maumivu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Gambia: Dawa za kushusha homa na kutuliza maumivu zachunguzwa madai ya kusababisha vifo vya Watoto

    Serikali ya Gambia inachunguza iwapo vifo vya Watoto vilivyosababishwa na figo ndani ya miezi mitatu iliyopita kama vimesababishwa na dawa ya kushusha homa na kutuliza maumivu (paracetamol). Bado haijajulikana ni kampuni ipi ya dawa ya maumivu ambayo inaweza kuwa chanzo ambapo miili...
  2. Maleven

    JamiiForums Tanzania Maumivu ya ushabiki wa vita ya Urusi - Ukraine ni zaidi ya mpira

    Ni siku ya tatu tangu kuanza kwa counteroffensive attack katika mji wa kherson na leo wameanza na Kharkiv, kwa kweli mimi kama team Russia kuna muda hata kuingia Twitter naogopa mana upepo sio mzuri sana upande wetu. Wasiwasi wangu ni kua huenda NATO wameamua kupeleka jeshi kimya kimya mana...
  3. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Maumivu ni makali, Kwa mara nyingine Yanga wametupora tonge mdomoni kwa kumsajili Manzoki, Simba tunafeli wapi?

    Nguvu moja hatukatai, Lakini sasa kwa hali hii uongozi wa Simba mmeanza kutukatisha tamaa asiee, Ni kivipi deal ya Manzoki imebuma ?? ...... nimeanza kuamini hata maneno ambayo sipendi kuyaamini ya mitandaoni na vijiweni kwamba uongozi wamegeuza timu iendeshwe kibahili bahili kwa lengo la...
  4. Nobunaga

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mabadiliko ya Vifurushi yanakuja Tarehe 18.08.2022: Tutegemee unafuu au maumivu zaidi?

    Tarehe 18 mwezi huu kuna mabadiliko mapya ya vifurushi yatafanyika. Hiyo ni kwa mujibu wa jumbe za kampuni husiko walizotuma. Kikubwa tulichokuwa tunaumia watumia mabando ya kwenye simu ni kwa upande wa Internet Bundles ambazo zimekuwa zikishushwa kiwango kila kunapofanyika mabadiliko. Je, na...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Tukubali maumivu: Simba kuanzia michuano ya awali CAF champions league!

    Mwaka huu 2022/23 ni timu sita tu ndizo zitakazoanzia raundi ya kwanza kwenye mashindano ya CAF champions league. Timu hizo ni: 1. Al Ahly(misri) 2. TP Mazembe(DRC) 3. WAC(Morocco) 4. Raja(Morocco) 5. Mamelodi Sundowns(south africa) 6. EST(Tunisia). Hizo...
  6. Rammie Singh

    JamiiForums Tanzania Usikariri maisha ukianza tu kufanya maamuzi sahihi kutokana na maumivu yako wewe sio mwenzetu tena..

    Maisha ni magumu na yamejaa changamoto nyingi zisizotarajiwa Hata hivyo, unapaswa kujiuliza mambo yafuatayo: Kiasi gani cha mawazo na mvutano wa kifikra Unajisababisha bila sababu Kwa kujenga dhana Na kujikumbushia hofu na maumivu yaliyopita akilini mwako? Ni mara ngapi unakataa kuachilia...
  7. ReTHMI

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mtazamo usio na tija, maumivu yake ni majuto

    Nilikua nasoma kitabu, nikakuta sehemu muandishi anasema, mwanajeshi anaenda vitani sio kwa ajili ya kuua adui bali kwaajili ya kufia nchi yake. Likanijia wazo la ni kwanini mwanajeshi anaapa kufia nchi yake na sio kuishi kwaajili ya nchi yake (to survive for his/her country). Na je akifa vitani...
  8. kyagata

    JamiiForums Tanzania Hivi sisi waafrika ni binadamu kamili au bado tuko katika transition stage?

    Hivi sisi ni binadamu kamili kweli au bado tuko katika transition stage? Huko Uganda binadamu wanakulana wenyewe kwa wenyewe kama wanyama pori. Sikiliza clip hiyo hapo nimeiambatanisha.
  9. H

    JamiiForums Tanzania Mwanaume aliyeziacha familia kwenye maumivu

    Wakuu habari zenu, Iko hivi uko kwa Biden bana kuna jamaa aliyefahamika kwa jina la Richard Hoagland, ambaye alimuoa mwanamke aliyetambulika kwa jina Linda Iseler na walibahatika kupata watoto wawili wa kiume. Kwa kipindi chote cha maisha mambo yalikuwa poa kabisa na mahaba niue. Mnamo waka...
  10. ANT DRUGS

    JamiiForums Tanzania Baada tu ya mchezo kuisha jana wafuatao ndio wanapitia wakati mgumu

    Wakuu muwe salama msiwe salama hainihusu,kikubwa kwangu YANGA BINGWA. Baada tu ya mchezo kuisha jana wafuatao ndio wanapitia wakati mgumu (maumivu mazito)hapa JF÷ 1. GENTAMYCINE (Huyu ndo Kinrara wa kuteseka kwa msimu mzima),Alitamka zaidi maneno kama TAKUKURU,RUSHWA,UCHAWIkuliko neno MUNGU...
  11. E

    JamiiForums Tanzania Wadau wa Siasa toeni elimu juu ya maumivu tarajiwa ya bajeti 2022-2023

    Ukifuatilia mitandaoni na kwenye vyombo mbali mbali vya habari utaona watu/waandishi wa habari wengi (wenye weredi mdogo wa uchambuzi wa masuala ya bajeti) wakiandika na kusifia yale mema tu waliyoyaona kwenye bajeti ya mwaka huu (2022) vitu kama kuondoa/kusitisha ada za wanafunzi wa kidato cha...
  12. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kitu kizito kichwani: Kama mke wako ameajiriwa andika maumivu, tumeshamla

    Hi! Ngoja kwanza nianze kwa kucheka. Niko kwenye ofisi za umma yapata miaka 7 sasa. Dunia haiachi maajabu, anayelipwa mshahara yuko katika uhitaji wa pesa kuliko yule ambaye halipwi mshahara. Sasa hawa wanawake employed ambao wana MISHAHARA na huenda waume zao wana MISHAHARA au biashara kubwa...
  13. Mpwayungu Village

    JamiiForums Tanzania Sitosahau safari yangu ya Lindi iliyojaa maumivu na tabu nzito

    Tarehe 4 mwezi wa pili 2020 nikiwa katika msongo wa mzito wa mawazo yaliyotokana na ugumu wa maisha nilijikuta nafanya maamuzi magumu bila kutarajia. Nilikuwa nakaa gheto maeneo ya buguruni sheli japo gheto lilikuwa na mshikaji wangu ambae tulisoma nae primary mawenzi shule ya msingi iliyopo...
  14. Memtata

    JamiiForums Tanzania POMBE ‘Ganzi yenye maumivu’ (Safari yangu ya kuacha pombe)

    Kama ulishawahi kusoma nyuzi zangu mbili tatu hapa JamiiForum utagundua kabisa mimi ni cha pombe. Nikwambie tu mada zote nlizowahi kuzileta hapa ni za ukweli isipokuwa huwa nabadili kidogo maudhui ili kuepuka wazee wa kuunga dots, bado sijawa tayari kujiweka wazi mimi ni nani maana mengi ni ya...
  15. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Ni katiba mpya pekee itayoweza kuzuia ufisadi huu unaoenda kufanyika vinginevyo ni ni maumivu kwa taifa letu

    Lazima mapema iwezekanavyo tuwe na katiba mpya ambayo itaweza kumdhibiti na kumuawajibisha rais anayetumia madaraka vibaya. Rais ambaye anaweza kugeuza ikulu ni mahala pa biashara na kutumia mwanya huo kushirikiana na wajanja wachache kujitajirisha huku wananchi wakibaki na umasikini mkubwa...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Sasa yale maumivu ya kuachwa alama 13 yataanza kupenya taratiiibuu

    Nafikiri Simba kuondoshwa kwenye michuano lilikuwa ni suala la muda tu kwa sisi tunaoujua mpira kiufundi tulijua mapema kwamba mwisho wa Simba ni hapo wasingeweza kutoboa kwa namna yoyote vile, mchezo uliishia kwa mkapa kule ilikuwa wanakwenda kukamilisha ratiba tu. Sasa wanarudi kwenye ile...
  17. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Wanawake muelewe hili, wanaume wana maumivu pia, tena yenye huzuni karibu ya kifo

    WANAUME WANA MAUMIVU PIA Mwanamke mmoja aliniambia, 'Ilinichukua miaka kujua kwamba wanaume pia hulia. Nilimchukulia mume wangu kama binadamu bora. Ninamwona akitoka nyumbani kila siku na kurudi akitupa mahitaji yetu. Siku moja nikiwa nimetoka nyumbani na yeye alikuwa nyumbani, nilikumbuka...
  18. F

    JamiiForums Tanzania Maumivu ya mgongo sugu wa juu, mabegani na misuli shingo kukaza homa ya uti wa mgongo (Pneumonical Meningitis)

    MAUMIVU YA MGONGO SUGU WA JUU, MABEGANI NA MISULI SHINGO KUKAZA HOMA YA UTI WA MGONGO ( PNEUMONICAL MENINGITIS) Ndugu zangu wana jamii forum kwanza nikili kwamba huu ugonjwa ninao na ni hatari sana kimaisha kiujumla na unakatisha tamaa sana kiasi kwamba mpaka inafika hatua unaweza kuchukua...
  19. BigTall

    JamiiForums Tanzania Serikali: Kuna ongezeko la watu wenye homa, kukohoa, mafua, maumivu ya mwili

    Wizara ya Afya imebaini ongezeko la watu wenye dalili za homa, kukohoa, mafua, kubanwa kifua & maumivu ya mwili kuanzia Desemba 2021 hadi Machi 25, 2022, hali ambayo imekuwa ikitokea kwa miaka mitatu mfululizo. Wote wenye dalili hizo wametakiwa kwenda vituo vya afya kwa matibabu.
  20. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Kiume naye ni Binadamu kama wengine, acha kumkataza kulia anapokuwa na maumivu

    Mtoto wa kiume anakuwa na hisia kwa namna yeyote vile kama binaadamu wengine. Ni vile wewe mzazi unamsaidia mtoto wako kukua kwa namna ambayo utamsaidia na kumuongoza. Mtoto wa kiume anastahili kuogopa na hata kulia. Mzazi acha kumkataza mtoto wako wa kiume kulia maana tuna tabia ya kuwaambia...
Back
Top Bottom