Mbali na uigizaji,Hamis Actor ni nani?

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Sep 7, 2016
17,454
21,158
Nimepata shauku ya kutaka kumjua huyu jamaa.

Mbali na uigizaji ,uchekeshaji na kufanya challenges za nyimbo mbali mbali huyu jamaa ana jishughulisha na nini?

Maana hana jina kubwa kiasi hicho lakini aina ya watu anaokaa nao na lifestyle analotaka kutuaminisha nalo japo tunajua ana fake lakini ukichunguza kwa makini unaona kabisa jamaa ana kitu huyu si bure.

Naona wiki hii kaamua kuja na gia kwamba kanunua gari japo hajaweka wazi gari gani ila thamani ya hiyo gari anadai ni milioni 16 wapambe kibao naona wanamnyatia nyatia akiwemo mpambe maarufu doto magari.

Kwa mnao mjua kiundani zaidi mtuambie jamaa anafanya kazi gani na ni mzaliwa wa wapi.

1742507333.jpg

1307305412.jpg
 
View attachment 2785265

View attachment 2785262
Hello broo! Mzima lkn? Pamoja na kuwa na simu njanja bado unasumbua watu kuulizia? We si ugoogle tu?
 
Kwa JF ilivyo atakuja mtu atasema jamaa ni usalama, mwingine atasema ni drug dealer kubwa kuliko ni kuambiwa ni mpunga kitenesi
 
Back
Top Bottom