mawaziri

  1. Stroke

    JamiiForums Tanzania Kwanini Baraza la Mawaziri lisivunjwe kwa kushindwa kumshauri Rais?

    Kitendo cha Waziri wa Fedha kukiri kwamba akiba ya Taifa ya Fedha za kigeni ilichotwa na fedha kutumika kwa ujenzi wa Madarasa ni kiashiria cha dhahiri kukosekana fedha katika njia za kawaida (makusanyo ya mapato). Foreign Reserve hutumika tu endapo kuna mkwamo wa kiuchumi na serikali huzitumia...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Mpina: Mawaziri wapatikane kwa njia ya Ushindani siyo Uteuzi ili tupate Mawaziri Bora badala ya Bora Mawaziri!

    Mbunge wa Kisesa mh Luhaga Mpina amependekeza Mawaziri wapatikane kwa njia ya Ushindani badala ya Uteuzi kama ilivyo sasa Mpina amesema hatua Hiyo itapelekea kupata Mawaziri wenye viwango siyo mizigo “Kwanini Serikali isiache utaratibu wa ajira kwa njia ya uteuzi ili kupata watu wenye uwezo...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Yupo Waziri au Mawaziri wanataka kulipeleka Taifa kwenye mfumuko wa bei

    Wana jicho latatu someni mnielewe.... Iko hivi kila Mali inayo toka nje ya Taifa unahitaji ukwasi wa pesa ya kigeni mmenipata hapo wanazengo? Sasa hawa Mawaziri au waziri wana push agenda ya free trade while sisi kama Taifa hatuna Mali yaku export zaidi ya chakula na madini sijuwi kama...
  4. saidoo25

    JamiiForums Tanzania Mawaziri wanajifungia kwenye viyoyozi wakilamba asali walalahoi wakishindwa kupata mlo mmoja

    MTANZANIA Mzalendo, Mussa Okoko amewatupia lawama Mawaziri kuendelea kulamba asali huku walalahoi wakishindwa kupata mlo japo mmoja kwa siku "MCHELE KILO MOJA 4000 UNGA KILO 2000 MAHARAGE KILO 4000,DAGAA KILO 7000,NYAMA KILO 10000 MCHICHA FUNGU 600, MAWAZIRI WANAJIFUNGIA KWENYE VIYOYOZI...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Tufanye nini Mawaziri wetu waondokane na ukarani?

    Tumesikia Lissu akisema wazi tusimlaumu Waziri wa Fedha kwa sababu ni karani tu anayewelekezwa chakufanya na Rais. Nakubaliana asilimia mia moja na hoja kwa kuzingatia mambo yafuatayo; ~ Mzee Mtei alipokataa kumsikiliza Mwalimu Nyerere na kuamua kusimamia uelewa na taalum yake ilimlazimu...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya Baraza la Mawaziri yafanyike au Baraza livunjwe ateuliwe Waziri Mkuu mpya?

    Mabadiliko ya Baraza la Mawaziri yanakuja hivi karibuni katika kuongeza ufanisi. Mabadiliko hayo yanaweza yasiwe na tija au yakawa na tija, ila naamini mabadiliko hayo yakilenga kuvunja Baraza kumwondoa Waziri Mkuu yataleta ufa badala yake aachwe amalize miaka miwili ijayo. Bado sioni Waziri...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Hivi huwa nini kinajadiliwa kwenye Baraza la Mawaziri? Kuna umuhimu gani wa kutupa taarifa kuwa wamekutana?

    Naombeni wanaoelewa sana mambo haya wanisaidie kufahamu. Inavyoonekana kikao cha Baraza la Mawaziri huwa ni cha siri. Kinachonisumbua ni kwamba mara nyingi wakikutana kwa kikao tunajulishwa kuwa wamekutana. Na kwenye hilo Baraza huwa mambo gani hujadiliwa na vikao vya siku ngapi?
  8. ESCORT 1

    JamiiForums Tanzania Rekodi mbalimbali za Mawaziri Wakuu wa Tanzania

    Leo tujikumbushe kwenye historia ya nchi yetu tangu tulipoungana na wenzetu wa Zanzibar mwaka 1964. 1. Ni watu wawili tu wamewahi kushika madaraka hayo zaidi ya mara moja ambao ni Edward Sokoine na Cleopa Msuya Edward Sokoine akishika madaraka hayo mwaka 1977 mpaka 1980. Kwa mara pili...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Nagusa na Kubadili Mawaziri wote isipokuwa Biteko, anafanya kazi nzuri

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Runzewe mkoa wa Geita, leo tarehe 16 Oktoba, 2022 Kwanza nawashukuru, nimeingia Geita jana asubuhi sana, tumefungua hospitali ya kanda pale chato, lakini tukafungua kiwanda cha kuchenjua dhahabu itakayouzwa...
  10. MR.NOMA

    JamiiForums Tanzania Hali mbaya ya bei za vyakula nchini, kwanini mawaziri husika wasijipime katika hili kama wanatosha au laa!

    Wakuu kwema! Hali ya bei za vyakula inatishia kwelikweli, mawaziri husika hawaoneshi jitihada zikaeleweka na bei zikashuka kwanini wasijipime na wakaamua kutupisha na Ili tupate watu wanaoweza kudhibiti Hali hii. 1. Mchele 3000-4000/- 2. Maharage zaidi ya 3500/- 3. Unga zaidi ya 2000/- 4. Nk...
  11. MR.NOMA

    JamiiForums Tanzania Hali mbaya ya bei za vyakula nchini, kwanini mawaziri husika wasijipima katika hili kama wanatosha au laa!

    Wakuu kwema! Hali ya bei za vyakula inatishia kwelikweli, mawaziri husika hawaoneshi jitihada zikaeleweka na bei zikashuka kwanini wasijipime na wakaamua kutupisha na Ili tupate watu wanaoweza kudhibiti Hali hii. 1. Mchele 3000-4000/- 2. Maharage zaidi ya 3500/- 3. Unga zaidi ya 2000/- 4.Nk...
  12. saidoo25

    JamiiForums Tanzania Mawaziri 8 wa-NEC wanaoliangamiza taifa

    Mawaziri wote ambao wizara zao zina mgogoro mkubwa wa usimamizi mbovu wamekimbilia NEC ya CCM ili Rais na wabunge washindwe kuwabana wakijua ndio mabosi zao ikifika 2025. 1. Dotto Biketo (MNEC) 2. Januari Makamba (MNEC) 3. Mwigulu Nchemba (MNEC) 4. Nape Nauye (MNEC) 5. Angelina Mabula (MNEC) 6...
  13. saidoo25

    JamiiForums Tanzania Kwanini Jakaya Kikwete atumie nguvu kubwa kuwatetea mawaziri waliotajwa na Chalamila?

    Bado Watanzania wengi tuko kwenye tafakari kubwa sana na Kauli ya Mstaafu Kikwete kuwakingia kifua mawaziri waliotajwa na Chalamila kuwa wanakwenda nje ya nchi kukopa kwa ajili ya kumngoa Rais Samia 2025. Swali ambalo watanzania wengi wanajiuliza ni kwanini JK ameelekezea lawama nzito upande...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Albert Chalamila jitokeze hadharani uwataje kwa majina Mawaziri wanaokwenda nje kukopa ili kumtoa Rais Samia 2025

    Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Albert John Chalamila umemsikia live Mstaafu Kikwete akikuita muongo kwa kauli yako kuhusu Mawaziri kuacha majukumu ya kumsaidia Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuhangaika nje ya nchi kusaka fedha za kuja kumng'oa 2025. Kwa heshima na unyenyevu mkubwa na kwa kuwa wewe ndio...
  15. technically

    JamiiForums Tanzania Baraza la Mawaziri kuvunjwa?

    Inaelekea serikali ya rais Samia itavunja na kupangua Baraza la Mawaziri Kwa mjibu wa Samia kuna watendaji ni wabovu ndani ya Serikali yake. NB: Watu wataanza kwenda kwa sangoma 😀😀😀!
  16. K

    JamiiForums Tanzania Kazi za Rais na Mawaziri wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni zipi?

    Kwa wale wabobezi wa jinsi Serikali ya JMT inavyofanya kazi mnaweza kutusaidia kutuelezea job descriptions za Rais na Mawaziri wake. Na ikiwapendeza mnaweza kuongezea na zile za Wakuu wa Mikoa na Wilaya zetu. Nauliza hivi ili tusiyojua, tujue ni nani tumpongeze au tumlaumu punde viongozi hawa...
  17. saidoo25

    JamiiForums Tanzania Mawaziri waliotia fora kumuangusha Rais Samia 2022 hawa hapa

    Mwaka 2022 unakaribia kumalizika huku wananchi wengi wakilalamikia sana utendaji wa baadhi ya mawaziri ambao wamepewa dhamana na Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan. Kwa mwaka 2022 Mawaziri walioongoza kutajwa kwa uwajibikaji hafifu na kulalamikiwa na wananchi ni wafuatao 1. Patrobas Katambi-...
  18. saidoo25

    JamiiForums Tanzania Kamati Kuu CCM wachukulieni hatua hawa Mawaziri, wanakichafua chama

    Chama cha Mapinduzi (CCM) ni chama kinachoshika dola na kinaundwa kuanzia ngazi ya Shina, Tawi, Kata, Wilaya, Mkoa hadi Taifa lakini jambo la kusikitisha sana licha ya Wanachama wake wawili Mwigulu Nchemba na Januari Makamba kumpa taarifa za uongo Mh Rais wetu ambaye ni Mwenyekiti wa CCM na...
  19. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Nimeoteshwa Baraza la Mawiziri linaenda kufanyiwa mabadiliko kabla 2022 haijaisha

    Hatimae Ile hali tarajiwa miongoni wa wananchi na wapenzi wa siasa na maendeleo, baada ya kimya kirefu na subra kubwa, maombi, hamasa, matarajio, kiu yao, ya kuona witikio wa wito na utekelezaji wako, ngoja ngoja imelamba Chali na chereko chereko na simanzi zina taradadi. Mvua za vuli kama...
  20. The Supreme Conqueror

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ni dhaifu kulingana na mambo yanavyokwenda?

    Wakuu habari za mchana? Ni matumaini yangu kuwa mko poa,katika siku za hivi karibuni kumezuka mijadala kadhaa mitaani, katika mitandao na hata kimataifa kuwa uongozi wa Rais Samia umeghubikwa na sintofahamu nyingi hususan katika masuala muhimu na ya msingi yanayolenga maisha ya wananchi moja...
Back
Top Bottom