Nauza mbegu za michongoma

Biashara2000

JF-Expert Member
Nov 9, 2013
636
540
Habari zenu Nauza mbegu za michongoma. Zipo kibaha. Kwa anayehitaji kwa ajili ya kupanda kama fence kwenye kiwanja ama shamba lake anaweza nicheki kwenye namba 0758308193 na bei ni sh 10000 kwa chupa ya soda yenye mbegu. Mfano eneo la eka 1 chupa 6 zinatosha. Hiyo ni gharama ndogo kuliko kuweka fence ya ukuta
 
Michongoma nimepanda miaka yote lakini sijawahi kutumia mbegu za kwenye chupa ya soda. Naomba nipigie picha nizione na sample mahali zinavyoota.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom