mbegu

  1. zyuho

    JamiiForums Tanzania Wakuu natafuta mbegu ya nguruwe nzuri (durec)

    Kama kichwa kinavojidadavua hapo juu, mimi ni kijana wa makamo naishi Dare es Salaam, Nafanya kazi kwenye government company hapahapa mjini kwa muda kidogo najihusisha na kilimo cha bustani (hortculture) Kijiji kimoja huko Kilosa Morogoro. Sasa kutokana na kazi za watu ,Imekua ngumu sana...
  2. Red shadow

    JamiiForums Tanzania Waliochukua No za mbegu bora za nguruwe Siku ya nane nae mwanza ! Tusaidiane!!

    Wakuu Kama ilivo ada na utamaduni wetu Toa kitu upate kitu. Siku ya nane nane mwanza niliona nguruwe wazuri Large white na wengine wa kisasa ila sikupata wazo la kuchukua no . So kama kuna mtu alichukua no zao hawa wauzaji aniandikie hapo binafsi nilichukua no za mbwa Ila nilichukua namba za...
  3. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Wakabidhiwa Mbegu za kiume za mtoto wao aliyefariki

    “Mtoto wetu wa kiume alifariki. Ila tutatumia mbegu zake kupata mjukuu” Wanandoa nchini India wana furaha baada ya mahakama kuamuru hospitali kuwakabidhi sampuli ya mbegu za kiume zilizogandishwa za mtoto wao aliyeaga dunia ili wapate mjukuu kupitia mwanamke atakayebeba ujauzito kwa mbegu hizo...
  4. uberimae fidei

    JamiiForums Tanzania Wapi nitapata mbegu za soya beans?

    Na shida ya mbegu hizi ,na gharama kwa kilo bei yake
  5. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa majeshi wa Uganda, Gen. Muhoozi Kainerugaba, anapanda mbegu gani kisiasa na anatoa ujumbe gani kwa demokrasia ya Afrika Mashariki?

    C&P Mkuu wa Majeshi wa Uganda, Jenerali Muhoozi Kainerugaba, ametangaza rasmi kuwa hatagombea urais katika uchaguzi wa mwaka 2026, isipokuwa ataelekeza nguvu zake jeshini huku akimuunga mkono baba yake, Rais Yoweri Museveni, ambaye anatarajiwa kugombea tena urais mwaka huo. Kupitia akaunti yake...
  6. Brojust

    JamiiForums Tanzania Kupandikiza mimba, je utaratibu wa mbegu za kiume upoje?

    Salaam: Sasa hii mada sijui niwekeje lakini, juzi kati nilikuta kipindi ndio kinaishia niliwaona tu kina Gerald hando na wengine wanatuonyesha chumba cha kuvunia mbegu za kiume, kwa uchache niliona kama chumba kimoja safi, self contained,TV kama inch 48" pamoja na vitu vingine. NB:Sikuona...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mbegu za mwanaume huchukua siku ngapi kukomaa ili ziwe na uwezo Wa kutungisha mimba?

    1: Je mbegu za mwanaume huchukua siku ngapi kukomaa ili ziwe na uwezo Wa kutungisha mimba? Maana nilisikia kwamba huwa kila siku zinatengenezwa. 2: Je zinazo tengenezwa leo haziwezi kutungisha mimba leo leo ? Naombeni msaada Wa kufafanuliwa vizuri hii imekaaje.
  8. Bila bila

    JamiiForums Tanzania Hussein Bashe: Hatutapeleka mbolea, mbegu wala wanunuzi wa Pamba Kisesa

    Ngoma ikisifiwa mlio ujue iko karibu kupasuka. Kelele na majigambo ya BRN yalipelekea MH Rais kuja na msemo "Ukitaka kazi ngumu iwe nyepesi mpe Msomali". Ghafla Jana Bashe alitoa kauli tata ya kwamba "serikali" haitapeleka mbolea, mbegu wala wanunuzi kwenye Jimbo la Kisesa ili Mbunge wa Jimbo...
  9. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushamba wangu utanifanya nisiache mbegu hapa US

    Wakuu juzi kati katika harakati zangu nikakuta tangazo. "Are you single and ready to mingle" kwa akili yangu ya kibongo nikaogopa kulisoma kwa ukaribu, ila kwa kuwa nilikuwa kwenye traffic lights nikawa nasoma kwa kuibia kabla taa hazijaruhusu kuvuka. Tangazo lilisema watu wahudhurie wakapate...
  10. N

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Mbegu za majani ya n’gombe,mbuzi na kondoo.

    Nauza mbegu za majani ya n’gombe ,mbuzi na kondoo. Jihakikishie malisho na usalama wa chakula kwa mifugo yako. Panda malisho hata kama eneo lako ni dogo. Mbegu ni nzuri na inahimili ukame na inamea kwenywe ardhi yoyote. Msimu wa mvua za vuli umekaribia kwa ukanda wa pwani na Dar es Salaam. Weka...
  11. C

    JamiiForums Tanzania Wapi nitapata mbegu za maharage ya Njano?

    Salaam! Rejea heading hapo juu, natafuta mbegu ya maharage ya njano mafupi. Nipo Mwanza nimejaribu kwenda kwenye maduka ya pembejeo za kilimo wananishangaa. Naomba ambaye anajua yanapopatikana atoe msada. Uzi tayari.
  12. Fido blyze

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mbegu za fensi ya michongoma

    Habari za utaftaji ndug zangu nipo katika maandalizi ya vitalu vya upandaji miti ya fensi kwaajil ya kuzungushia uzio shambani Changamito ni upatikanaji wa mbegu za fensi ya michongoma au kwa jina lingine fensi ya arusha miche yake ikiwa mikubwa hutoa miba mirefu na urefu wa miiba yake unaweza...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anapanda mbegu za anguko lake 2025

    Wahenga walisema "kadri unavyopambana kuufumbata mchanga ndivyo unavyozidi kudondoka". Vivyo hivyo na kwa upande wa madaraka, kadri kiongozi anavyopambana na watu ili kuyalinda ndivyo anayozidi kujiongezea maadui na wapinzani wa madaraka yake. Mwisho wa siku anajikuta kishapambana na kila...
  14. realMamy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Waisrael wanataka Wajukuu kutoka kwa Mbegu za kiume za watoto wao waliofariki

    Dunia inaendelea kukua kwa kasi. Baada ya kusoma hii habari kutoka BBC nimegundua kwamba kumbe hakuna linaloshindikana chini ya Jua. Habari hii imenivutia sana kuona kumbe hilo linawezekana kutoka ndani ya masaa 24 hadi 72 toka mtu alipofariki. Lakini serikali inataka kujiridhisha kwanza...
  15. H

    JamiiForums Tanzania Mbolea madawa na mbegu ni tatizo Kwa mfugaji na mkulima

    Ni kweli serikali inataka kupiga hatua Kwa wananchi wake? Kama ni kweli ushauri wangu Kwa serikali yangu ijitazame katika mambo haya ya yafuatayo. Mbolea Kwa mkulima:ni wakati Sasa wa sekta ya kilimo kuwa wakali Kwa kuhakikisha mwananchi anapata mbolea ZeNye virutubisho sahihi na sio mbolea...
  16. BwanaSamaki012

    JamiiForums Tanzania Jipatie Mbegu Bora ya Samaki Kambale kwa bei nafuu

    Karibu nikuuzie mbegu bora ya Kambale kwa bei nafuu ya Tsh 300 kwa kifaranga kimoja. Kambale ni aina ya samaki mstahimilivu na anayefugika kwa urahisi kuliko aina nyingine ya samaki. Mbali na kuwa mstahimilivu, pia wana sifa ya kukuwa haraka mara mbili zaidi ya sato. Unaweza kuboreshe...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa Dini aliyetuhumiwa kuhusika mauaji ya Shakahola, asiruhusiwe kupanda mbegu mbaya katika Nchi yetu.

    Salaam,Shalom!! Yalitokea mauwaji Nchi Jirani ya Kenya,na waliripotiwa kufa watu wengi sana, Damu ya watu isiyo na hatia ilimwagika. Kiongozi mmoja wapo aliyekuwa na ushirika na Pastor Mc Kenzie, anatamani sana Nchi yetu, kwake Tanzania ni shamba lenye mavuno mengi. Yalipotokea maporomoko...
  18. D

    JamiiForums Tanzania Mbegu za mahindi ya bisi [Pop corn[

    Nahitaji mbegu za mahindi ya kupasua bisi (Pop corn) kwa.ajili ya msimu ujao. Nifahamishe bei kwa kilo.
  19. H

    JamiiForums Tanzania SoC04 Serikali iwe tayari kuzifuatilia mbegu za mazao Kwa majaribio ya kupanda sio Kwa majaribio ya upimaji kisasa bila kupanda

    Kilimo ni maisha na maisha yetu ni kilimo na chakula.ni serikali Sasa ifike mahali iache longolongo hasa linapokuja suala la kilimo chenye tija Kwa mkulima wa chini. Kuna mambo machache serikali inapaswa kuyaboreaha Kwa vitendo ya majaribio sio matendo ya kisasa Kwa vifaa kila mwaka wa kilimo...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Benki ya CDRB yatoa msaada wa mbegu za mahindi kwa waathirika wa mafuriko Rufiji

    Rufiji. Tarehe 29 Mei 2024: Kutokana na mafuriko yaliyotokea katika msimu wa masika mwaka huu, Benki ya CRDB imekabidhi msaada wa mbegu za mahindi zenye thamani ya shilingi milioni 50 kwa wananchi wa Wilaya ya Rufiji mkoani Pwani. Benki ya CRDB imekabidhi kilo 7,148.857 za mbegu za kisasa za...
Back
Top Bottom