Mbowe, Lisu and all concerned, take care of this.
Msigwa na Sugu wanaonekana kujenga "uadui" nawatahadhalisha mbegu hii itaenea pote at the advantage of CCM.
Malumbano yao hayana "upendo" ila yanajenga uadui kati yao na kutengeneza mpasuko wa pande mbili. Mipasuko kama hii huwa haiishii...
Wakuu niko babati nahitaji kuanzisha shamba langu la nyanya .
Naomba kujua mbegu gani bora kwa kilimo cha biashara.
Pia vitu gani vya msingi natakiwa kuvizingatia.
Linapokuja suala la afya ya wanaume, saratani ya kibofu cha mkojo inachukua nafasi kubwa. Ni aina ya pili ya saratani inayogunduliwa kwa wingi kwa wanaume duniani kote, ikifuatiwa na saratani ya mapafu.
Kwa sababu tezi dume ni kiungo cha uzazi ambacho kazi yake kuu ni kusaidia kuzalisha mbegu za...
"MCHAKATO UJENZI WA KIWANDA CHA KUCHAMBUA MBEGU ZA PAMBA IGUNGA WAANZA "
Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Mohamed Bashe amemuhakikishia Mbunge wa Jimbo la Igunga Mhe. Nicholaus George Ngassa kuwa mchakato wa ujenzi wa kiwanda cha kuchambua mbegu za Pamba umeanza na sasa hatua za awali zinaendelea...
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Kilimanjaro, Mhe. Esther Edwin Malleko amegawa TANI MOJA ya Mbegu Bora za Mazao ya Alizeti kwa Wanawake wa Mkoa wa Kilimanjaro ili kuwainua Wanawake Kiuchumi katika shughuli zao za kila siku ikiwemo kilimo cha Alizeti, Kahawa, Ndizi pamoja na Shughuli za Utalii kwa...
Kiwango cha mbegu za uzazi za kiume wakati wa tendo la ndoa la kujamiiana kimeshuka kwa 51% katika kipindi cha karibu miaka 50 iliyopita.
1. Uzito mkubwa wa mwili.
Mtu mwenye kitambi na uzito mkubwa huwa na mafuta zaidi kati uume, korodani na mirija ya mbegu na kuadhiri utengenezaji wa mbegu...
Habari wadau wa ufugaji. Kumekuwa na changamoto ya upatikanaji wa mbegu bora ya samaki. Zilizopo nizile ambazo hazikui sana kufikia kiasi cha Sato mkubwa, asilimia kubwa zinakuwa kama perege. Je ni wapi au ni namna gani mfugaji anaweza akawa au akapata mbegu bora ya samaki aina ya Sato inayokuwa...
Nimeona sehemu kuwa kupakata laptop kwenye mapaja kunasababisha uzalishwaji wa mbegu za kiume kuwa hatarini na nguvu za kiume zinaweza kupungua.
Je, suala hili lina ukweli?
MBEGU za PARACHICHI hutibu magonjwa ya fuatayo.
🌿High blood pressure
🌿High cholesterol
🌿Asthma
🌿Low immunity
🌿Cancer of the blood
🌿Obesity
🌿Candidiasis
Unachotakiwa kufanya ni kuchukua MBEGU ya PARACHICHI na kuisaga alafu utapata Unga.
Matumizi: Utakuwa unachemsha maji anaweka kwenya kikombe...
Habari za mda ndugu zangu.
Moja kwa moja kwenye mada
Kumwaga mbegu za kiume au za kike ni hatari kwa afya.💪💪💪💪💪💪
Nayaandika haya nikitumia Biblia Kama Mwongozo wa maisha,Kwani kwa kuamini yaliyoandikwa ndipo tunakuwa na maisha marefu.
Maisha marefu Kwasababu kuna ufufuo kwa wale watakaoishi...
Sababu zinazopelekea mwanaume kutoa mbegu ambazo zimechanganyika na damu (hematospermia). Sababu inayojulikana zaidi ni kutokana na uchunguzi wa tezi dume (Prostate biopsy) ambapo inahusisha kuondolewa kwa sampuli ndogo za tishu ili kuchunguza saratani ya tezi dumu.
Sababu zisizo za kawaida ni...
"Huko nyuma Tanzania tulikuwa tunaagiza mbegu kutoka nje ya nchi lakini sasa tunazalisha wenyewe kwa kuziwezesha sekta binafsi kufanya "research" na kuanzisha mashamba yanayozalisha mbegu bora na kuzisambaza hadi nchi nyingine." - Rais Samia Suluhu akizungumza kwenye mkutano wa wakuu Nchi za...
Inayohitajika ni ya miezi sita na ya mwaka mmoja.
Wakulima wengi wa huku wanaotesha ya miaka miwili.
Ni wapi inapatikana ya kisasa, inayoweza kukomaa ndani ya kipindi cha miezi sita na mwaka mmoja?
Mashamba ya kuoteshea yapo mkoani Geita na Kakonko mkoani Kigoma.
Nahitaji kufuga mbwa. Naombeni kama kuna mdau anaweza ni bless na mbwa nitashukuru sana. Zisiwe zile mbegu za mbwa wa kizaramo... Vile vyembamba vinatanga na njia wakati wote.
Hapana. Pamoja na kuwa ninaomba lakini pia haimaanishi nitachukua mbwa ambaye najua sitakuwa na furaha naye. Wale...
Ninataka mbegu na siyo miche.
Mwaka huu nilinunua zaidi ya miche 50 lakini baada ya kuanza kuchanua maua, nimebaini mingi ni midume. Nimeamua kutafuta mbegu nisie mwenyewe.
Ni wapi ninakoweza kuipata? Nipo Geita.
Anyaehitaji yupo Mwanza. Anahitaji kidogo ya kwenda kujaribisha kwenye shamba lake.
Kama unafahamu inakopatikana naomba taarifa tafadhali.
Muhusika si member humu, kwa hiyo ni muhimu kuweka bei na mawasiliano, hasa y simu.
Natarajia kumpa mrejesho Usiku wa Jumatatu, 13/11/2023.
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Au vipi wana maneno
Maana kamenonaa kwa sasa kana stahili mb*o*0 za ki ethiopia ili kaendeleze kizazi ....maana za kizungu zitaleta half cast(muethipia muzungu) aseeeee!
ALL IN ALL DAMU NI NZITO KULIKO MAJIIIIII🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾
Karibuni wagawaji wa...
Inadaiwa huyu jamaa bhana enzi za utumwa, alitumika na masta wake kama mbegu ya kuzalisha watumwa wenye nguvu. Inadaiwa kutokana na kuwa na nguvu, umbo maridadi na urefu wa futi 7 hivyo masta wake alimpa upendeleo wa kipekee wa kumpunguzia majukumu mengi huku kazi yake kubwa ilikiwa ni kulala na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.