maxence melo

Maxence M. Melo
Maxence Melo is a Tanzanian Building Economist turned Digital Innovator and “Information Architect”.

He leads JamiiAfrica, a dynamic regional non-profit entity on a mission to create a well-informed citizenry, promote responsive governance, and encourage active citizen participation.

He has played an enormous role in revolutionising digital democracy while promoting Transparency & Accountability.

Maxence was recognised by the African Union as one of the top 3 Leading African Innovators for Change in 2018 for strengthening the viability of Whistleblowing Policy tools in Africa.

Maxence is a recipient of various awards, including the 2019 International Press Freedom Award by the Committee to Protect Journalists (CPJ)

Between December 2016 and November 2020, he appeared before the court 159 times on three charges related to protecting his clients' personal data in Tanzania.

In 2023, he was appointed as a Board Member of Tanzania’s Personal Data Protection Commission, representing CSOs, the Media, and the Private Sector.

Other local Awards

He is a recipient of various Human Rights Defenders awards, including the Online Freedom of Speech Champion in Tanzania 2018 by Tanzania Human Rights Defenders Coalition (THRDC) and the Daudi Mwangosi Award (2019) by the Union of Tanzania Press Clubs - an award for Promotion of Media Freedom in Tanzania.
  1. BARD AI

    Maxence Melo: Kukosa sheria ya ulinzi wa taarifa binafsi ni hatari kwa usalama wa nchi

    Mkurugenzi Mtendaji wa Jamii Forums amesema ukusanyaji holela na kuzagaa kwa taarifa binafsi za watu mitaani ikiwemo makaratasi yanayotumika kama vifungashio vya chakula au madawa ni madhara ya kutokuwa na sheria inayolinda taarifa binafsi za watu jambo ambalo linaiweka pia nchi kwenye hali...
  2. Sildenafil Citrate

    Maxence Melo: Mpaka sasa hakuna Sheria wala Utaratibu rasmi wa kulinda taarifa binafsi za Watanzania

    Mkurugenzi Mtendaji wa Jamii Forums Maxence Melo akiwa East Africa Radio asubuhi hii, 30 Agosti, 2022. === Amesema kuwa JamiiForums imeandaa muswada wa mfano ambao imeupeleka Serikalini pamoja na Wizara ya Katiba na Sheria ili kutoa mapendekezo ya nini kifanyike katika kuhakikisha kuwa taarifa...
  3. Roving Journalist

    Mkurugenzi wa JamiiForums, Maxence Melo anazungumza ndani ya Ugali wa Taifa ya Clouds TV, Juni 30, 2022

    Maxence Melo amesisitiza suala la JamiiForums kutaka kujitanua na kuzifikia nchi nane za Afrika ili kuwapa watu wa nchi hizo huduma ambayo watanzania wamekuwa wakiipata pia kukuza Kiswahili. Suala la umuhimu wa faragha ni suala alilozungumza kwa undani akitaja mfano wa watu kuandika majina...
  4. Maxence Melo

    DST: Kwanini Waziri Mwigulu aliipongeza JamiiForums na Mkurugenzi wake?

    Wakuu, Kwa heshima kubwa nachukua nafasi hii kuwashukuru wengi waliotupongeza kwa mchango wetu kutambuliwa na Serikali kupitia Wizara ya Fedha na Mipango mnamo jana, Juni 14, 2022 wakati Bajeti ikisomwa Bungeni. Asanteni sana. Nini hasa ulikuwa mchango wa JF? JamiiForums ilipata taarifa mapema...
  5. JanguKamaJangu

    Maxence Melo: Nilipoteza marafiki wengi, tuna Sheria mbovu ya Makosa ya Mtandao. Tuna haki ya kuhoji

    Maxence Melo ambaye ni Mkurugenzi wa JamiiForums, jana Aprili 25, 2022 alikuwa katika kituo cha E FM Radio akielezea mambo mbalimbali kuhusu taasisi yake, harakati, mijadala na mambo mengine mengi. Hizi ni sehemu ya nukuu ya yale aliyozungumza Maxence Melo: “Hitaji la Jamii Forums wakati...
  6. Replica

    Maxence Melo: Tulipata changamoto kuhusu Sera yetu ya Faragha na haikuwa rahisi kufanya kazi na Serikali

    Mkurugenzi wa Jamiiforums leo ameongelea mchango wa dijitali kwenye demokrasia ikiwemo walipofikia na changamoto zake kwenye mjadala uliofanyika Msasani, Dar es Salaam. Maxence Melo: Tulipata changamoto sana kuhusu Sera yetu ya Faragha lakini kwa sasa tumeshaandaa Muswada mbadala wa Sheria ya...
  7. Roving Journalist

    Mazungumzo: Jinsi dijitali inavyoweza kukuza Demokrasia Tanzania

    Tanzania ni moja ya soko linalokuwa zaidi barani Afrika kwenye nyanja ya dijitali, takwimu ya mwaka 2020 ikionyesha watumiaji wa internet wamefika milioni 28.5 kutoka milioni 25.8 mwaka 2019 huku idadi hiyo ikiwa sawa na asilimia 49 ya watu wake. Teknolojia iliyokuja inaruhusu wananchi kuweza...
  8. JamiiForums

    Interview with Maxence Melo: The story of JamiiForums - history and operations of the platform

    Habari za wakati huu mabibi na mabwana, waungwana wote kwa ujumla, wale tulio kwenye mfungo, hongereni kwa hilo na natanguliza kheri na salamu za sikukuu ya Idi. Itakumbukwa kuwa Jumanne ya tarehe 14/08/2012 ilianzishwa hoja na Roulette na kukaribishwa maswali kwa ajili ya kumuhoji Maxence Melo...
  9. CCM Music

    Maxence Melo na JF ni underrated. Wapewe heshima wanayostahili, wao ni zaidi ya akina tiGO, Voda na wengine

    Ki ukweli Melo na JF kwa ujumla ni wadogo sana ukilinganisha na akina Tigo, Voda na wengine. Lakini hawa Jamaa pamoja na udogo wao wamepambana waziwazi mahakamani kulinda faragha ya watumiaji wa mtandao wao. Hawa Jamaa wamepambana uso kwa uso na Polisi. Wamepambana uso kwa uso mahakamani...
  10. U

    Ni wakati muafaka kwa Serikali kumpangia Maxence Melo majukumu makubwa ya Kitaifa kwa Maslahi mapana ya nchi yetu

    Ndugu zangu wa JF Naongea kwa upendo na uzalendo mkubwa kwa nchi yangu ya Tanzania Namzunguzia Ndg Maxence Melo Huu ni wakati muafaka kwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kumteua na kumpangia Maxence Melo majukumu makubwa ya Kitaifa. Amekuwa na Utumishi uliotukuka akiwa Mtendaji...
  11. JamiiForums

    Stories of Change: Golder Anael Mmari ashinda Tsh. 5,000,000/- toka JamiiForums

    Yule mshindi wa Shindano la “JF Stories Of Change” atakayejinyakulia kitita cha Tsh. Milioni 5 anatarajiwa kupewa kitita hicho Jioni ya leo Oktoba 15, 2021 katika hafla fupi itakayoanza saa 12 jioni Jijini Dar. Mshindi wa Kwanza atapata Fedha taslimu Tsh. Milioni 5, Mshindi wa Pili Tsh. Milioni...
  12. GoJeVa

    SoC01 Majigambo ya nahodha na dereva

    MAJIGAMBO YA NAHODHA NA DEREVA. NAHODHA: Kazi ya majasiri..!!! Unahodha kazi nzuri, mtumbwi naendesha, Kwa nyuma naukalia, mawimbi naachanisha, Raha kisogoni naisikia, kasia langu kupigisha, Unahodha kazi nzuri, wengineo jifunzeni. DEREVA: kazi yenye heshima…!!! Udereva ni heshima...
  13. Drop shipping Tanzania

    SoC01 Baadhi ya vitu nitakavyowafundisha wanangu kabla ya kifo changu

    Karibuni Sana kwenye JUKWAA LETU LA (Stories of Change) Tujifunze - Teulemike & Tubadilishane mitazamo. Naamini 99.9% umaskini unarithishwa sawa tu na utajiri unavyorithishwa. Na wala hii sio breaking news 'tajiri huongezewa, maskini hupungiziwa'~ BAADHI YA VITU NITAKAVYOWAFUNDISHA WANANGU...
  14. emmapetertz

    Ushauri: Serikali iboreshe Elimu iwe na tija kwa mhitimu

    MHESHIMIWA JOYCE NDALICHAKO (WAZIRI WA ELIMU) NAOMBA TUZUNGUMZE KIDOGO) Mhe Waziri, Heshima kwako.................... ….. Nakupa salamu kwa lugha ya kikwetu Usukumani, "Ulimholla mayu ungumbyala" Ni matumaini yangu u mzima wa afya tele, kama nakuona vile unavyozunguka zunguka katika kiti cha...
  15. Analogia Malenga

    Maxence Melo: Changamoto za Vyombo vya Habari na kukosa Matangazo

    Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiForums Maxence Melo amesema vyombo vingi vya habari hukubali matangazo kwa kuwa yana hela nyingi Kwa JamiiForums amesema wana sera ambayo inawafanya wakatae matangazo ya Pombe na Matangazo ya Betting japo yana hela. Aidha Chombo cha habari kutegemea matangazo ni...
  16. Relief Mirzska

    Asante Maxence Melo kwa kumuomba Rais Samia Suluhu Hassan Katiba Mpya LIVE

    Kwa heshima naomba nkuvulie kofia niliyovaa wakati huu naandika huu uzi. Wakati historia inaandikwa juu ya upatikanaji wa katiba mpya ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Maxence Melo tutamtambua kama prominent figure wa kwanza kabisa kutoka hadharani na kumuomba Mheshimiwa Rais Mama yetu...
  17. Replica

    Maxence Melo: JamiiForums imefanikiwa kujenga Fikra Mbadala kwa watanzania wengi

    Leo mkurugenzi wa JamiiForums amefanya mahojiano kwenye kipindi cha Clouds 360. Pamoja na mambo mengine ameongelea suala la hofu ya kuingia matatani na kusema ameshaingia mara kadhaa na haijawahi kuwa hofu kwake pia ameongelea awamu ya sita ilivyoanza kwa kuwasikiliza. ======== SWALI: Kama...
  18. mediaman

    Hongera sana Maxence Melo

    Kwa heshima na taadhima, nakupongeza na kukushukuru sana Maxence Melo kwa kubuni jamvi hili zuri na kulisimamia vema tangu ulipolianzisha miaka mingi iliyopita. Nakuvulia kofia, Mkuu. Mimi binafsi nimepata faida nyingi sana humu. Kupitia jamvi hili nimeelimika kisiasa, kiafya, kibiashara na...
  19. Mstahiki Mea

    Maxence Melo apewe PhD ya heshima

    Ni bahati mbaya sana kwa vyuo vya nchi zetu hizi kuangalia zaidi wanasiasa na matajiri wakubwa na kuwagawia heshma hii kuliko kuangalia watu wenyemchango mkubwa mahususi katika jamii pana. Kwa wenzetu mfano Harvard & na Oxford hutazama zaidi watu wenye mchango mkubwa katika tasnia flan, au...
  20. huskryderz

    Watumishi waliohamishwa Utumishi kuanzia Agosti 2019 hadi Julai tarehe 15, 2020

    Idara ya Tamisemi embu mjitathimi kwanza, kuna majina yali leak mwezi wa September ya Uhamisho kwani watu hawajatolewa au kupewa Uhamisho kwa muda mrefu sana na mbaya zaidi inaonekana wengi mnataka rushwa na kujuana wakati barua za watumishi zimepitishwa kufuata utaratibu. Inakuaje mnashindwa...
Back
Top Bottom