Habarini za asubuhi bandugu zanguni hapa katika jukwaa poleni na mvua za Jana haswa maeneo ya jiji la Dar es salaam twende kwenye mada.
Jana ndio siku rasmi niliyoachwa na mwanamke aliyenipenda sana hakika haikuwa siku nzuri sana kwangu mpaka sasa nimehuzunika sana. Ilikuwa ni hivi kuna binti...
Shujaa wa dunia ameondoka kiajabuajabu. Hata kama alikuwa na ugonjwa huo kwa miaka kumi lakini mbona imekuwa kiajabu? Mungu ndie kila kitu na akiamua kumchukua mtu hakuna wa kuzuia.
Lakini mbona alikuwa akipiga pushup kama hata matatizo yoyote? Mbona alikuwa anasafiri kwa gari umbali mkubwa...
Nawasalimu wadau wa JamiiForums,
Kwanza nitoe pole na kwa masikitiko makubwa kwa wananchi wa Tanzania pamoja na familia yake kutokana na kifo cha raisi wa awamu ya nne hayati John Pombe Magufuli na pia bila kumsahau aliyekuwa Makamu wa kwanza wa Rais Zanzibar hayati Maalim Seif.
Pili: niombe...
Wakuu Habari za mida.
Mimi Nina umri wa miaka 31 nimekua nikiambulia na tatizo la maumivu ya kifua upande wa kushoto. Maumivu hayo pia nayapata kwenye mkono wa kushoto wakati mwingine mkono wa kulia. Inafikia muda shingo inakua inauma muda mwingine inakua kama inakakamaa dizain kama nimekabwa...
Kuna dem alikuwa ananikubali mbaya na kazi zake anafanyia jirani na napoishi nikamuaproach dem akakubali na ni pisi kali sio poa, mwanzo alikuwa anapenda sana kuniita ofisini kila saa mara njoo nikuone usipoenda bac ananuna na vile vile anajua madem wa hapa home wananipenda mno nikaona niwe...
Kuna wakati nakosa majibu lakini pia kuna wakati kuna huwa ninawashangaa unakuta mtu kaachwa lakini bado analazimisha urafiki Ex wake ambaye amemuumiza na kumkosesha raha lakini bado anamfuatilia.
Inafika wakati Ex wake anampiga mizinga hatari halafu anachokipata anahonga mpenzi wake mpya...
1.Hatua ya kwanza piga moyo konde kukubali matokeo kila lenye mwanzo Lina mwisho huyo sio wako tena.
2.hatua ya pili futa kumbukumbu zote kuhusu yeye ikiwemo namba za simu picha Meseji n.k ili kuepuka mazingira ya kumfatilia.
2.hatua ya tatu epuka kusimulia watu wako wa karibu kama umeachwa we...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.