Mazoezi ya wanajeshi wa Uswizi

Hayo ya kawaida tu, ni sawa na kujenga ukuta wa Mirerani . Walau hata Harmonize anayeweza kushuka kwa kamba
 
Nazjaz mbona keshasema mazoezi mepesi, watanzania mnafeli wapi kwenye kusoma?
 
Hivi Mnaijua ile ya JKT ku"Crow"" chini ya seng'enge .... Huku umevaa kibukta na green vest''

Ama""Fatiki za kutwa nzima"""Huku
Mkesha""Wenye Doso kal!! Unakusubili!!! Uw!!!

Afu hapo sio mwanajeshi!!! Unajiandaa kuludi Home
After 2, yrs"""" ukitoboa....
 
Mh hayo sio mazoezi hivyo vinaitwa vikwazo askari yoyote amepitia hivyo jaman
 
Back
Top Bottom