mbegu

  1. emmarki

    JamiiForums Tanzania Nauza mbegu za mbogamboga OPV

    Jipatie mbegu za mbogamboga OPV na siyo HYBRID, zinaota vizuri na zinazaa sana. Tunauza kwa bei ya jumla kuanzia kilo 10. Mzigo unatumwa popote kwa uaminifu mkubwa. Piga/sms/Whatsapp 0752042670 1: mchicha aina zote 2: matango (aina ya Ashley) 3: Nyanya (aina ya tengeru na riogrande) 4...
  2. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli energy drinks zinachanganywa na ‘mbegu’ za dume la ng’ombe (Taurine)?

    Nasikia kuna kitu kinaitwa Taurine kinawekwa mule, ni kweli?
  3. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amefanikiwa kupanda mbegu ya uzalendo kwenye mioyo ya watanzania katika kuijenga nchi yetu kwa mikono yetu wenyewe

    Ndugu zangu hivyo ndivyo unavyoweza kusema kwa Sasa kuwa mh Rais mama Samia amefanikiwa kupanda mbegu ya Uzalendo kwa watanzania katika kuijenga nchi yetu kwa mikono yetu wenyewe. Watanzania kwa Sasa wanaridhishwa na utendaji kazi wa mh Rais wetu na dhamira yake katika kuijenga Tanzania iliyo...
  4. emmarki

    JamiiForums Tanzania Nauza mbegu za pilipili (mwendokasi)

    Nina mbegu za pilipili mwendokasi rangi ya njano OPV, siyo Hybrid. Zimechambuliwa vizuri na zinazaa vizuri sana Kilo moja ni shilingi elfu thelatini na nane 38,000/= Natuma popote kwa uaminifu mkubwa Piga/sms/whatsapp 0752042670 Karibu sana
  5. emmarki

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mbegu F2 za mbogamboga

    Habari, Ninahitaji mbegu F2 za mbogamboga zifuatazo. CARROTS SPINACH (Fordhook Giant) SUKUMAWIKI (Collards Green) BEETROOTS Nachukua mpaka kilo 50 kwa kila aina ya mbegu 0752042670
  6. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan ni kiongozi kwa kuzaliwa

    Ndugu zangu Nazani mmewahi kusikia Kuna swali linaulizwa iwapo kiongozi Bora anazaliwa au anatengenezwa, Ndugu zangu ukimfuatilia mh Rais mama Samia suluhu Hassani Tangia wakati ule wa bunge maalumu la katiba namna alivyookuwa anasimamia bunge lile lililokuwa limesheheni vichwa vya kila aina...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Ninahitaji mbegu za mchongoma au wapi nitapata miche yake?

    Habar zenu wadau Wapi nitapata hizo mbegu au miche ya mchongoma kwa ajili ya kupanda kwenye kiwanja changu nataka niweke fance ya mti iyo iwe kama bustani kiwanja kimeshaanza msingi nataka ata nikihamia iwe tayar iyo bustan imeshakuwa kubwa. Mnisamehe kwa uwandishi mbovu sio mzuri sana wa...
  8. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Nini madhara ya kupandikiza mbegu za mtu usiyemfahamu kutoka sperms bank?

    Kumekuwa na katabia fulani hivi kutoka kwa wadada daraja fulani hivi wanaoona eti hamna mwanaume anayeweza kuwapa mimba kwa njia asilia kwa sababu wao ni wazuri sana na wana hela sana. Wadada hao hupandikizwa mbegu kutoka benki ya mbegu za kiume. Je, ni nini usalama wa mbegu hizo kwa kizazi...
  9. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Mwana mama amejifungua baada ya kununua mbegu za kiume kutoka kwenye Internet

    Bailey Ennis mwenye umri wa miaka 24 alitamani kupata mtoto lakini hakuwa kwenye mahusiano. Alitafuta kwenye interest na kupata sperm donor anaeuza kit ya sperm. Pamoja na gharama za post kit moja ni £25. Bailey alifanikiwa kutunga ujauzito October 2021 na sasa ni mama mpya baada ya...
  10. Nyamayanguruwe

    JamiiForums Tanzania Nauza Watoto wa Nguruwe wa Kisasa na nyama

    Wapo Watoto 18 wa Nguruwe wa Kisasa wa Umri Kati ya Siku 30 - 60 Yaani umri wa Mwezi Mmoja - Miezi Miwili Kasoro. Wapo Majike 9 na Madume 9 Wote Wanauzwa Bei ya Mtoto mmoja wa Nguruwe wa Kisasa wa Umri wa Mwezi Mmoja ni Tshs. 80,000/= Tu Tuwasiliane +255738141339 Text, Call or Whatsapp...
  11. AFRICAN POWER

    JamiiForums Tanzania Msaada: Wapi naweza kupata mbegu za Safflower au Katamu?

    Habari wadau wa kilimo. Naomba kufahamishwa sehemu inapopatikana mbegu ya zao la Safflower au Katamu kwa jina jingine?
  12. L

    JamiiForums Tanzania Beijing: Kituo cha mbegu za kutoka anga ya juu chazalisha mbegu zilizoboreshwa za mboga na matunda

    Tarehe 22 Juni katika kituo elekezi cha kuzalisha mbegu za kutoka anga ya juu kilichoko wilayani Tongzhou mjini Beijing, China, aina mbalimbali za matunda na mboga zilipandwa kwa kutumia mbegu zilizopelekwa kwenye anga ya juu. Ikilinganishwa na mbegu za ardhini, mbegu kutoka anga ya juu...
  13. I

    JamiiForums Tanzania Nitapata wapi Bata wenye mbegu bora kwa ajili ya ufugaji

    Naam, wakuu natafuta bata mwenye mbegu bora ili nije kuanzisha rasmi ufugaji wa bata wa kueleweka. Naombeni muongozo sehemu za kuwanunua na gharama zake.
  14. U

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kupata mbegu ya Azzolla jijini Mbeya?

    Ninaomba kwa mlioko Mbeya jiji nielekezeni mahali ninaweza kuipata mbegu ya Azolla. Nataka nijaribu kuotesha kwa ajili ya kuku na bata. Nimeambatanisha na picha ya mmea wenyewe!👇👇
  15. Fred Katulanda

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mbegu za Vibuyu kwa ajili ya Kilimo

    Zinahitajika haraka, mbegu za Vibuyu (Calabash Seeds) siyo Maboga, nasisitiza Kibuyu, hivyo kwa yeyote mwenye nazo au anayemfahamu aliyenazo awasiliane na What's App/Simu +255622 642620. Ushauri, mawazo au maelekezo kuhusu upatikanaji wake pia unapolelewa.
  16. Davito

    JamiiForums Tanzania Mbegu za Safflower

    Hello Wana JF Naombeni msaada wa ushauri, mawazo au maelekezo wa mahali au wauzaji wa mbegu za Safflower kwa hapa Tanzania N:B Soko kuu la Kariakoo( Nimetafuta bila mafanikio)
  17. Oranoo

    JamiiForums Tanzania Hasara kubwa mbegu za alizeti (ASA)

    Habari wana jamvi, Naomba kujua waliolima alizeti kwa kutumia mbegu za Serikali za ASA mafuta zimetoa kiasi gani maana, hasara tuliyopata sye huku tuliolima Songea sio mchezo. Gunia la kilo 45 mafuta yametoka lita 7 tu, hivi hawa watafiti wa hizi mbegu mlisomea chini ya zizi la nguruwe au?
  18. TENGEFU

    JamiiForums Tanzania Waziri Bashe tulipeni hela zetu wakulima tuliouza mbegu ASA, tunaumia

    Mimi ni mmojawapo wa wakulima tulioingia mkataba na wizara ya Kilimo kuzalisha mbegu bora za kilimo kupitia wakala wa uzalishaji wa mbegu bora za Kilimo; ASA. Ni takribani miezi 9 sasa tangu Agosti na September mwaka 2021tulizalisha na kuuza mbegu kwa mujibu wa mkataba wa uzalishaji hadi sasa...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Tuwe makini kwenye mbegu wakati wa uwekezaji wa Kilimo

    Kwa nchi ya USA mbegu zina hati miliki na kilimo cha hapa ni lazima ununue mbegu kila msimu. Mbegu hizi ambazo wamezitengeneza na kuhakikisha mazao hayawi na mbegu ili waweze kuuza mbegu. Nimesikia kuna uwekezaji mkubwa wa kilimo unakuja kutoka USA. Nashauri sana kwenye mikataba hii msikubali...
  20. miamia100

    JamiiForums Tanzania Mbegu za mchicha mweupe: Naombeni ushauri au kwa yoyote anayeweza kunipatia mteja au connection ya kuuza zao hili

    Habarini wakuu na poleni kwa majukumu ya kazi. Kijana wenu niliingia shambani na kuzalisha mbegu za mchicha mweupe superlishe ila changamoto imekuja kwenye soko la bidhaa hii toka soko kuu la Kariakoo lilipopata maswaibu ya kuungua. Naombeni ushauri au kwa yoyote anayeweza kunipatia mteja au...
Back
Top Bottom