Kwa wale waliofanya mazoezi ya Kegel na wakapona naombeni ushauri

Fuqin

JF-Expert Member
Dec 2, 2018
200
500
Mambo vipi ndugu?

Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 22 nimeanza mazoezi ya kegel kutokana na tatizo langu la kuwahi kufika kileleni.Kwa sasa hivi nina mwezi tangu nianze na nimeonai dalili Kwa mbali kuwa ninaanza kupona ila nikisex nawahi kufika kileleni.

Nina imani na zoezi hili litanisaidia but ninataka kupata mawili matatu kutoka kwenu juu ya zoezi hili.Je,ulichukuwa miezi mingapi kupona?

Ulijiskia furaha kiasi gani kupona? na mpaka sasa hali yako ya sex ipo vizuri kiasi gani? pia ninapenda kuwashauri vijana wenzangu tuache punyeto si salama Kwa afya zetu.

MICHANGO YA WADAU:
Kwangu mimi ninachokijua ni kuwa unaweza kufanya mazoezi yote lakini siri kubwa katika sex ni

1. Kujiamini wakati wa sex/ acha mawazo (yaani wakati wa sex ukianza tu kuwaza kama utamridhisha au lah hakika hata uwe na misuli kama tyson hautoweza kudumu kwenye mechi)

2. Usafi wa mazingira mliokutania, na usafi wa mtu unaeshiriki nae tendo (katika hili kama unashiriki na mtu msafi unaweza kutafuta stimu hadi kwa kumnyonya, lakni mtu mchafu mchafu tu ananuka kwapa hata ufanye hayo mazoezi ya kegel huwezi kufua dafu)

3. Hakikisha yule unaye shiriki naye umempenda na sio kumtamani (ukimpenda mtu wakati wa sex ukimtazama tu usoni mnara unasoma 4G)

Tatizo ni kwamba siku hizi vijana wengi wameaminishwa kuwa kuna ukosefu wa nguvu za kiume kwa kiasi kikubwa hivyo imepelekea kutokujiamini unakuta kijana anaanza game ashaanza kufikiria acha mawazo wewe utapiga show mpaka akienda kukojoa anakuwa na barafu pembeni kwa ajili ya kupoozea.
---
Vijana mnahangaika sana kwa maneno ya mitaani. Hayo mazoezi hayatakusaidia chochote zaidi sana yatakuongezea stress baada ya kutokukusaidia kwa chochote.

Dogo sikia nikupe ukweli wetu wa wanaume ulivyo kwenye 6x6. Bao la 1 huwa halichukui zaidi ya dakika 3 kwa wanaume 98%. Yani kwa kifupi bao la kwanza huwa halihesabiki kwenye kumridhisha mwanamke labda kwenye kumimbisha maana ndio bao lenye volume kubwa ya manii.

Hiyo 2% iliyobaki ya wanaume ndio huwa hawakojoi fasta, wanachukua dakika nyingi kidogo. Lakini wakishakojoa mnara kurudi ON tena huwa ni kazi.

Tatizo linaanzia wapi? Tatizo linaanzia pale ambapo bao zinazofuata utakuwa unakojoa haraka pia au unashindwa kusimamisha kabisa. Kuanzia bao zinazofuata unatakiwa uchukue muda mrefu zaidi. Bao la 2 kama linachukua dakika 15, la 3 linatakiwa lichukue hata dakika 30, la 4, 5, 6, 7 unatakiwa ikiwezekana hata usikojoe kabisa ila mnara uwe ON mwanzo mwisho

Sasa, ukiona umekojoa cha 1 umekaa lisaa na kuendelea mnara bado haujasoma tena basi hapo utakuwa na upungufu wa nguvu za kiume typical.
 
Raoluoroliech

JF-Expert Member
Apr 15, 2019
588
1,000

Kingsmann

JF-Expert Member
Oct 4, 2018
2,618
2,000

Unforgetable

JF-Expert Member
Aug 1, 2019
2,340
2,000
Nini kinasababisha mpaka mtu awe na uhitaji wa hayo mazoezi?

Kwa me ni kuwahi kumaliza wakati wa tendo au kukosa nguvu kabisa ya kukidhi haja za mwenza wake.

Kwa ke ni kubana misuli ya uke/ kufurahia tendo kwa kuwa na uwezo wa kufinyia kwa ndani pia kwa wenye shida ya kutokwa na mkojo or wakati wa ujauzito

Nimejaribu wengine watakazia

Cc Kingsmann
 
bwii

JF-Expert Member
May 24, 2014
1,211
2,000
Fanya mazoezi yanayohusisha kukimbia na push up dogo! Hayo mengine waachie wanawake
 
NostradamusEstrademe

JF-Expert Member
Jul 1, 2017
1,921
45
Nimepiga punyeto kwa miaka 40 nina watoto na wajukuu.Nilianza hii kitu kabla UKIMWI haujaja kwenye sayari ya dunia hii. Niliosoma nao miaka ile wakawa wanafuata sera za kufanya mapenzi kiholela kwa kufuata mawazo ya hawa wapiga debe kupinga punyeto kwa nguvu zote walishatangulia mbele za haki siku nyingi kwa ukimwi.

Huu mchezo uufanye kwa kiasi mfano mara moja kwa miezi3 Tatizo vijana wa siku hizi anafanya kila siku na akiingia bafuni wapangaji wenzake wanalalamika kuoga muda mrefu.Misuli ya uume lazima ilegee. Imagine mtu anafanya kazi porini au mgodini kila baada ya miezi4 ndio anakutana na mkewe afanyeje? na mara nyingi mgodini kuna UKIMWI sana.

Kila kitu ni kwa kiasi hata ukila sana unavimbiwa.
Nimepiga punyeto kwa miaka 21 sasa, nimejaribu kuacha lakini wapi. Hayo mazoezi yatanisaidia kweli?Nitayaanza hivi karibuni.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom