Hapa nchini viongozi wote wakubwa huwa wanawekwa viti vya kukalia vyenye utofauti na watendaji au washiriki wengine wanapokuwa katika matukio mbali mbali ya kikazi yanayohitaji vikao.
Ukiingalia kiti cha waziri mkuu au mawaziri wengine wanapokuwa kwenye vikao hivyo na watendaji wao utagundua...
Nilishangaa kidogo kusoma Press Release ya Ikulu ambayo ilitangaza majina ya Wakuu wa Mikoa ''wapya'' ambao WAMETEULIWA na Rais Samia. Kilichonishangaza ni lugha iliyotumika lakini ''kiuhalisia'' kilichofanyika ni UHAMISHO TU wa Wakuu wa Mikoa na kuziba nafasi za wale wamestaafu.
Rais Samia...
Sielewi ni kwa sababu gani hali iko hivi, lakini ni wazi kwamba ubora wa walioko mjengoni uko chini. Watu wanashindwa hata kuunda maswali yanayostahili kuulizwa bungeni. Maswali mengi ni ya kuulizia miradi ya shule, urefu wa barabara, visima vya maji, n.k. vya kiwango cha wilaya na majimbo...
IKULU,Chamwino Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichokutana leo Mei 06,2021 Ikulu Chamwino Jijini Dodoma.
Wakati mwingine ukifikiria sana siasa utagundua ni ubatili mtupu yaani ni bora umrejee muumba wako.
Yaani leo hii ndio kusema maswali ya Dr Bashiru na komredi Polepole yanaenda kujibiwa na akina Gekui, Waitara, Silinde, Katambi na Dr Mollel kule bungeni?
Kwamba, David Silinde ana mfuko wa...
Najikumbusha tu ujasiri wa Rais wa awamu ya pili mh Ali Hassan Mwinyi ( Ruksa)
Profesa Kighoma Malima akauliza " mh Rais hata mimi simo?"
Rais akamjibu "Kwani wewe ni nani? "
Ramadhan Kareem!
Nakumbuka siku Rais anawaapisha mawaziri na makatibu wakuu alitoa maagizo mengi.Baadhi ya maagizo.
1. Waalimu 6000 waajiliwe mara moja ili kufanya mbadala walioacha kazi na kustahafu. Lakini mpaka sasa hakuna kinachofanyika waziri anaruka ruka tuu hajui lipi ashike na lipi aache.Naibu wake...
Rais alipohutubia mara ya pili na mara ya Tatu alipokuwa akiwahotubia Mawaziri na Makatibu wakuu alizungumzia habari ya Uonevu, kesi na kusikiliza kero za wananchi na kuzitatua maramoja, akaongeza bango litakalo onekana DC au Mkurugenzi hawana kazi sisi hatujamuelewa vizuri hili swala la bango...
Ukiacha yule Marehemu Mpendwa wetu Mh. Mbunge Bilago aliyefariki labda na wale wa upinzani kidogo - Mawaziri na hata wabunge waliokuwepo katika awamu ya Mwendazake walikuwa wakatili sana. Ndiyo wengi wamepata sababu ya kumsema mwendazake kama ndiyo chanzo cha kila kitu. Mimi ninakataa - wabunge...
Ukiacha yule Marehemu Mpendwa wetu Mh. Mbunge Bilago aliyefariki labda na wale wa upinzani kidogo - Mawaziri na hata wabunge waliokuwepo katika awamu ya Mwendazake walikuwa wakatili sana. Ndiyo wengi wamepata sababu ya kumsema mwendazake kama ndiyo chanzo cha kila kitu. Mimi ninakataa - wabunge...
Kila mtu makini naamini hushangaa na kutatizwa sana pale ambapo mamlaka ya uteuzi ya viongozi iwe Rais ama Waziri ama yeyote ili mradi ni mamlaka ya uteuzi inapofanya uteuzi muda huu, kisha in less than 24hrs inatengua uteuzi huo huo...
Hili lilijitokeza mara kadhaa ktk utawala wa Rais Hayati...
Mwenyekiti wa Cuf na bingwa wa masuala ya uchumi duniani ameshauri kuwa Rais wa JMT samia na makamu wake Dk Mpango wawe wanawapa mkataba wa mwaka mmoja mwaziri ili anayeshindwa kazi atumbuliwe kihalali.
Mheshimiwa Rais Samia leo amemwapisha Katibu Mkuu Kiongozi na baadhi ya Mawaziri na Manaibu wao. Hii ni kufuatia mabadiliko madogo aliyoyatangaza jana tar 31 March 2021.
Baada ya kuwaapisha, Rais Samia amesikia akisema kuna uwezekano Jumanne kuna watu wataingia Chamwino kula viapo.
Mnuso wangu...
RAIS SAMIA AAWAAPISHA MAWAZIRI, MANAIBU WAZIRI NA KATIBU MKUU KIONGOZI
Rais wa Jamhuri ya Muungano, Samia Suluhu amewaapisha mawaziri nane, na manaibu waziri 8 na Katibu Mkuu Kiongozi Ikulu Dodoma.
Katibu Mkuu Kiongozi Hussein Katanga amechukua nafasi ya Bashiru Ally. Mwaziri walioapishwa ni...
Wengi tunajua kuwa Balozi Bashiru Ally Kakurwa alikuwa kipenzi cha Mwendazake. Alianza naye kwenye ukaguzi wa mali za CCM na baadaye kumteua kuwa Katibu Mkuu wa CCM Taifa. Na mwishoni, akamteua kuwa Balozi na Katibu Mkuu Kiongozi. Jana, Balozi Bashiru ameteuliwa kuwa Mbunge. Hiyo ni njia ya...
Wabunge wapya walioteuliwa kuwa wabunge ni pamoja na Aliyekuwa Katibu Mkuu Kiongozi, Dkt. Bashiru Kakurwa Ali, Mbarouk Nassor Mbarouk na Liberata Mulamula.
Rais Samia Suluhu akitangaza Baraza la Mawaziri amesema...
''Kuondoka kwa Mpango kumefanya nifanye mabadiliko kidogo kwenye Baraza la...
Tupo kwenye zama mpya na kila zama na style yake.
Kwa hivi sasa wananchi wana matumaini makubwa na Rais Samia Suluhu Hassan kwamba atakuwa ni rais atakeyekidhi matarajio yao ya maendeleo lakini pia atakuwa rais atakayeondoa mapungufu makubwa yaliyoonekana katika serikali iliyopita ya rais...
Asalaam Aleykum ndugu zangu...!
Natumaini ni siku nyingine tena tumeamka tukiwa na afya tele Asante nyingi kwake Mola muumba wa mbingu na ardhi.
Siku ya leo nina ushauri mfupi kwa Rais Mama Samia atakapolivunja baraza la mawaziri basi anatakiwa amfuatilie waziri mmoja baada ya mwingine katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.