mauaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Singida: Taarifa kuhusu Mauaji ya Wazee kwa imani za Kishirikina

    31 Machi, 2022, Dodoma Nimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya mauaji ya wazee watatu (Agnes Msengi miaka 84, Windila Saidi miaka 80 na Winfrida Gigila miaka 80) waliouwawa kwa kuchomwa moto na wanakijiji wenzao kwa kile kinachodaiwa kuwa wamekuwa wakishiriki vitendo vya kishirikina...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi Jiji la Dodoma mjitathimini, mauaji kata ya Ihumwa na Mtumba yamezidi

    Ni muda mrefu sasa tangu mwaka Jana mpaka mpaka Sasa hivi.Hali ya amani sio shwari Kwa wakazi wa ihumwa , mtumba na mahoma. Jinsia ya kike mabinti na akina mama ndio wahanga wakubwa wa mauaji haya. Jua likizama tu akina dada na mama zetu inawalazimu kubakia ndani kama wafungwa hata dukani au...
  3. Hero

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mzozo wa Ukraine: Julius Malema ataka Waafrika kuungana na Urusi

    Huyu malema sasa amekiwasha kweli kweli na sijui itakuwaje, ila ki msingi ameyasema yaliyomo moyoni mwangu japo kuwa sifurahii kabisa masahibu wanayoyapata wa 'Ukraine' kwa ujuha wa rais wao!
  4. BigTall

    JamiiForums Tanzania Mtwara: Kamati ya Uchunguzi matukio ya mauaji yadai kubaini Polisi walimpora fedha mfanyabiashara wa madini

    Taarifa ya Kamati ya uchunguzi wa matukio ya mauaji yanayodaiwa kufanywa na baadhi ya askari mkoani Mtwara inadaiwa kubaini Jeshi la polisi lilishindwa kuteleza wajibu wake wa kulinda usalama wa Raia na mali zake badala yake likageuka kumpora fedha mfanyabiashara wa madini. Pia soma - Mtwara...
  5. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Polisi wamsaka Baba kwa tuhuma za mauaji ya mwanae

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linamtafuta mzazi anayefahamika kwa jina la Daniel Muga, Mnyaturu ambaye ni fundi ujenzi, mkazi wa Bombambili Ukonga Wilaya ya Ilala kwa tuhuma za kumuua mtoto wake wa miaka mitatu kwa kumpiga na kitu kizito kichwani. Kamanda wa Polisi Kanda Maalum...
  6. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Kamati inayochunguza mauaji yaongezewa siku 7, ni yale ya Mtwara, Tanga

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameridhia kuongeza muda wa siku saba kwa kamati maalum iliyopewa jukumu la kuchunguza mauaji yaliyofanyika Mtwara na Kilindi, Tanga. Kamati hiyo iliyoanza kazi Februari 4, 2022 ilipaswa kukamilisha ripoti yake ndani ya siku 14, zilizoishia Februari 17, 2022, lakini...
  7. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Auawa na Binamu yake kwa kukatwa mapanga, sababu ikidaiwa ni ugomvi wa wazazi baina ya muuaji na marehemu

    Mwanafunzi wa darasa la 7 Shule ya Msingi Mwenge, Manispaa ya Morogoro, Faidhati Ibrahim (13) ameuawa kwa kukatwa na mapanga na kaka yake ambaye ni binamu anayetambulika kwa jina la Shomari Malima akiwa katika nyumbani kwao mtaa wa Tambukareli Kata ya Kingolwila. Sababu ya mauaji hayo imetajwa...
  8. U

    JamiiForums Tanzania Mauaji ya bodaboda Mtwara, Polisi mmeshindwa kazi?

    Kumekuwepo taarifa ya matukio ya mauaji ya bodaboda mkoa wa Mtwara zaidi ya watano mwaka huu. Bodaboda hao wanauawa kisha wanaporwa pikipiki zao. Maiti za bodaboda hizi zimekuwa zikiokotwa maeneo tofauti baada ya kuporwa pikipiki. Matukio ya mauaji ya bodaboda yamekuwa ya kawaida huku Polisi...
  9. John Haramba

    JamiiForums Tanzania TABORA: Watu 9 wakamatwa kwa tuhuma za mauaji na kuuza viungo vya binadamu, damu ya mtu inauzwa Tsh 600,000

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Tabora limekamata mtandao wa watu 9 ambao wametajwa kuhusika na tuhuma za mauaji pamoja na kuendesha biashara ya mauziano ya viungo mbalimbali vya sehemu ya mwili wa binadamu. Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Tabora, ACP. RICHARD ABWAO amesema mtandao huo umekamatwa...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri: Mauaji yanayotokea nchini ni fedheha kwa taifa. Naagiza Polisi wayadhibiti

    Naibu waziri wa mambo ya ndani mh Jumanne Sigini amesema auwaji yanayoendelea nchini ni fedheha kwa taifa na amewataka askari polisi na vyombo vingine vya dola wayakomeshe. Aidha naibu waziri amesema serikali haihusiku na matukio ya moto yaliyotokea mfululizo hususani kwenye masoko na kwamba...
  11. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Njombe: Akamatwa akituhumiwa kumuua Katibu wa Baraza la Walei Kanisa la Roman Katoliki

    Polisi Mkoani Njombe wamemkamata Daniel Mwilango kwa tuhuma za mauaji ya Nickson Myamba (48) aliyekuwa Katibu wa Baraza la Walei Kanisa la Roman Katoliki Kigango cha Parokia ya Makambako yaliyotokea February 08, 2022, Mwilango amekamatwa Wilayani Mvomero, Morogoro. RPC wa Njombe, Hamis Issa...
  12. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Waziri Masauni: Matukio ya mauaji nchini yananinyima usingizi

    Picha: Mhandisi Hamad Masauni Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhandisi Hamad Masauni, amesema tangu ateuliwe kuongoza Wizara hiyo yapo mambo mawili yanayomnyima usingizi ikiwemo mauaji yanayotekelezwa na baadhi ya watu kwenye jamii pamoja na baadhi ya askari kufanya vitendo kinyume na maadili...
  13. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mauaji ya Kanisani, jina la Katekista latajwa, AKIMBIA, asakwa na Polisi

    Kufuatia mauaji ya Nickson Myamba ambaye alikuwa ni Katibu wa Baraza la Walei Kigango cha Makambako, Jimbo la Njombe, Februari 7, 2022 kisha kudaiwa mwili wake kutenganishwa kichwa na kiwiliwili, bado kuna hali ya sintofahamu kuhusu tukio hilo. Tayari Jeshi la Polisi la Njombe kupitia kwa RPC...
  14. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Makambako: Katibu wa Baraza la Walei auawa ndani ya eneo la Kanisa Katoliki, kichwa chatenganishwa na kiwiliwili

    Nickson Myamba ambaye ni katibu wa baraza la walei kigango cha Makambako, jimbo la Njombe, amekutwa ameuawa kwa kutenganishwa kichwa na kiwiliwili chake ndani ya Kanisa Kuu Katoliki la Parokia ya Makambako usiku wa Februari 7, 2022. === KIONGOZI WA KANISA AKUTWA AMEUAWA KANISANI, KICHWA...
  15. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Uhuru ana la kujifunza kuhusu namna Rais Samia alishughulkia mauaji yanayofanywa na Polisi Tanzania

    Rais Samia bila kumumunya maneno amelishambulia jeshi la polisi kwa mauaji Tanzania na kusema lenyewe haliwezi kujichunguza, ameagiza iundwe tume huru pembeni iwachunguze hao mapolisi. Wakenya tuna la kuiga hapa, haya mambo ya polisi kufanya mauaji halafu wanalindana kwenye uchunguzi yataisha
  16. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Arusha, amuua kaka yake kwa kisu baba yake akishuhudia

    Kijana James mwenye umri wa miaka 16 anatuhumiwa kumuua kaka yake anaitwa Zakayo huku baba mzazi akikiri kushindwa kuwaamua ndugu hao wawili waliokuwa wakigombana kisa mifugo. Mimi naitwa Paulo Sindio, ni baba mzazi wa watoto hao, walianza kugombana mbele yangu kisa kikiwa ni uswagaji wa mifugo...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa wa Mtwara kwa nafasi ya Mwenyekiti Kamati ya Ulinzi na Usalama anaweza akaathirika na kauli ya Mhe. Rais kuhusu mauaji ya Polisi Mtwara?

    Taarifa ya kutoonekana kwa mfanyabishara aliyekuja kubainika kuwa ameuawa ilichukua muda mrefu Sana. Ndugu kwa maelezo Yao walifuatilia suala la ndugu yao ngazi tofauti. Zipo kamati mbili ambazo ni muhimu sana kuwa na updates za matukio yanayotokea. Kamati ya Ulinzi na Usalama Wilaya Mtwara...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amuagiza IGP Sirro kuwasimamisha kazi Mabosi wa Polisi Mtwara na Kilindi kupisha uchunguzi wa mauaji

    Waziri Mkuu mh Majaliwa amemuagiza IGP Sirro kuwasimamisha kazi RPC na RCO wa Mtwara na OCD na OCID wa Kilindi Tanga ili kupisha uchunguzi wa Tume aliyoiunda. Pia, Waziri Mkuu Mkuu Kassim Majaliwa ameunda timu maalum ya watu 9 yenye watu kutoka ofisi mbalimbali za serikali ambayo imepewa...
  19. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Haiwezekani jeshi lifanye mauaji na lijichunguze lenyewe

    Rais Samia Suluhu Hassan amezungumzia mauaji yaliyotokea Mtwara ambapo maafisa wa Jeshi la Polisi wanatuhumiwa kuhusika na mauaji ya mfanyabiashara Mussa Hamisi ambapo Jeshi limeunda kamati kuchunguza tukio hilo. Rais amesema haiwezekani Jeshi kutuhumiwa kisha liunde kamati ya kujichunguza...
  20. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wabongo kwa ushrikina bana! Jamaa wakamatwa wakioshwa na mganga baada ya mauaji

    Hizi ndio zile imani za Majimaji rebellion. Jamaa baada ya kufanya mauaji walikimbilia kwa mganga awazindike ili wasikamatwe, ila ndio kama hivyo.....uganga ukabuma. ======= Jeshi la Polisi jijini Mwanza linawashikilia watu tisa kwa tuhuma za mauaji ya mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu...
Back
Top Bottom