mbegu

  1. R

    JamiiForums Tanzania Natafuta mbegu za microgreen vegetables aina zote

    Shalom! Naomba kwa yeyote mwenye mbegu za microgreens kama leek, radish n.k tuwasiliane anipe specifications na bei.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Aina za mbegu za ng'ombe wa maziwa

    Habari wafugaji Leo napenda kuwaletea somo juu ya aina ya mbegu za ng'ombe wa maziwa.karibi sana uwe kujifunza ✅AINA ZA MBEGU ZA NG'OMBE WA MAZIWA; --- Breed za Ng’ombe wa Maziwa (Dairy Breeds) 1. Friesian (Holstein-Friesian) - Maziwa mengi sana, rangi nyeusi na nyeupe - Uwezo wa...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Aina ya mbegu za nguruwe

    Habari za muda huu wafugaji, natumaini wote ni wazima wa afya .Leo napenda kutoa elimu juu ya aina Bora za mbegu kwenye shamba lako la mifugo. ✅ AINA YA MBEGU ZA NGURUWE; --- 🐖 1. Duroc Rangi: Nyekundu-kahawia Ukuaji wa haraka na misuli mingi Toleo bora la nyama (lean meat) Tabia: Watulivu...
  4. Valencia_UPV

    JamiiForums Tanzania Maabara ya kutunza mbegu za asili (Seed bank) ipo wapi?

    Nahitaji kujua kama Tanganyika tuna Seed bank (kwa ajili ya kutunza mbegu za asili ya Tanzania) kwenye hii dunia iliyojaa GMO
  5. moneymakerman

    JamiiForums Tanzania Natafuta mbegu za mti wa mchongomwa

    Salaams kwa jamii, nataka kupanda michongoma kama fence ya shamba langu. Nimewahi sikia unaweza kukata vipande vya mti huo na ukavipanda vikaota, sijui kama kuna ukweli? Lakini pia natafuta mbegu zake maana najua ni uhakika zaidi. Nimekuja kwa ushauri na kama unazo mbegu tuwasiliane kwa...
  6. haszu

    JamiiForums Tanzania Kama hujawahi kuwambiwa na mdada anaomba "mbegu" Basi unasura personal

    Wadada wengi wanapenda kuzaa watoto wazuri, nadhani wote, wawe wanaosha kwa watu. Yani wadada wengi nikikutana nao, wanakwambia we kaka mzuri, unipe mbegu. Hapo ushaelewa wanamaanisha nini. Sasa wanaume wenye sura ngumu na personal ndio wananishambulia sana na kusema mi shoga, kumbe wanafisha...
  7. Jebel

    JamiiForums Tanzania Utajiri uliojificha kwenye kilimo cha mbegu za mchicha

    Wasalaam, Je, umeshawahijiuliza njia rahisi ya kutoka kimaisha kutokana na kilimo? Basi leo nataka nikuletee jibu la swali lako. Kama wewe ni kijana mwenye ndoto za kutoka kimaisha basi pata mtaji mtamu sana kutoka kwenye kilimo hiki cha mbegu za mchicha. Hiki ni kilimo chenye gharama nafuu...
  8. Faana

    JamiiForums Tanzania Picha: Hivi hizi mbegu ndiyo zinapotezwa jumla na GMO?

    Nimeona kuna upotevu wa kasi sana wa mbegu asilia kama hizi ambazo chakula chake kilikuwa na ladha nzuri sana nutritive sana
  9. Upekuzi101

    JamiiForums Tanzania Najua ni suicide mission, ila nimeamua kurudisha mbegu za asili shambani

    Imekuwa ni agenda na mpango wa siri ili kuepuka vikwazo vya kimamlaka at early stage ila mpango unaenda sawa na hapa ulipo no turning back. Ni muda sasa tangu mbegu zetu za asili kupotea katika mzunguko baada ya mamlaka kuchezewa akili kwa kujua au kutokujua na kuruhusu wazungu kuteletea mbegu...
  10. Amani Girls Organization

    JamiiForums Tanzania BUSTANI ZA SHULE: MBEGU ZA LEO, ZAO LA KESHO

    Waswahili wanasema, “Ukiona vyaelea, vimeundwa.” Hivyo ndivyo, wanafunzi wa shule ya msingi ya Mnane na Kikio, Mkoani Singida wanavyoandaliwa mazingira mazuri ya kujifunza kuhusu kilimo na lishe bora. Shirika la Amani Girls (AGO) kwa kushirikiana na walimu wa mazingira na wanafunzi wa shule ya...
  11. Half american

    JamiiForums Tanzania Ipi mbegu nzuri/bora kwa kilimo cha maharage soya ya njano?

    Habari zenu wakuu, naomba kujuzwa aina nzuri ya mbegu ya maharage soya ya njano, nmeambiwa zipo aina zaidi ya moja itapendeza mkiweka na bei yake. Mbegu ambayo inafanya vizuri shambani na sokoni. Natanguliza shukrani.
  12. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Tanzania Haya ndio mapenzi bhana, Ayo ya kwenu mbwembwe tu🤣

    Haya ndio mapenzi bhana, Ayo ya kwenu mbwembwe tu🤣
  13. Dr isaya febu

    JamiiForums Tanzania Kukomaa kwa Mbegu za Kiume

    Mbegu za kiume hukomaa kupitia mchakato unaoitwa spermatogenesis, ambao hufanyika ndani ya korodani (testes), hasa kwenye sehemu inayojulikana kama seminiferous tubules. Mchakato huu huchukua takribani siku 64 – 74 ili mbegu mpya za kiume zikomae na ziwe tayari kwa urutubishaji. Hatua Za...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Agenda ya Josephat Gwajima kuhusu benki ya mbegu za Asili izingatiwe

    Hellow Tanganyika!! Vita ya kiuchumi imepamba moto, hivi sasa unakula embe ,chungwa, papai linalochukua miezi chini ya SITA tu, linakuwa tayari Kwa chakula, Cha kushangaza hakuna mbegu ndani ya tunda Hilo. Mahindi vile vile, tunaletewa mahindi ya mbegu ambayo huwezi kuyaotesha baada ya kuvuna...
  15. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Serikali kwa kushirikana na Sekta Binafsi imendelea kuimarisha uzalishaji wa ndani wa mbegu bora za mazao ambao umeongezeka kutoka tani 42,096.68

    Serikali kwa kushirikana na sekta binafsi imendelea kuimarisha uzalishaji wa ndani wa mbegu bora za mazao ambao umeongezeka kutoka tani 42,096.68 msimu wa 2022/2023 hadi kufikia tani 56,114 msimu wa 2023/2024. Makadirio ya mahitaji ya mbegu hizo nchini kwa msimu wa 2024/2025 ni tani 80,000...
  16. Deinstein 01

    JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu sperm allergy (mzio wa mbegu za kiume)

    Habari wanajamvi! Hakika dunia imejaa mambo mengi tusiyoyafahamu. Leo katika pitapita zangu nimegundua ya kuwa kuna baadhi ya wanawake wana mzio wa mbegu za kiume,hili jambo limenishangaza sana. Kwakuwa hili tatizo sijawahi kuona likijadiliwa hapa JF nikaona sio mbaya kushare nanyi...
  17. Marcy

    JamiiForums Tanzania Ni kweli matunda yote yasiyo na mbegu ndani yametengenezwa na mwanadamu kwenye maabara?

    Inasemekana matunda yasiyo na mbegu ndani asilimia kubwa yametengenezwa na mwanadamu na hayana nutrients Halisi kama haya yaliyozalishwa na nature Mfano kwasasa kuna machungwa , ndimu ,limao maembe nk yasio na mbegu ndani Ukiuliza wanakwambia ni aina ya hayo matunda lakini kiuhalisia ni...
  18. The ice breaker

    JamiiForums Tanzania Hii mbegu ya bamia inafaa Kwa soko la dar?

    Nataka kupanda hii mbegu Vipi sokoni inafanya vizuri? Au Kuna species nyingine Haswa Kwa soko la dar
  19. Zekoddo

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Baadhi Watumishi wa Wakala wa Mbegu za Kilimo(ASA) walalamika kuwa hawalipwi posho

    "AGRICULTURAL SEED AGENCY" Hii taasisi imekuwa na ukiritimba sana kuhusu posho za wafanyakazi, Baadhi ya wafanyakazi huwa wanajigharamia wenyewe kwa safari zinazohusu taasisi wakijua kuwa baada ya kumaliza kazi wataandika Madokezo na Kisha kulipwa pesa zao ila hali imekuwa ni chungu sana Kwa...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Shukrani ni mbegu ya furaha

    SHUKRANI NI MBEGU YA FURAHA Tunaishi kwenye dunia yenye wingi wa vitu vizuri ambapo kwa wingi huo hutufanya tuendelee kutamani zaidi na zaidi kitu ambacho ni rahisi kusahau vile tunavyomiliki tayari. Kwa kusahau huko hutufanya tuwe wengi wa watu wenye furaha fake,furaha ya mdomoni na sio...
Back
Top Bottom