zaleta Kilio Kikubwa Sana Momba, Wananchi Wakimbilia Mbegu Bora Zambia

    MBEGU FEKI (MAHINDI & ALIZETI) TANZANIA ZALETA KILIO KIKUBWA SANA MOMBA, WANANCHI WAKIMBILIA MBEGU BORA ZAMBIA Wakulima wa zao la Mahindi Jimbo la a Momba Mkoa wa Songwe walia na mbegu feki za Mahindi zilizopelekwa na Wizara ya Kilimo katika msimu wa mwaka 2022-2023. Wakulima hao wamesema...
  15. JamiiForums Tanzania Gunia 131 za bangi kavu, kilo 120 za mbegu za bangi na hekari 489 ya mashamba ya bangi na wawatuhumiwa 18 vyanaswa

    Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) kwa kushirikiana na Vyombo Vingine vya Ulinzi na Usalama wakiwemo JKT Ruvu imefanya operesheni ya siku nane (8) mfululizo mkoani Morogoro katika wilaya za Morogoro, Morogoro vijijini na Mvomero na kukamata jumla ya gunia...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Udini, Ukanda na sasa Utanganyika na Uzanzibari; hizi mbegu zisipopigwa marufuku kwa vitendo hatutobaki wamoja

    Mwenyenzi Mungu alipotupa rasilimali alitupa pia mtu wakutupatia uhuru; mtu huyo alipopewa mamlaka yakutuongoza alipewa pia mbinu sahihi za kutuleteta pamoja. Mbinu hizi zilipitwa tunu na zilipandwa kwenye nafsi za watanzania . Baadhi ya mambo yaliyotuleta pamoja yalikuwa. 1. Lugha- pamoja na...
  17. H

    JamiiForums Tanzania SoC03 Mbegu ya uzalendo kwa watoto: zao la uwajibikaji na utawala bora kwa taifa

    Nimezaliwa mwaka 2013 katika wilaya ya Muleba na kulelewa na bibi yangu kipenzi, Bi.Khadija. Bi.Khadija alipenda sana kusoma na muda mwingi aliutumia kusoma vitabu vilivyoelezea utawala bora na namna babu zetu walivyo pigania uhuru lakini pia alipenda kusoma magazeti. Siku moja nikiwa nje...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Nitapata wapi mbegu za bamboo inayokua kwa kasi?

    Kuna ile specie ya Chinese bamboo inayokua kwa kasi zaidi. Wapi nitapata mbegu?
  19. JamiiForums Tanzania Tunazalisha mbegu Bora ya Samaki (Sato)

    Tunazalisha na kuuza mbegu Bora za samaki aina ya Sato na Kambale. Vifaranga vinazalishwa kitaalamu na vina sifa zifuatazo; βœ“ Wanazoea mazingira utakayo wafugia kwa haraka βœ“ Wanakua haraka na kufikisha uzito mkubwa mdani ya muda mfupi βœ“ Wanazaliana vizuri, under culture conditions βœ“ Wanakula...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Asante kwa kuwaleta WASUDANI. Changanya Mbegu ni jambo jema sana

    Nchi ikiwa na mchanganyiko hupendeza sana, ndio maana ukifika Marekani unakutana na kila MMEA WA BINADAMU, yaani unakutana na mtu anatisha balaa, mwingine wa kawaida, mwingine mzuri balaa, halafa anakuja tena mzuriii, ukisema umemaliza unashangaa unakutana na kitu hadi unajiuliza ni cha hapahapa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…