mawaziri

  1. S

    JamiiForums Tanzania Utabiri wa Chalamila sasa unakwenda kutimia Mawaziri kukopa fedha nje kugombea urais 2025

    RC Chalamila aliwahi kusema kuna mawaziri ambao kazi yao ni kwenda nje ya nchi kukopa fedha na kujiimarisha kwa ajili ya kugombea urais 2025...kama kawaida yetu watanzania tukapuuzia....leo sasa utabiri huo unaanza kutimia
  2. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko Baraza la Mawaziri: Simbachawene ahamishiwa Utumishi na Utawala Bora, Jenista arejeshwa Sera, Bunge na Uratibu

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko madogo ya Baraza la Mawaziri kama ifuatavyo: Amemteua Mhe. Jenista Joakim Mhagama (Mb) kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu). Mhe. Mhagama anachukua nafasi ya Mhe. George Boniface...
  3. funaku

    JamiiForums Tanzania Mawaziri wapimwe kwa kuleta sera mpya au kuhuisha sera

    Nipende kutoa wito, maoni na ushauri adhimu na wa kipekee. Kama nchi lazima tubuni mikakati mipya ya kukabiliana na maadui watatu muhimu waliotajwa hapo awali yaani umasikini, ujinga na maradhi. Bado kama Taifa hatujafikia kiwango tulichohitaji kufikia katika kukabiliana na maadui tajwa. Hivyo...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Baraza la Mawaziri wa SADC wahitimishwa, agenda za kujikwamua kiuchumi zapewa kipaumbele

    Mkutano wa Baraza la Mawaziri wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) umehitimishwa Jijini Kinshasa tarehe 19 Machi 2023, huku agenda za kujikwamua kiuchumi katika kanda hiyo ya Kusini mwa Afrika zikipewa kipaumbele. Ujumbe wa Tanzania katika mkutano huo unaotathmini utekelezaji wa...
  5. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Uingereza: Mawaziri wapigwa marufuku kutumia TikTok katika simu za ofisi

    Uamuzi huo umetajwa kuwa ni kwa sababu za kiusalama, Serikali ikiamini kuwa taarifa za muhimu zinaweza kuchukuliwa na Serikali ya China Mwakilishi wa Baraza la Mawaziri, Oliver Dowden amesema hiyo ni tahadhari. TikTok imekanusha vikali madai kuwa imekuwa ikitoa taarifa za wateja wake kwa...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Mashimba Ndaki ametumbuliwa. Je, Mawaziri Mizigo wamekwisha Serikalini?

    Mashimba Ndaki aliyekuwa Waziri wa Uvuvi, ameshatumbuliwa kutokana na kile kinachotajwa utendaji kazi mbovu wa kusimamia wizara hiyo na sasa yuko benchi kuungana na kina Prof. Palamagamba John Kabudi, William Lukuvi, Dk. Medard Kalemani, Prof. Kitila Mkumbo, Geofrey Mwambe, Dk. Faustine...
  7. Mparee2

    JamiiForums Tanzania Mawaziri waweke platform za kupokea Ushauri

    Kutokana na mabadiliko ya teknolojia, Nashauri Mawaziri wote waweke Ukurasa (platform) hata kwenye website za wizara zao zenye sehemu mbili 1. Kupokea maoni 2. Kupokea malalamiko Na waziri mwenyewe au msadizi wake awe anapitia mwenyewe mara kwa mara ili apate ujumbe BILA filter Ukifuatilia...
  8. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu akiongoza kikao cha Baraza la Mawaziri Ikulu ya Chamwino, Dodoma

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 11 Machi, 2023
  9. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Kiongozi Mkoa wa Tabora apingana na agizo la timu ya Mawaziri 8 kuhusu Vijiji vya Kakoko na Usinga

    "Ndugu zangu Wananchi wa Ukumbikakoko na Usinga Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan anawapenda Sana ndio maana aliwaruhusu Mawaziri 8 kuja na kuwatangazia kuishi kwenye maeneo yenu lakini Kiongozi mmoja wa Mkoa anaonekana kuanza kupinga Agizo la timu ya Mawaziri...
  10. Companero

    JamiiForums Tanzania Jeremiah Kasambala na Lucy Lameck wana mchango gani katika kujenga sekta ya viwanda na biashara?

    Salaam WanaJF, Uzi huu ni wa kupeana taarifa na makavazi kuhusu mawaziri hawa wawili wa zamani waliowahi kuwa wizara moja. Je, wana mchango gani katika kujenga sekta ya viwanda na biashara pamoja na ya ushirika miongoni mwa jamii? Shukrani, Companero
  11. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Samia awapiga ‘stop’ mawaziri kuajiri maofisa habari binafsi

    Rais Samia Suluhu Hassan amezitaka wizara kujibu kauli za upotoshaji zinazotolewa na wanasiasa kuhusu utendaji wa Serikali. Katika kulitekeleza hilo, amewataka mawaziri kuacha kuajiri maafisa habari binafsi, badala yake wavitumie vitengo vya habari kutoa taarifa za Serikali. Rais Samia...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Sipendi kubadili viongozi mara kwa mara lakini nalazimika kukwepa fedheha

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akifungua Mkutano wa Faragha (Retreat) wa Mawaziri, Naibu Mawaziri, Makatibu Wakuu na Naibu Makatibu Wakuu katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa Arusha (AICC) jijini Arusha leo tarehe 02 Machi, 2023 RAIS SAMIA “Kutofanyika kwa...
  13. O

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atoa onyo la mwisho kwa mawaziri

    Dar es Salaam. Rais Samia Suluhu Hassan ametoa onyo la mwisho kwa wateule wake wasioelewana kwenye utekelezaji wa majukumu yao akisema ameachana na mtindo wa kuwapangua badala yake atawaengua. “Sipendi sana, nataka niwaambie, hii itakuwa mara ya mwisho kutumia sababu hii kupangua wizara...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Mwana FA: Waziri Pekee kwenye Baraza la mawaziri asiye na Degree

    Mwana FA anaweza Kuingia kwenye Historia ya aina yake, kwanza kwa Kusoma Masters bila kuwa na Degree lakini pia Kuwa waziri asiye na Degree katika baraza la Mawaziri Hivi ilikuaje akasoma masters bila kuwa na Degree, inawezekana? hii ndiyo CV yake kwa mujibu wa tovuti Rasmi ya Bunge Education...
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa nchi kutuambia Wananchi kuwa Mawaziri na Makatibu wa Wizara Wanagombana kuna faida gani Kimaendeleo?

    Sasa kama Wewe Kiongozi umeshindwa Kuwapatanisha wakati Unawamudu na ndiyo Umewateua kuwa hapo kwa Kukurupuka Kwako pasi na kuwafanyia Vetting au Kutokubali Ushauri wa Wasaidizi wako unataka Sisi Wananchi tuseme nini? Hebu acheni Kutusanifu Wananchi.
  16. tpaul

    JamiiForums Tanzania Teuzi za Rais Samia zina upendeleo?

    Naingia kwenye mada moja kwa moja na kwa ufupi bila kuwachosha ndugu zangu wanaJF. Naungana na ndugu Charles Kitwanga kuhitimisha kwamba mama Samia ni Rais mzuri mwenye uwezo wa kuivusha nchi salama lakini amezungukwa na GENGE la watu (possibly SUKUMA GANG) wanaomshauri vibaya. Tangu Rais...
  17. President of China

    JamiiForums Tanzania Litambue Baraza la Mawaziri mwaka 2023 na Majimbo yao

    1. MHE. SAMIA SULUHU HASSAN Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 2. MHE. DKT. PHILIP ISDOR MPANGO Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 3. MHE. DKT. HUSSEIN ALI MWINYI Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi 4. MHE. KASSIM MAJALIWA MAJALIWA - Jimbo la Ruangwa -...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Mawaziri watangazwa

    Ni jambo jema Nimeona Uteuzi wa Viongozi mbalimbali wakiwemo Mawaziri, Manaibu na Makatibu Wakuu Ngoja niuhakiki mkeka kisha niutupie hapa Kazi Iendelee
  19. M

    JamiiForums Tanzania Mbunge Katani: Bashe na Mwigulu ni mawaziri mizigo. Wanaumiza wananchi. Amwaga machozi kwa kutukanwa kujadili uganga.

    Video hii hapa.
  20. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Ni wizara gani ungependa mawaziri wake wasiwe wanakaa kwa muda mrefu kwenye hiyo wizara?

    Ni dhahiri zipo baadhi ya wizara zipo very delicate kiasi kwamba waziri akiyumba kidogo tu watanzania wote wanapoteana. Hivi sasa zipo wizara zinalalamikiwa kila siku sio mtaani, wala bungeni, wala mtandaoni, pengine hata kwenye mikutano ya vyama. Kutokana na kuyumba kwa maamuzi ya wizara basi...
Back
Top Bottom