mbegu

  1. Return Of Undertaker

    JamiiForums Tanzania GE2020 Serikali na CCM wanapanda mbegu ya visasi na vita ya wenyewe kwa wenyewe, uchukuaji na urejeshaji wa fomu umekuwa vita?

    Kwanini wale wanaojiita kamati ya viongozi wa Dini wana sambaza ajenda ya AMANI na sio HAKI? Kipi kinatakiwa kuanza amani au haki? Naweza kusema hawa watu ni wanafiki na wachumia tumbo. Kinachoendelea sasa nchini katika zoezi la uchukuaji na urejeshaji wa fomu imekuwa vita hasa kwa upinzani na...
  2. kyenshaja

    JamiiForums Tanzania Tunatafuta Wabia kwa mradi wa 1.Mafuta ya alizeti (2)Kufuga kuku wa kienyeji (3)Kufungua karakana na mafunzo ya kazi ya mikono

    Tunahitaji kupata wabia kushirikiana kwa mradi wa kuchakata mafuta ya kula na usambazaji mbegu kwa wakulima,ufugaji wa kuku na mafunzo ya kazi ya mikono pamoja na kufungua Karakana kwa fani ya ushonaji,useremala,uashi,ujenzi, uchomaji vyuma na uhunzi, viatu,magari,maji na umeme kwa vijana kupata...
  3. Patriot

    JamiiForums Tanzania Rushwa katika uchaguzi ni mbegu mbaya inayopandwa na CCM

    Nimeanza kuona watu wakitetea tatizo hili la rushwa kwa kusema lete ushahidi. Ukweli ni kwamba nafasi ya wajumbe wa CCM kuamua nani awe mgombea, inatumika vibaya sana! Hawa ni watu ambao hawalipwi mshahara. Wakati wa uchaguzi hutegemea kipato toka kwa wgombea huu ni mtindo ambao umejionesha...
  4. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Je, unajua mbegu za mimea yote duniani zinahifadhiwa benki Norway zisije kupotea duniani? Benki hii hapa

    Kuna benki inayohifadhi mbegu za mimea yote duniani kutoka nchi zote duniani ili mimea isije potea.Ikipotea waweza kwenda ku draw ukapewa kupanda nchini kwako. Benki yenyewe hii hapa
  5. K

    JamiiForums Tanzania Nauza unga wa mbegu za maboga (Pumpkin Seed Flour). - Arusha

    Karibuni nauza Unga wa Mbegu za Maboga Pure 100% haujachanganywa na chochote. Unga huu una faida kemkem kwa afya zetu na kwa umri wowote. Kama vile umsaidia Mama anayenyonyesha Kuongeza maziwa, kinga na dawa bora dhidi ya Kisukari na Shinikizo la Damu, kinga dhidi ya tezi dume n.k Bei ni...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupika ubuyu wa Zanzibar

    Wana jamvi, Naomba mnisaidie kunielekeza jinsi ya kupika ubuyu wa Zanzibar ule unao kuwa mlaini maana mimi nilijaribu lakini unatoka mgumu hauwi mlaini na wenye unga, nifanye nini?. ========= Jinsi ya kupika Ubuyu Mahitaji. 1. Sukari vikombe 2 2. Maji vikombe 2 3. Nusu kikombe unga wa...
  7. covid 19

    JamiiForums Tanzania Wapi nitapata mbegu nzuri za mihogo kwa hapa Dar es Salaam zile aina ya Kiroba

    wakuu, salam kama heading inavyojieleza wapi nitapata mbegu nzuri za mihogo kwa hapa Dar es Salaam zile aina ya kiroba naziitaji na pia na gharama zake?
  8. Kigonash

    JamiiForums Tanzania Hapa duniani kuna mbegu mbili; aliyopanda Mungu na ile aliyopanda Shetani

    Kuna andiko katika biblia sikumbuki mstari gani lakini nakumbuka yesu alikuwa anafundisha wafuasi wake akasema mpanzi alikwenda kupanda mbegu katika konde lakini zilipoota zikaota na magugu mwenye shamba alauliza mbona nilipanda mbegu nzuri magugu yametoka wapi? Yesu akawaambia yule mwovu Usk...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Bei ya mbegu za maboga katika masoko ya Dar es Salaam, Arusha na baadhi ya Mikoa ya Jirani

    Asalaam Wadau, Ni matumaini yangu mko salama na hongereni na kazi! Katika pitapita zangu nimeona kwa Sasa kuna ongezeko kubwa la uhitaji wa Mbegu za maboga baada ya kubainika kuwa zinamsaada mkubwa katika afya zetu na kuwa saidia wenye maradhi ya shinikizo la damu(BP),Wenye kisukari etc. Sasa...
  10. C

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa utaratibu wa kuanzisha Duka la Mbolea na mbegu za mazao

    Salaam! Naomba kujulishwa aina ya vibali au leseni nitakavyohitajika kuwa navyo nikiwa nataka kuanzisha duka la kuuza mbolea hasa NPK, DAP na Urea. Pia, nitauza na mbegu za mazao mbalimbali ila sitaweka madawa ya mifugo. Asanteni.
  11. Johnyy

    JamiiForums Tanzania Nauza mapapai ya kisasa mbegu ya Carina na Malkia

    wana JF naitw john napatikana Kibaha pwani nauza Mapapai ya kisasa makubwa kwa madogo karibuni sana kwa mawasiliano 0686301689 pamoja sana bei za shamba
  12. MwanawaMUNGU41

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha Kisasa cha Mahindi: Mbegu bora, Mbolea bora na magonjwa

    Habari wadau, Baada ya kuwa kwenye ajira kwa miaka 10 na kuona msoto uko pale pale,nimeamua kuingia kwenye kilimo kama njia ya kuongeza kipato cha ziada. Nimeanza kwa kukodi shamba Ruvu kwani mimi niko Dar na niko kamili kwa kuanza na heka 2. GHARAMA Nimekodi shamba laki 3(@150,000),nikafyeka...
  13. Steven Nguma

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mbegu za miti ya matunda mbalimbali

    Habarini za kutwa, samahani naomba kuuliza. Kuna siku niliona tangazo humu la kuhusu mbegu za miti ya matunda mbali mbali. Muuzaji alisema yupo Morogoro, nilijaribu kuwapigia simu lakini bahati mbaya sikuhifadhi namba yao. Mwenye kumbukumbu naomba msaada tafadhali.
  14. Tumainiandy

    JamiiForums Tanzania Nauza mbegu za maboga zilizokaangwa na kusangwa kwa ajili ya matumizi mbalimbali

    Karibu kwa mbegu za maboga zilizokaangwa na zilizosagwa ambazo unaweza kuweka kwenye mboga au hata kwenye uji. Zina faida nyingi sana kwa sababu ya madini yaliyomo hasa madini ya Zinc, Phosphorus, Iron, Potassium na Magnese, kuna faida kama 11 hivi za mbegu hizi. Napatikana Dar, kwa namba...
Back
Top Bottom