Usimwamin mwanamke wko hata kama ameishika dini maumivu niliopata leo sitayasahau kamwe

renamaizo

JF-Expert Member
Oct 17, 2014
2,032
2,887
habar wadau !!! leo nimeachana rasmi na msichana niliedumu nae kwa miaka mitatu ni mlokole na ameishika din kweli kweli yaan ni kila siku jpili ni lazima aende church na siku za kati ya wiki anaenda mkesha misa za usiku mapenzi yetu yalitawqliwa na utata mwing mno km kudo ilikuwa ngumu sn na yote qkidai kuwa hatak kwenda gest na pia anataka tuoane

kwa kipimd kile anayadai hayo nilikuwa naish na ndugu yngu wa kiume ivo ilikuwa ngumu yy kuja kulala pale ninapokaa nq aliweka mkazo nikqpange na aliweka waz kuwa nikqpange na anataka tuoane tuwe na familia na sababu yq yy kunipangia siku za kuonana ni hilo la kuoana na gest ki ukweli ni story ndefu kidogo apo maana hata huko gest siku moja moja tulizokuwa tunaenda ilikuwa kunq tokea vurugu kuna wakat nakuwa cjaridhika yy anasema basi anaondoka imetosha kuna wakati analia kabisa na kudai tumbo linamuuma na kuna watu ananisukuma na kuna mda anajaza mate mdomon na kunq mda anayatema baada ya kukiss tukienda bafuni kuoga ananisukuma yani tusioge karibu karibu tuoge mbali mbali na hayo yanatokea kila mara tutakayoenda gest ni stori ndefu kidogo lkn in short ni kwamba almost kwa mwez tulikuwa tunakutana once na baada ya kumuomba sex sana

Mara zote yy alidai hapendi gest nipqnge ayo mambo yataisha tuligombana sn tunapatana sasa last mouth mwezi ule wa sensa nikawaambia mdau wngu kuwa kila mtu akatafute room yke kwa sasa na tukakubaliana kila mmoja aish kivyake ajitegemee mpango wa kushare kodi hamna tena na maswala ya geto yakaishia pale

Mimi nikatafuta zngu room mahali pengine nikapanga nilipopanga tu gafla tu yule dada alianza visa nikimpigia simu hapokei sms hajibu na baadh ya namba kablock kabisa nikaongea na da yke anaeish nae akasema ataongea nae lkn haikuzaa matunda baada ya km wiki 2 za kumtafuta sinu yke ikiwa hapokei nilimtumia sms TUACHANE sasa cha ajabu baada ya kutuma tu ile sms ilijibiwa ivi kuwa chanzo cha yeye kukaa kimya ni kwa sababu anataka ndoa na kwa kipind hko nilikuwa tayar nimepanga mwez mzima naish peke angu na hii nimefuata ushauri wke na yy hajawah hata kukanyaga

nikamjibu kuwa yy analiliaje ndoa mbayo yy haipiganii karibu sherehe nying huwq naenda na yy na mara zote ni yy tu yaan baba na mama na ndugu wanamjua na kuna story fupi kidogo kwenye hzo sherehe alikuwa akigundua mama upo tu lazima aomdoke nikimuuliza sababu ya yeye kukimbia anasema mama ni mtu wa heshima sn inabid akutane nae nyumban na sio kwenye sherehe
apo tuligombana pia kwamba mama sio MUNGU msalimie tu yaishe ili ata siku akijua naoa ajue ni ww japo haikuwah kutokea na naweza kucomclude kwamba hakuwah ongea na mama hata siku moja baba aliwah onhea nae mara moja tu basi

Mapenzi yetu yaligubikwa na wingu kubwa ambalo kabla mwaka huu haujaisha nilipanga tuoane ndugu zake namjua mmoja tu dada ake mkubwa ambae ndo anaish nae wamepanga room moja yy ana saloon na dada ake anashona nguo na aliniweka waz kuwa huku mjin hana ndugu wengi ndugu zke weng wapo kijijin na mama ake upo uko apa mjin aliletwa na dada yke ambae undugu uko mbali kidogo kuja kufanya kaz za saloon uyo dada ake ndo ni km.mama yke apa mjim anaishi nae toka 2016 na amemsaidia kaz nying amemlea km mwanae

mwaka 2016 kipindi nakutana nae 1st time aliniomba pesa akafungue saloon nikqmkatalia nilijua hayo ndo yale mapenzi ya mjin ukimwaga tu mpunga huna chako japo msaada mdogo mdogo km na pesa km chakula mavazi simu nilimnunulia na kuna siri zngu za biashara nilimpa lengo langu sikutaka ateseke nilitaka awe free aish maisha mazur lkn sasa najuta maana nilimwamin sn kiasi kuwa naweza semq hakuna mwanamke alifikia pale na nimewakataa wengi sana kipimdi nipo nae ata wale walikuwa na mm walipoona siwapi priority na sina mpango nao walisepa mmoja ni mwanafunzi anasoma CBG ni mchaga tuliachana na sasa ana mtoto mwengine anaitwa gift saiz hata sms.zngu hajibu kuna mwingine anaitwa basia nae namba yke haipatikan ni wengi kwa kweli niliowapuuza kipimdi nipo nae nikisema niwataje apa sitowamaliza kuna mwingine nae anaitwa rapahaela kanipuuza kabisa na baadh ya girls washaniblock siwez walaumu sababu kipindi nipo nahuyu dada niliwatesa wengi sikuwajali hata

sasa baada ya my love of all time kupigilia msumar kuwa anataka ndoq nilimpigia simu mwezi huo akiwa hajakanyaga kwangu nimuulizq kuwa dada ako ambae ni km mama yko apa dar na ndugu zako wanajua mahusiano yetu akasema ndio nikamwambia anielekeze anapoishi akaniuliza unataka kwenda nikamwambia ww nielekeze tu akaniambia usijali ntakuelekeza na apo nshawaepeza ndugu na wazazi kuwa nataka nioe mwaka huu ajabu hakunitafuta kunielekeza uyo dada ake anapoish na nilipopiga nikagundua kuwa namba zangu kaziblock zote na usiku huo niliota ndoto tata sana nikampigia kwa namba yngu extra mbal na zile alizofunga ikapokelewa lkn iliposikia ni mm hakujibu kitu na nikapokea sms hii
 

Attachments

  • Screenshot_20220921-084421_Gallery.jpg
    Screenshot_20220921-084421_Gallery.jpg
    101.2 KB · Views: 15
  • Screenshot_20220921-090019_Gallery.jpg
    Screenshot_20220921-090019_Gallery.jpg
    405.5 KB · Views: 15

Santana

JF-Expert Member
Apr 23, 2019
226
370
Umefanya maamuzi sahihi japo ulichelewa pisi za kilokole au zilizoshika dini sana kaa nazo mbali Kama hausali nazo kanisa moja, mtasumbuana tu. Huyo ungemuoa ungejutia maisha yako yote
 

let the caged bird sings

JF-Expert Member
Sep 19, 2020
1,875
4,270
Kinachonifurahisha hujamuoa huyo binti. Yaani kwa kifupi ulikuwa umeyakanyaga mkuu.

Siku zote mimi naamini mwanamke wa kumuoa ni yule anayekupenda. Sema mkuu una bidii sana sasa ongeza bidii kwenye kazi/biashara zako.
Kuna wakati unakutana na mtu anakupenda genuinely but we hisia zako ziko mbali nae kabisa.. Haya mambo yana work in mysterious ways.
 

Fotini

Member
Oct 17, 2021
40
68
Poule Sana Kaka ... Jifunze kubeba funzo katika mateso .. naamini umejifunza kitu

Pia.. nasisitiza siku nyingine ukipokea text ya kuachwa au umeachwa usijibu narudi usijibuuu nasisitiza usijibu... Soma text Kisha tulia ... Elewa imefika mwisho endelea na maisha.. usijibu kitu. Wala kujieleza

Muache..

Funzo.
1.Usiache mtu kwa ajili ya mtu
2.Usiamini mtu ... Kaa kwa taahadhar
3.Mapenzi huisha.
4.Jijenge kiuchumi na kiafya
5.usifanye jambo kwa msukumo wa hisia
6.Ishi na wanawake wa akili sio hisia


Kila kheri kwa utaepata.. yajayo yanafurahisha
 

Plan Master

JF-Expert Member
Jan 1, 2021
1,093
1,699
Songa mbele acha kulialia mshukuru Mungu huwenda umeepushiwa balaa kubwa,simama kiume usiyumbishwe na mtu ulokutana naye ukubwani. Tena huna hata mtoto naye.
 

NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

JF-Expert Member
Oct 29, 2019
5,103
8,975
Ulokole ni ulevi mbaya Sana !na huo ulevi huvunja moyo Sana!!!

Lazima wahubiri wafundishe KUTUMIA akili na SIO imani PEKEE BILA akili!!
 
2 Reactions
Reply
Top Bottom