mbali

Enhle Mbali Mlotshwa (born 3 March 1988), is a South African actress, TV presenter and fashion designer. She is known for her breakthrough role on the South African Television Series, Tshisa. She launched the maternity wear range SE Preggoz in South Africa and New York in 2015.

View More On Wikipedia.org
  1. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Diamond anaona mbali sana, hakukosea kabisa alipoimba Makonda baba lao!

    Tuseme tu ukweli, mganga aliyempata Makonda ni kiboko, asimuache kabisa. Maana kutoka kuchukiwa na wengi mpaka kuwa kipenzi cha wengi si jambo dogo ujue. Ila yote tisa, kumi ni hili suala la kuwawawashia moto mpaka Mawaziri, jambo ambalo hata Mh Rais hawezi kulifanya. Ndio maana Mawaziri...
  2. Morning_star

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi: Memory card ya simu yako ya 5MB mwaka 1956 ilikuwa ni sawa na mzigo wa tani za kutosha!

    Angalia picha ya memory ya 5MB ikisukumwa kuwekwa kwenye ndege kusafirishwa.
  3. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania Siku Tanzania tukifika hata theluthi(1/3) ya seriousness katika uongozi kama waliyo nayo Singapore na China hakika tutafika mbali sana

    Namna taifa letu tunavyo liendesha ni kama wagonjwa wa akili. Mambo ni hovyo hovyo watu hovyo hovyo wanapewa madaraka makubwa ya kujenga nchi. Uongozi sio nguo ya ndani kwamba kila mtu lazima avae. Tunafanya mchezo kabisa katika kujenga nchi siku tutakapo amua kuiga hata theluthi (1/3) ya...
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tafadhali litafutwe Neno lingine, ila hili la 'GOLI LA MAMA' libadilishwe kwani linafikirisha mbali

    Binafsi kila nikisia tu 'GOLI LA MAMA' si tu kwamba huwa Nashtuka lakini pia huwa nawaza mbali sana kama Mwanasayansi na Mdau mkubwa wa Somo la Baiolojia na Baiolojia ya Wanadamu / Mwanadamu. Nitashukuru sana hili likifanyiwa Kazi.
  5. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Watu wote wanaoandaa chakula, hasa kachumbari wanatakiwa kuvaa gloves

    Nadhani hakuna chakula kinachosambaza magonjwa Tanzania hii kama kachumbari. Mtu anaenda maliwatoni na maji ya kopo. Hata hajajitawaza vya kutosha anakuja kukata kachumbari. Wewe unapewa hiyo kachumbari unafakamia. Magonjwa mengi sana yanaenea kwa mtindo huu. Amiba, vidonda vya tumbo, typhoid...
  6. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Mbali na uigizaji,Hamis Actor ni nani?

    Nimepata shauku ya kutaka kumjua huyu jamaa. Mbali na uigizaji ,uchekeshaji na kufanya challenges za nyimbo mbali mbali huyu jamaa ana jishughulisha na nini? Maana hana jina kubwa kiasi hicho lakini aina ya watu anaokaa nao na lifestyle analotaka kutuaminisha nalo japo tunajua ana fake lakini...
  7. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Starlink yatupiwa lawama Zambia. Nape aliona mbali

    Nadhani ni wakati sahihi kwa watanzania wote waliowahi kumlaumu Nape kuhusu kampuni ya Starlink kumuomba msamaha na kuungama makosa yao. Hawakufanya vyema. Pamoja na mapungufu yake ni kuwa Mheshimiwa Nape aliona mbali katika hili. Ndani ya muda mfupi sana wananchi wa Zambia wameshaanza...
  8. Jemima Mrembo

    JamiiForums Tanzania Nabii Shepherd Bushiri ametoka mbali aisee. Hamna utajiri unàtokana na kuembewa, ila utatajirika kwa kuvitumia vyema vipaji vyako na ufala wa watu.

    Huyu jamaa hajatajirika kwa kuombewa, amesota hadi akajua kutabiri. Aktafuta ka angle ambako ana ku screen hadi bibi na babu yako shamba huko, akaanza kutengeneza mpunga. Kamwe huwezi kutajirika kwa kuombewa, ila kwa kutumia karama na vipaji ulivyopewa na Mwenyezi Mungu.
  9. General Nguli

    JamiiForums Tanzania Tujuzane Chanel mbali mbali za whatsap na Telegram

    Wengi wetu tuko vyema tukisubiria Mama arudi kutoka Doha na ndizi mkate mkononi. Ni hivi, baada ya Whatsap kutuletea mfumo wa Chanel ili kuturahisishia Biashara na mengineyo. Basi uzi huu uwe wa kujuzana Chanel mbalimbali katika kupeana Ladha ya hii huduma mpya. Chanel hizi ziwe za maono na...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Kweli Tumetoka Mbali, Sio El Merrekh Wala Power Dynamo Waliopokelewa Airport kwa Maandamano

    Kwa Umakini mkubwa nikasema nifuatilie tu nini Kinajiri pale Mwalimu Nyerere International Airport Wakati timu Pinzani kwa Simba na Yanga Wakati zinawasili. El Merrekh ya Sudani na Power Dynamo ya Zambia...! ni nini Kitatokea.? Nilichoshuhudia ni Wanahabari tu Wa Vyombo binafsi na Media zile...
  11. Equation x

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kijana, kaa mbali na hawa wanawake

    Ukimtongoza tu, lazima aombe ushauri kwa marafiki zake; hawa huwa ni wasumbufu sana, iwe ni kwa malengo ya muda mfupi au mrefu. Utakachomwambia tu, anawashirikisha wenzake; na kama hao marafiki zake hawakukubali, jiandae kupigwa chini. Wengi wao huwa wanashindwa kujisimamia katika maamuzi...
  12. Nobunaga

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mirathi ya Dkt. Likwelile: Vicky Kamata ashindwa, mahakama yasema ndoa yao haikuwa halali

    Vicky Kamata ameungukia pua kwenye kesi ya mirathi ya aliyekuwa mume(danga) wake Dr. Servacius Beda Likwelile. Mahakama imesema ndoa hiyo haikuwa halali kwa sababu Dr. Likwelile alikuwa ameoa hapo mwanzo na hajawahi kutalikiana na mke wake. Hivyo ndoa ya Vicky Kamata haikuwa halali na hivyo...
  13. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kwenye suala la sadaka natoa hongera kwa Waislam. Wametuacha mbali sana

    Hi! Mimi ni mkristo, tena ni kiongozi kanisani kwetu. Hili suala la sadaka liko wazi kabisa kimaandiko. Maandiko yameweka wazi tutoe vipi, tutoe wapi na muda gani. Ila baada ya Taasisi nyingi kuzaliwa kwa mgongo wa ukristo sasa misingi ya sadaka kibiblia imeharibiwa na mwanadamu anayetaka...
  14. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Mzee Lowassa angeifikisha Tanzania mbali sana

    Morng Hii nchi kumpata kiongozi mzuri kama Lowassa ni ngumu sana huyu ndiye angeifikisha mbali sana Tanzania, kwaza alijua shida iliopo Tanzania ni elimu na alianza kuweka nguvu nyingi kwenye elimu ili watu wasiwe wajinga. Lakini pia lowassa alikuwa na maono ya mbali sana na Tanzania na hakuna...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Hii Dharau kwa Vitabu vya Dini (Biblia/Msahafu) na Katiba, haitatufikisha mbali

    Habari wana jamvi wa JF, Sisi kama binadamu, tumeumbwa kufuata miongozo. Miongozo hiyo imo katika vitabu vitakatifu kama vile Biblia na Msahafu kwa upande wa dini na Katiba kwa upande wa kisiasa. Bila miongozo hii, tusingekuwa hapa tulipo na dunia pasingekuwa mahali salama pa kuishi. Hivyo...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Mtu aliyesomea bachelor of library information studies anaweza fanya kazi gani mbali na ukutubi

    Kaka yangu ananilazimisha nikasome hiyo kozi lakini mimi nahisi siielewi.
  17. NIPOSINGO

    JamiiForums Tanzania Uteuzi na Mabadiliko: Ofisi ya AG, Mahakama na Wizara ya Mambo ya Nje

    Usiku huu, imetolewa taarifa kuwa Rais Samia amefanya teuzi katika nafasi mbalimbali. Rejea kiambatisho hiki:
  18. BARDIZBAH

    JamiiForums Tanzania Watu wangeshupalia suala la Katiba Mpya kama hili la Bandari tungefika mbali

    Ukitaka kujua hii nchi unafiki ni mkubwa, tazama tulivyo kidedea kuminyana na maswala ya bandari wakati swala la katiba (ambalo ndio source ya haya yote) tumesinzia. CCM na katiba leo hii ndio imetufikisha hapa. Tumeshindwa kudai katiba basi hata hili la bandari tutulie kimya, maana bado nguvu...
  19. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania WAKOMUNISTI pekee ndio wamefaulu kuweka mbali dini na siasa za nchi

    Katika historia ya dunia na uchipukaji wa dini duniani unaonesha kwamba mara nyingi dini huenda sambamba pamoja na siasa na tawala za nchi. Hali hii ilikuwa na nguvu katika ujenzi wa mwanzo wa mataifa ya Ulaya na makoloni yake sehemu mbalimbali za duniani hata mataifa ya mashariki ya kati nayo...
  20. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Watoto wasiocheza nje (Wanaokaa Ndani Sana) wako hatarini kupata tatizo la Macho kutoona mbali

    Utafiti mpya uliofanywa na Global Myopia Awareness Coalition (GMAC) umebaini kadri Mtoto anavyokaa ndani au kunyimwa fursa ya kucheza nje ya Nyumba, ndivyo anavyopata athari katika Afya ya Macho. Utafiti huo umeonesha kuwa kitendo cha Mtoto kucheza nje angalau kwa Dakika 76 kila siku...
Back
Top Bottom