maxence melo

Maxence M. Melo
Maxence Melo is a Tanzanian Building Economist turned Digital Innovator and “Information Architect”.

He leads JamiiAfrica, a dynamic regional non-profit entity on a mission to create a well-informed citizenry, promote responsive governance, and encourage active citizen participation.

He has played an enormous role in revolutionising digital democracy while promoting Transparency & Accountability.

Maxence was recognised by the African Union as one of the top 3 Leading African Innovators for Change in 2018 for strengthening the viability of Whistleblowing Policy tools in Africa.

Maxence is a recipient of various awards, including the 2019 International Press Freedom Award by the Committee to Protect Journalists (CPJ)

Between December 2016 and November 2020, he appeared before the court 159 times on three charges related to protecting his clients' personal data in Tanzania.

In 2023, he was appointed as a Board Member of Tanzania’s Personal Data Protection Commission, representing CSOs, the Media, and the Private Sector.

Other local Awards

He is a recipient of various Human Rights Defenders awards, including the Online Freedom of Speech Champion in Tanzania 2018 by Tanzania Human Rights Defenders Coalition (THRDC) and the Daudi Mwangosi Award (2019) by the Union of Tanzania Press Clubs - an award for Promotion of Media Freedom in Tanzania.
  1. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Maxence Melo hakuwahi kufikiria kuwa mwandishi wa habari

    Maxence Melo Miaka 20 iliyopita ,bwana Melo alikuwa miongoni mwa wa waasisi wa mtandao wa Jamii Forum, mtandao uliokuwa ukiibua masuala ya rushwa na kusaidia kushinikiza uwajibikaji wa viongozi wa kisiasa. Shughuli hizo zilimpelekea kufahamika duniani, kwa kuwakilisha uandishi bora katika...
  2. Emaswai

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania tuitakayo - mabadiliko katika sekta ya elimu

    TANZANIA TUITATAKAYO MABADILIKO KATIKA MFUMO WA ELIMU. MUDA WA ELIMU. Kupunguza MUDA unaotumika kwenye mfumo wa elimu wa sasa wa Darasa la kwanza hadi Kidato cha Sita. Miaka saba (7) ya elimu ya msingi, minne (4) sekondari ya awali na miwili (2) sekondari ya juu ni mingi kulinganishwa na...
  3. BabuKijiko

    JamiiForums Tanzania Maxence Melo: JamiiCheck imekuwa Msaada mkubwa kwa Jamii katika Kuhakiki Taarifa

    Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiForums, Maxence Melo amesema baada ya kutembelea Mikoa tofauti ya Tanzania Bara na Zanzibar, walipata wazo la kuja na mfumo wa uhakiki wa taarifa, ndipo ikawa mwanzo wa kuanzishwa kwa JamiiCheck ambayo ilizinduliwa Mwaka 2022 Maxence ameyasema hayo wakati akichangia...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Jaji Warioba: Yaliyotokea Uchaguzi wa 2019 na 2020 yakitokea tena Uchaguzi wa 2025 itakuwa ni mwanzo wa Vurugu

    Kongamano la Wadau kuhusu Wajibu wa Vyombo vya Habari katika Kuhakikisha Uchaguzi wa Kuaminika (Agenda for Stakeholders’ Conference on the Role of the Media in Ensuring Credible Elections), linafanyika kwenye Ukumbi wa New Dodoma Hoteli, leo Aprili 30, 2024 Baadhi ya Washiriki na ambao...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Maxence Melo: Kiongozi ukishakuwa kwenye ofisi ya umma kukosolewa ni haki yako

    Fuatilia mahojiano yanayoendelea wakati huu Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiForums, Maxence Melo akizungumza kuhusu Matumizi salama ya mitandao ya kijamii. https://www.youtube.com/live/E13SKGnMr04?si=34HbpimcB7Avgfn- Matukio ya wananchi kukamatwa sababu ya kumkosoa kiongozi fulani, hii imekaaje...
  6. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Picha: Hivi kuna uhusiano upi kati ya Mwalimu Nyerere na Maxence Melo?

    Maake naona kama kuna mfanano kati ya picha ya ujana ya Mwalimu J.K Nyerere na Mwanzilishi wa mtandao wa JamiiForums, Ndugu Maxence Melo Ni hayo tu. Karibuni tupooze makoo yetu hapa TipTop Bar
  7. Influenza

    JamiiForums Tanzania Maxence Melo: Kanuni za Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi zimeweka utaratibu wa kumalizana nje ya Mahakama kwa kila upande kupata stahiki sahihi

    Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiForums, Maxence Melo akiwa kwenye kipindi cha Good Morning cha Wasafi FM ameeleza kuwa Kanuni ya Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi - "Kanuni Za Taratibu Za Kushughulikia Malalamiko ya Ukiukwaji Wa Misingi ya Ulinzi Wa Taarifa Binafsi" zimeeleza namna ambavyo watu...
  8. Glenn

    JamiiForums Tanzania Maxence Melo aeleza safari yake katika kutetea Uhuru wa Kujieleza na Haki ya Faragha

    Habari Wakuu, Maxence Melo akiwa studio za Wasafi FM ameelezea jinsi Serikali ilimhenyesha akiupigania Uhuru wa Habari Tanzania. Katika mapambano hayo amepitia changamoto mbalimbali ni pamoja na; 1. Pasi zake ya kusafiria kuzuliwa 2. Amehudhuria Mahakamani mara 159 Unaweza kumsikiliza hapo chini
  9. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Maxence Melo ateuliwa kuwa Mjumbe wa Bodi ya Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi

    Kufuatia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan kumteua Balozi Adadi Mohammed Rajab kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi, na Bi. Fatma Mohammed Ali kuwa Makamu Mwenyekiti, Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dar: Maxence Melo mgeni rasmi Mahafali ya 28 ya Chuo cha DSJ kutunukiwa Astashahada na Stashada, Desemba 15, 2023

    Mahafali ya 28 ya Chuo cha Uandishi wa Habari Dar es Salaam (DSJ) kwa ajili ya kutunukiwa Astashahada na Stashada yanafanyika leo Ijumaa Desemba 15, 2023 Ilala Jijini Dar es Salaam. Mgeni rasmi wa shughuli hiyo ambayo inafanyika kwenye Ukumbi wa Baraza la Sanaa Taifa (BASATA) ni Mkurugenzi...
  11. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Maxence Melo: Watanzania wana haki ya kutokuamini taarifa iliyotolewa na Waziri Mkuu kuhusu alipokuwa Makamu wa Rais

    Akizungumza East Africa Radio asubuhi hii, Disemba 12, 2023, Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiForums, Maxence Melo amesema Haki za wananchi zinazopatikana nje ya mtandao zinapaswa kutolewa pia ndani ya mtandao kwa kuwa ni haki za msingi zinazogusa maisha ya watu. Kuhusu kutokutolewa kwa taarifa za...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Maxence Melo: "Machawa" sio wawakilishi wa Vijana

    Mkurugenzi Mtendaji wa Jamii Forums, Maxence Melo akiwa katika Maadhimisho ya Siku ya Mapambano dhidi ya Rushwa Afrika, yaliyofanyika Jijini Arusha, Tanzania amesema vijana wanaongoza katika mapambano ya rushwa na ni vema vijana wakashirikishwa katika maamuzi Akieleze mchango wa Vijana katika...
  13. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Maxence Melo: Vijana Wana nafasi kubwa ya kuzuia rushwa

    Mkurugenzi Mtendaji wa Jamii Forums, Maxence Melo amesema vijana wana nafasi kubwa ya kupambana na vitendo vya rushwa kwa kupitia mitandao ya kijamii ambayo inakutanisha kundi kubwa la vijana. Melo amesema hayo wakati akichangia mada kwenye Kongamano la Mapambano dhidi ya Rushwa linalofanyika...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Thomas Sankara The African Che Guevara

    Ndugu msomaji wa makala hii vuta kiti chako ujifunze kitu hapa ... Africa Ina MASHUJAA --- MFAHAMU MWANAMAPINDUZI HAYATI RAIS THOMAS SANKARA KUTOKA NCHINI BURKINAFASO Kama Kuna usemi umeshawahi kuusikia ya kwamba “wema hawafi” Basi usemi huo una ukweli ndani yake maana Mimi na wewe msomaji...
  15. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Nini kipo nyuma ya Mkataba wa miaka 100 ya ukodishaji wa Bandari ya Dar es Salaam kwa DP World?

    Wakuu, kuna tetesi zinasambaa kuwa baadhi ya Wabunge wamelipwa fedha ili kuupigia kura ya ndiyo mkataba huo wenye utata. Pia inatumika nguvu kubwa kuonesha vigezo vyote vimefuatwa ambapo kwa sasa kuna wanaoitwa Wadau wameitwa kwaajili ya kujadili kwa haraka halafu itaingizwa kwenye maelezo ya...
  16. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Maxence Melo: Tumkumbuke William (Lemutuz) kama Mtetezi wa Uhuru wa Kujieleza na Mtetezi wa uwajibikaji Nchini

    Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiForums, Maxence Melo Mubyazi ametoa pole kwa familia ya Waziri Mkuu Mstaafu John Malecela kwa msiba mzito wa mpendwa wao ambae yeye amefahamiana nae kwa takriban miaka 20. Melo amesema ameshirikiana na Marehemu kwa mambo mengi, pamoja na watu wengi kumtambua kama Le...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Maxence Melo: Kile unachokipenda ndicho unacholetewa kwenye digitali

    Mkurugenzi wa Jamii Forums, Maxence Melo akizungumza katika Kipindi cha Power Breakfast cha Clouds FM anasema “Kwenye ulimwengu wa kidijitali wewe ni bidhaa ambayo inatokana na namna ambavyo wewe unachakata maudhui (algorithm).” Hivi ndivyo mitandao inavyotengeneza pesa, kuna maudhui utayaona...
  18. macho_mdiliko

    JamiiForums Tanzania Ona maajabu ya Artificial Intelligence: Inamjua mpaka Maxence Melo

    Hello members (wale ambao mlikuwa hamjui kama mimi)! Niliposoma kuwa Elon Musk na wenzake wametafadhalisha kuwa Artificial Intelligence (kwa kifupi AI) isiendelezwe tena kwani ni hatari kwa binadamu sikutilia maanani sana mpaka nilipoanza kuitumia. Je, wewe umewahi kuchati nayo? Kama bado basi...
  19. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Balozi wa Uswisi nchini Tanzania atembelea ofisi za JamiiForums

    Taarifa iliyosambazwa na viongozi wa JF inasema kwamba, Balozi wa Uswisi nchini Tanzania, Didier Chassot ametinga kwenye ofisi za JF kwa lengo la kukutana na baadhi ya watendaji wa taasisi hiyo, akiwemo Mkurugenzi, Maxence Melo. JF inasimamia mtandao wa JamiiForums.com, unaoongoza kwa kutoa...
  20. Mdude_Nyagali

    JamiiForums Tanzania Deni la Taifa: Kukopa sio tatizo, lakini tumefanyia nini huo mkopo?

    Binafsi nimepata mshtuko mkubwa baada ya kuona ongezeko kubwa la deni la taifa kufikia trillion 91 kutoka trillion 60.9 mwezi April 2021 wakati Samia anashika madaraka. Kwa hesabu ya haraka ni kwamba kwa mwaka mmoja serikali ya Rais Samia imekopa trillion 30 kiasi ambacho kimevunja rekodi kwani...
Back
Top Bottom