maumivu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Santana

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu haya maumivu ya kichwa

    Habari za asubuhi Wana JF natumaini wengi ni wazima wa afya wengine tunachangamoto ndogondogo za kiafya .Ngoja niende moja kwa moja kwenye shida yangu. Toka jumamosi jioni nahisi maumivu ya kichwa kwa upande wa juu apa na pembeni na kama nikiinama kwa mbele ivi Hali ndo inabizidi kuwa mbaya...
  2. Frustration

    JamiiForums Tanzania Dada yangu anasumbuliwa na kubanwa na pumzi na maumivu ya mbavu au mgongo

    Habari wanajukwaa hili la Afya. Nina dada ambaye anasumbuliwa sana na hali ya kubanwa na pumzi na kushindwa kuongea. Mara ya kwanza alinitumia sms kuwa halu yake ni mbaya anashindwa kupumua na anahisi kunakitu kinatembea toka kifuani hadi mgongoni. Hali hii ilikuja kutulia baada ya nusu saa. Leo...
  3. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Nyerere alikurupuka kuleta mfumo wa Muungano ambao haupo sehemu yoyote Duniani, na hakuna nchi itakayojaribu kuiga

    Yeye ndie alieanzisha kitu hiki ambacho hakipo duniani nchi yoyote ile zaidi ya hapa kwetu. Haiingii akilini vya upande A ni vya upande B lakini vya upande B si vya upande A, Very bitter. Tukiendelea na huu mfumo, basi mateso haya tinayopitia yatakuwa mara 10 zaidi ya hapa miaka ijayo na ndio...
  4. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Mate ya Binadamu huondoa maumivu

    Labda nikwambie tu kama ulikuwa hujui; Mate ya binadamu Yamebeba ndani yake kemikali inayoondoa maumivu(painkillers) inayoitwa Opiorphin, ambayo inanguvu mara 6 zaidi kuliko Morphine au Panado. "Kwahiyo ndugu zangu maumivu yakizidi sio hadi umwone daktari au dawa 3 bali mfate bebi wako...
  5. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Algophobia: Hali ya kuwa na hofu isiyo ya kawaida kuhusu Maumivu ya Mwili (Mf. Kuchomwa Sindano)

    Ni hofu kali/isiyo ya kawaida kuhusu Maumivu ya Kimwili. Ingawa hakuna Mtu anayetaka kupata maumivu, walio na phobia hii wana hisia kali za hofu wakiwaza kuhusu Maumivu (Mf. kuchomwa Sindano) Huweza kuwaathiri zaidi Watu ambao wamepitia Maumivu makali ikiwemo Wagonjwa wa Saratani, wenye Maumivu...
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tusiofanya mazoezi kabisa na kubobea tu kwa 'Kitu cha Mkongo' na 'Mundende' nadhani Taarifa hii itakuwa na Maumivu Kwetu

    Asilimia 65 wanawake wanapenda wanaume wenye kufanya Mazoezi ya mwili, Hizi ni takwimu za mwaka 2021 kutoka chuo cha Mazoezi ya mwili kinachoitwa Brown fitness center kilichopo nchi Marekani. Chanzo: marathonioverstz Kwa hili Kudadadeki tutaanza Kupigana Vikumbo sana huko Gym na katika Fukwe...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Tujiandae kwa maumivu gani tena waungwana!?

    Inavyo onekana huu ni mwaka wa watanzania kukinywea kikombe cha mateso hii ni kama series Tulianza na TOZO ikapoa, ikaja ONDOA MACHINGA kabla haijapoa, MGAO WA UMEME, tukiwa tunashangaa umeme, MGAO WA MAJI nao ndani, tukiwa bado tumeduwaa mara paap PETROLI BEI JUU, hiyo haikutosha VIFAA VYA...
  8. Niache Nteseke

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna uhusiano gani kati ya Pombe na Maumivu ya Mwili kupungua?

    Heshima kwenu wakuu.. Aisee, jino lilikuwa linauma jioni hii kupita maelezo, nikarudi zangu home kuna K Vanga kubwa ilibaki jana kwenye mwanamke nyonga nikasema ngoja niikate taratiiiiibu, baada ya kugonga K Vanga nashangaa maumivu ya jino yameisha kabisa wakuu. Hivi, Kuna Uhusiano Gani Kati...
  9. Melancholic

    JamiiForums Tanzania Nasumbuliwa na maumivu ya mguu

    Habarini za wakati huu wakuu. Kwanza tumshukuru Mungu kwa kutuamsha salama. Pili niende moja kwa moja kwenye mada, binafsi huwa nina kawaida ya kufanya mazoezi kila asubuhi ikiwemo joging na mazoezi mengine ya viungo. Pia huwa ninapenda sana kukimbia mara nyingi huwa natoka kijito nyama mpaka...
  10. Superbug

    JamiiForums Tanzania Maisha yamebadilika. Usikubali maumivu

    Life is too short and beautiful. Usikubali maumivu . Maumivu kwenye maisha huleta stress na kifo Cha ghafla hususan kwenye umri mkubwa.
  11. makilo

    JamiiForums Tanzania Kipigo cha Simba SC ni maumivu kwa Yanga

    Wakuu kwema? Kuna Jambo linaendelea kwenye mitandao yakijamii kuhusu kupoteza kwa mchezo wa Simba taifa. (kwa mkapa hatoki mtu). Wakuu kwa wanasimba wenye Bongo timamu wanatambua tunapitia kipindi cha mpito. Hasa baada yakufanya usajili mpya kwa wachezaji zaidi ya wa 4 wapya. Timu bado...
  12. C

    JamiiForums Tanzania Maumivu makubwa: Halotel pia wametoa huduma hii muhimu

    Kikawaida halotel lets say umeweka gb 1 ya week uka top up tena in 3 days inajazia kifurushi cha kwanza kama kilikuwa hakijaisha na siku ya ku expire inasogea mbele, jamaa wamekitoa. Hivi hizi vurugu zote ni kodi au kukomoa watu watoke online?
  13. mchakavumlasana

    JamiiForums Tanzania Wanawake, mnaponyaje maumivu ya kusalitiwa na wenza wenu?

    Habari za jioni. Swali kwa Wanawake, mnawezaje kupona maumivu ya usaliti? Mnawezaje kurudisha ule upendo ulioisha mioyoni mwenu? Umeolewa, mna zaidi ya miaka 15, jamaa matukio ya hapa na pale, zaidi akaanza dharau. Mnasuluhisha maisha yanaendelea ila sasa anakuwa amekutoka tu rohoni...
  14. Bonnie99

    JamiiForums Tanzania SoC01 Maumivu ni chanzo cha mafanikio yako

    Katika maisha kuna changamoto nyingi sana ambazo zinakuja katika maisha ya mwanadamu ili kukupa uwezo kamili wa kusonga mbele ili kuzifikia ndoto zako Lakini kuna wakati ambao changamoto hizi hufikia hatua ya kukupa maumivu makali sana pale ambapo unaona zinasababishwa na watu wa karibu ambao...
  15. J

    JamiiForums Tanzania WHO: Usitumie dawa za maumivu (painkillers) kabla ya kupata Chanjo ya COVID-19

    Je, unatumia dawa za kupunguza maumivu kabla ya chanjo ili kuepusha athari (side effects) zake? Shirika la Afya Duniani (WHO) linaonya kuwa inaweza kupunguza ufanisi wa chanjo. WHO inasema kuwa athari za kawaida za chanjo kama vile maumivu ya kichwa na uchovu mara nyingi hutokea kwa kiasi...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Maumivu wakati wa tendo la ndoa

    Nasumbuliwa na tatizo la kuwahi kufika kileleni kwa haraka sana pamoja na uume kuwa mlegevu. Baada kuhangika sana madawa ya kila aina nikaamua kujaribu hii dawa wanaiita vumbi la congo, Kwa kweli haikuleta majibu mazuri. Ila nimeweza kupata matokea haya matatu kwa mida tofauti. Mda mwengine...
  17. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Jinsi Watanzania tunavyoumia huku tukitanguliza Utani

    Moja ya vitu vinavyo wapa Watawala nguvu ni kuona utani wa wabongo, Mambo serious tuna weka utani sana mbele. Ilitangulizwa makato ya kupokea na kutoa pesa, Utani ukawa mwingi sana Mtaani kama vile; Mbele kwa mbele, Mama anaupiga Mwingi, tuko Burundi, tunaisoma namba wote, Kazi eendelee na...
  18. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Maumivu Yasiyo kwisha (Endless Pain)

    MAUMIVU YASIYO KWISHA(ENDLESS PAIN)...!! . Sehemu ya kwanza. . Mwaka 2016 ilikuwa ni mara yangu ya kwanza kuingia chuoni, ilikua katika chuo cha kimataifa cha Kampala. Naikumbuka siku yangu ya kwanza nilikua naonekana mnyonge sana, hasa kutokana na ugeni wangu na kila mmoja ndani ya darasa...
  19. BAK

    JamiiForums Tanzania Tozo mpya 17, mwendelezo wa maumivu kwa Mtanzania

  20. K

    JamiiForums Tanzania SoC01 Watanzania na maumivu ya tozo za miamala

    Tanzania ni taifa lenye watu wa hali mbali mbali, wengi wao wakiwa ni wavuja jasho, walala hoi, kula kwao ni kwa mahangaiko, wanachokipata kwa siku huishia mdomoni mwao huku walio juu hawakumbuki hisani ya wanaowazunguuka na wakiziba masikio yao kunenepesha matumbo yao na familiya zao tu. Watu...
Back
Top Bottom