maxence melo

Maxence M. Melo
Maxence Melo is a Tanzanian Building Economist turned Digital Innovator and “Information Architect”.

He leads JamiiAfrica, a dynamic regional non-profit entity on a mission to create a well-informed citizenry, promote responsive governance, and encourage active citizen participation.

He has played an enormous role in revolutionising digital democracy while promoting Transparency & Accountability.

Maxence was recognised by the African Union as one of the top 3 Leading African Innovators for Change in 2018 for strengthening the viability of Whistleblowing Policy tools in Africa.

Maxence is a recipient of various awards, including the 2019 International Press Freedom Award by the Committee to Protect Journalists (CPJ)

Between December 2016 and November 2020, he appeared before the court 159 times on three charges related to protecting his clients' personal data in Tanzania.

In 2023, he was appointed as a Board Member of Tanzania’s Personal Data Protection Commission, representing CSOs, the Media, and the Private Sector.

Other local Awards

He is a recipient of various Human Rights Defenders awards, including the Online Freedom of Speech Champion in Tanzania 2018 by Tanzania Human Rights Defenders Coalition (THRDC) and the Daudi Mwangosi Award (2019) by the Union of Tanzania Press Clubs - an award for Promotion of Media Freedom in Tanzania.
  1. mediaman

    JamiiForums Tanzania Hongera sana Maxence Melo

    Kwa heshima na taadhima, nakupongeza na kukushukuru sana Maxence Melo kwa kubuni jamvi hili zuri na kulisimamia vema tangu ulipolianzisha miaka mingi iliyopita. Nakuvulia kofia, Mkuu. Mimi binafsi nimepata faida nyingi sana humu. Kupitia jamvi hili nimeelimika kisiasa, kiafya, kibiashara na...
  2. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Maxence Melo apewe PhD ya heshima

    Ni bahati mbaya sana kwa vyuo vya nchi zetu hizi kuangalia zaidi wanasiasa na matajiri wakubwa na kuwagawia heshma hii kuliko kuangalia watu wenyemchango mkubwa mahususi katika jamii pana. Kwa wenzetu mfano Harvard & na Oxford hutazama zaidi watu wenye mchango mkubwa katika tasnia flan, au...
  3. huskryderz

    JamiiForums Tanzania Watumishi waliohamishwa Utumishi kuanzia Agosti 2019 hadi Julai tarehe 15, 2020

    Idara ya Tamisemi embu mjitathimi kwanza, kuna majina yali leak mwezi wa September ya Uhamisho kwani watu hawajatolewa au kupewa Uhamisho kwa muda mrefu sana na mbaya zaidi inaonekana wengi mnataka rushwa na kujuana wakati barua za watumishi zimepitishwa kufuata utaratibu. Inakuaje mnashindwa...
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hivi Robert Kyagulanyi a.k.a Boby Wine na JF Founder Mtani wangu Maxence Melo ni Mtu na Kaka yake au? Wanafanana ile mbaya!

    Kuna uwezekano mkubwa Kijana na Mwanasiasa Machachari nchini Uganda Robert Kyagulanyi ( alias ) Boby Wine akawa ana Ndugu yake wa Damu kabisa huku Tanzania aitwae Maxence Melo ila bado hajafahamishwa tu. Ukiwaangalia hawa Wawili wala hutopata shida kuhisi kuwa huenda wakawa ni Ndugu kabisa kwani...
  5. Maxence Melo

    JamiiForums Tanzania Hukumu dhidi yangu: Asante Watanzania, asante Ndugu na Marafiki

    Naam, miaka 4 ya nenda - rudi kortini imehitimishwa leo baada ya hukumu ya mwisho kusomwa mahakamani. Nachukua fursa hii kumshukuru Mungu kwa ulinzi wake katika safari hii; nawashukuru ndugu na familia kwa kuwa nami bega kwa bega katika kesi hizi na kunitia moyo; nawashukuru uongozi na...
  6. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Maxence Melo: Nashukuru kuwa mtu huru kutembea nje ya Dar bila kuomba ruhusa

    Mkurugenzi mtendaji wa JamiiForums amesema anashukuru sana kwa kuwa sasa ni mtu huru kutembea nje ya Dar-es-Salaam bila kizuizi chochote cha kisheria. Awali alikuwa na zuio, ambalo lilikuwa linamtaka apate ruhusa maalumu ya kutoka nje ya Dar kutokana na kesi zilizokuwa zinaikabili JamiiForums...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania KISUTU, DAR: Maxence Melo akutwa bila hatia shtaka la Kikoa. Apewa 'Conditional Discharge' kwenye shtaka la kutotoa ushirikiano kwa Jeshi la Polisi

    Hukumu ya kesi namba 458 ya 2016 ya Jamhuri dhidi ya JamiiForums inatarajiwa kusomwa leo Novemba 17, 2020 katika Mahakama ya Kisutu Katika shauri hili lenye mashtaka mawili, watuhumiwa wanashtakiwa kuendesha mtandao ambao haujasajiliwa kwa kikoa cha DO-TZ Katika shtaka la pili, Polisi ilimtaka...
  8. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Maxence Melo, amewaomba Watanzania kuepuka kununua simu zilizotumika 'Used' kutoka katika mataifa mbalimbali

    Mkuu Maxence Melo, Mshauri wa Masuala ya Mtandao yupo Mubashara akifafanua masuala mbalimbali yanayohusu utapeli wa kimtandao. Msikilize upate kufahamu mambo mengi kuhusu jambo hili, ikiwamo na matumizi sahihi ya mtandao kwa ujumla. Mkurugenzi wa JamiiForums na Mtaalam wa Mawasiliano ya...
  9. Display Name

    JamiiForums Tanzania Happy Birthday to our Tanzanian hero Maxence Melo

    Leo tarehe 9 May ni siku kubwa ya kuzaliwa mtu anayewezesha uwepo wetu humu. Maxence Melo Tunapata nafasi ya kufanya yote kwa kuwa amesimama na kutupatia uhuru wa kutoa yetu ya moyoni. Tunakuombea Mwenyezi Mungu aendelee kukupigania na uzidi kutupigania sisi na Uhuru wetu wa kujieleza...
  10. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mahojiano ya Maxence Melo, Clouds+

    Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiForums, Maxence Melo akihojiwa Clouds+ katika kipindi cha sebuleni ====== Katika mahojiano haya amejibu nadharia zilizopo. Moja ya nadharia iliotolewa ufafanuzi ni kudhani kuwa Jamiiforums ipo 'against' serikali, nadharia hii, haina usahihi kwa kuwa hata kesi...
  11. AbdurRahman

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi nimesomea fani ya umeme

    Habari! Natafuta Ajira nimesomea uhandisi wa Umeme 'MUST', nimemaliza mwaka 2019. kazi yoyote ya Umeme nipo tyr kufanya hata Kama ni wiring n.k,,, Kwasasa napatikana Morogoro 'Msamvu', Nahitaji msaada wenu nipate japo connection niapate kazi ya kusogeza maisha. Simu 0654409392
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Hukumu ya kesi namba 456 ya 2016 inayowakabili Wakurugenzi wa Jamii Media iliyokuwa itolewe leo, imeahirishwa kwa mara ya 5

    Kesi namba 456 (Jamhuri v Maxence Melo na mwenzake Mike William) ambapo Kampuni ya Oilcom iliandikwa katika mtandao wa JamiiForums ikidaiwa kukwepa kodi na kuchakachua mafuta bandarini Dar imeahirishwa tena leo Aprili 02, 2020 hadi Aprili 08, 2020. Hukumu hii awali ilipangwa kutolewa Novemba...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Unajisikiajie Maxence Melo anapo like "post" yako

    Kuna watu huwa wanalike kila post, hasa pale anapoanzisha uzi halafu watu wakachangia. Utakuta analike tu kwa aliyemjibu vizuri au hata aliyemjibu vibaya yeye anatoa like tu. Lakini tangu nimeingia humu sikumbuki ni mara ngapi nimeona like za Maxence Melo kwenye nyuzi. Leo nimeona amelike uzi...
  14. Babu Kijiwe

    JamiiForums Tanzania Kama hii ni kweli, basi tumefika pabaya sana

    =========== UPDATES NIDA WATOA UFAFANUZI
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Kesi na. 456 (Jamhuri v JamiiForums): Hukumu yaahirishwa kwa mara ya nne

    Kesi namba 456 (Jamhuri v Maxence Melo na mwenzake Micke William) ambapo Kampuni ya Oilcom iliandikwa katika mtandao wa JamiiForums ikidaiwa kukwepa kodi na kuchakachua mafuta bandarini Dar imeahirishwa tena leo Februari 19, 2020 hadi Aprili 02, 2020. Hukumu hii awali ilipangwa kusikilizwa...
  16. Chaliifrancisco

    JamiiForums Tanzania Tuiunge Mkono JamiiForums Katika Tanzania Digital Awards

    Habari za jioni wakuu. Katika pitapita zangu mitandaoni nimekutana na hii Tanzania Digital Awards na katika kupekua pekua nikaona kuna category ambayo hata mtandao wetu pendwa wa JF na Maxence Melo wapo kwenye kinyang'anyiro. Hivyo basi nikaona haina budi kuweka uzi hapa kuwajulisha (ambao...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Kisutu, Dar: Hukumu ya Kesi namba 456 ya Jamhuri dhidi ya JamiiForums kutolewa Januari 22, 2020

    ===== UPDATE: Hakimu Simba ameshindwa kusoma hukumu Desemba 06, 2019 na hivyo hukumu hiyo itasomwa January 22, 2020 ==== Wakuu, Kesho, Desemba 06, 2019 kutakuwa na hukumu ya mojawapo ya kesi zilizofunguliwa na Jamhuri dhidi ya Mkurugenzi wa Jamii Media Co. Ltd na mwanahisa, Mike William...
  18. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania Maxence Melo Mubyazi, Tanzania: 2019 International Press Freedom Awards

    CPJ is honored to present its 2019 International Press Freedom Award to Maxence Melo Mubyazi, a champion of online freedom of expression in Tanzania. He is the co-founder and managing director of Jamii Forums, a popular East and Central African website and discussion forum that is a source of...
  19. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Mwanzilishi wa JamiiForums, Maxence Melo atinga Ikulu ya Marekani (White House), awapa ujumbe vijana

    Kupitia mitandao yake ya Kijamii, Mkurugenzi na Mwanzilishi wa Mtandao wa JamiiForums Maxence Melo ameandika... ‪DAKIKA CHACHE KABLA YA KIKAO IKULU YA MAREKANI...‬ Ujumbe wangu kwa vijana: ‪Usikate tamaa - kama unaamini katika jambo, lisimamie‬. Vishawishi vya kukukatisha tamaa havina budi...
  20. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Tumuache Maxence Melo na JamiiForums yake afanye kazi yake

    Hujambo mdau na msomaji wangu, Leo imenipendeza kulijadili hili swala, wewe mwenyewe utakuwa ni shahidi kwa namana, watu mbalimbali hasa vijana wanapo chakata akili zao na kuja na jambo la kimaendeleo namna wanavyo kumbana na changamoto mbalimbali zinazotokana na fikra hasi miongoni mwa pengine...
Back
Top Bottom