Litambue Baraza la Mawaziri mwaka 2023 na Majimbo yao

Venus Star

JF-Expert Member
Dec 6, 2018
19,226
58,154

1. MHE. SAMIA SULUHU HASSAN​

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

2. MHE. DKT. PHILIP ISDOR MPANGO​

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

3. MHE. DKT. HUSSEIN ALI MWINYI​

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi

4. MHE. KASSIM MAJALIWA MAJALIWA - Jimbo la Ruangwa - Lindi

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

5. MHE. KAPT GEORGE HURUMA MKUCHIKA - Jimbo la Newala Mtwara

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Ikulu (Kazi Maalum)

6. MHE. JENISTA J. MHAGAMA - Jimbo la Peramiho Ruvuma

Waziri wa Nchi Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

7. MHE. INNOCENT L. BASHUNGWA - Jimbo la Karagwe Kagera

Waziri wa Ulinzi

8. MHE. ANGELLAH J. KAIRUKI - Wa kuteuliwa

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI)

9. MHE. SELEMAN S. JAFO - Jimbo la Kisarawe Pwani

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira)

10. MHE. PROF. JOYCE L. NDALICHAKO - Jimbo la Kasulu Mjini Kigoma

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu)

11. MHE. GEORGE B. M. SIMBACHAWENE - Jimbo la Kibakwe Dodoma

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu)

12. MHE. PROF. MAKAME M. MBARAWA - Jimbo la Mkoani Pemba Kusini

Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi

13. MHE. UMMY A. MWALIMU - Tanga Mjini Tanga

Waziri wa Afya

14. MHE. DKT. MWIGULU N. MADELU - Iramba Magharibi Singida

Waziri wa Fedha na Mipango

15. MHE. MHANDISI HAMAD Y. MASAUNI - Jimbo la Kikwajuni Mjini Magharibi

Waziri wa Mambo ya Ndani

16. MHE. DKT. STERGOMENA LAWRENCE TAX - Kuteuliwa

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki

17. MHE. HUSSEIN BASHE - Jimbo la Nzega Mjini Tabora

Waziri wa Kilimo

18. Mhe. Dkt. Doto Mashaka Biteko -Jimbo la Bukombe Geita

Minister Of Minerals

19. MHE. PROF. ADOLF. F. MKENDA - Jimbo la Rombo Kilimanjaro

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia

20. MHE. NAPE M. NNAUYE - Jimbo la Mtama Lindi

Waziri wa Habari Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

21. MHE. JANUARI Y. MAKAMBA - Jimbo la Bumbuli Tanga

Waziri wa Nishati

22. Mhe. Dkt. Angeline Sylvester Lubala Mabula - Jimbo la Ilemela Mwanza

Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi

23. MHE. DKT. DAMS D. NDUMBARO - Jimbo la Songea Mjini Ruvuma

Waziri wa Sheria na Katiba

24. MHE. DKT. DOROTHY O. GWAJIMA - Kuteuliwa

Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum

25. MHE. DKT. ASHATU K. KIJAJI - Jimbo la Kondoa Dodoma

Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara

26. MHE. JUMA H. AWESO - Jimbo la Pangani Tanga

Waziri wa Maji

27. MHE. DKT. PINDI H. CHANA - Viti maalumu

Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo

28. MHE. MOHAMED O. MCHENGERWA - Jimbo la Rufiji Pwani

Waziri wa Maliasili na Utalii
 
Rukwa 0
Katavi 0
Arusha 0
Kilimanjaro 0
Manyara 0
Simiyu 0
Shinyanga 0
Mbeya 0
Songwe 0

Kazi iendelee.
Kilimanjaro yupo Adolf Mkenda (Elimu)

By the way, mikoa iko zaidi ya 35 na mawaziri wanaotakiwa ni less than 26..

So, by any means Kuna baadhi ya mikoa haitatoa waziri hata kama wawe wapo wanaofaa...

Labda kama tunataka tuwe na Caninet ya mawaziri 40..!!

Pia, possibly hiyo mikoa inaweza kuwa imetoa manaibu au watu kwenye higher positions zingine..

NOTE: Kusema ukweli kuwa kiongozi mkuu mahali popote hususani uongozi mkuu wa nchi (yaani RAIS) ni kazi kwelikweli. Hakuna zuri waweza kufanya Kisha Kila mtu aka - appreciate...
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom