Baada tu ya mchezo kuisha jana wafuatao ndio wanapitia wakati mgumu

KAGAMEE

JF-Expert Member
Dec 20, 2013
3,882
4,511
Wakuu muwe salama msiwe salama hainihusu,kikubwa kwangu YANGA BINGWA.

Baada tu ya mchezo kuisha jana wafuatao ndio wanapitia wakati mgumu (maumivu mazito)hapa JF÷

1. GENTAMYCINE (Huyu ndo Kinrara wa kuteseka kwa msimu mzima),Alitamka zaidi maneno kama TAKUKURU,RUSHWA,UCHAWIkuliko neno MUNGU ndani ya Msimu mzma.

2. Mshana Jr

3. okwi Boban

4. Buibui

SABABU ZA MAUMIVU YAO

1.Over expectations kwa timu Lao la MAKOLO

2.Mayele kuendelea kutetema na mpaka sasa kuongoza ufungaji bora

3.Kero za Bugatti (Mdomo uliowapa raha na mbinu za ubingwa kwa zaidi ya misimu minne).

3.Sajili za kimchongo na za kitoto zinazoendelea pale UKOLOKOLONI.

Wengine jitajeni kabla sijaleta BAND kutoka Congo.
 
giphy.gif

Acha undezi
 
Yanga msitambe Sana ,kiukweli mna timu ya kawaida Sana na mkifanya ujinga wa kujiamin eti tuna timu nzur mkaacha kusajir mnatolewa mapema tu.

Pamoja na Simba kuwa na kikosi Cha wastan kwa msimu wangekua serious na mechi za mwanzon na kufanya kila mechi ni ya muhimu leo hii yangekua mengine.

Yanga mmebeba ubingwa kwa uzembe wa Simba na kuishi kwa mazoea .
Rejea mechi alizopoteza Simba na kudraw ndipo utaelewa ninachosema.

Simba wangekua serious na kujituma km ambavyo yanga walikua wanaona ni fainal kila anapokutana na timu yeyote mpaka saiz Simba na yanga wangekua wanazidiana magoli Kama sio point moja na bingwa angekuja patikana Hadi mechi ya mwisho.

Lakin ni jambo jema unapolala mwenzio anakuwahi ndicho kilichitokea na itawapa umakin Hawa Simba kutodharau mechi yoyote ile iliyo mbele yao.

Narudia Tena Simba na yanga wana vikosi vya kawaida hasa kimataifa atakayesajil vzr ndie ataonekana Ila kwa upande wa yanga kuwategemea Fei,aucho,moloko,djuma ,mwamnyeto big no.
 
Unateseka ukiwa wapi?
 
Ile kambi ya wazee nayo ulikuwa unategemea lolote kutoka kwa hao wazee?
 
Basi simba ndio bingwa.
Turahisishe mambo
 
Unataka kusema Simba walikuw wanacheza kwa utani utani mwanzoni mwa ligi?? UNA AKILI SAWASAWA??
 
Sasa mlishindwa nini kuwa serious!! Maneno ya wakosaji.
 
Back
Top Bottom