Meya Jackob akumbuka CCM ilivyowafadhili yeye na viongozi wa CHADEMA, akiwemo Mbowe, iliwahifadhi katika Ofisi zao wakati wa mauaji ya Akwilina

chiembe

JF-Expert Member
May 16, 2015
12,206
20,964
Ni mwendelezo wa mahaba ya wanachadema kwa uungwana na urahimu wa CCM.

Meya Boniphace katika ukurasa wake wa twitter ameonekana "kukunwa" na uungwana wa Wana CCM baada ya kupewa hifadhi wakati wanakimbia kipondo kikali na Cha haja kutoka kwa Polisi.

Meya Boniphace Jackob na Mbowe pamoja na timu nzima ya CDM iliyoingia barabarani kutaka kuvuruga amani na kuleta vita, ilipoumana na dola, Mbowe na viongozi wenzake walitoka nduki kwa spidi ya sauti na walienda kujihifadhi katika Ofisi za CCM huku wakitweta kwa hofu.

CCM itabaki kuwa chama Cha amani na chama kiongozi, hata wale wanaokishambulia wanakikimbilia pale wanapolemewa.

John Heche na yeye alijihifadhi katika maduka yaliyo katika Ofisi za CCM.

Long live CCM !

Screenshot_20220607-220837.jpg
Screenshot_20220607-213847.jpg
 
Chama Cha Mapinduzi kina wanachama wengi wema, waungwana na wenye utu.
Hata hivyo, kumekuwepo na kikundi kidogo cha wapuuzi, wenye tabia za kinyama ambao wanahitaji kuangaliwa kwa jicho la kipekee wasipewe uongozi.
Ikumbukwe kuwa wanyama wana nafasi kubwa ya kumsaidia binadamu (mtu), lakini hatakiwi kupewa nafasi ya mtu.
 
Maisha yapo hivi yule mwana ccm mwenzako dam dam anashabikia timu ambayo ww ndio wapinzani wako wakuuu , yule mpinza wa ccm ambae hutaki hata kumsikia jinsi anavyoiponda ccm upo nae ktk timu moja ya mpila , yule mpinzani wako kindaki ndani wa mpila ambae mkifungwa anakuukeeera mnakaa benchi moja kanisani au mnafungwa swala pamoja bega kwa bega msikitini, yule ambae ni dini tofauti na ww na anamijadala miiingi ya dini kuhusu dini yako na yake yeye ndio jirani yako wa kariiibu kiufupi maisha hayako sawa na usiweke uhasama wa mtu kwa jambo mfano dini , mpila , na mambo ya vyama
 
Ni mwendelezo wa mahaba ya wanachadema kwa uungwana na urahimu wa CCM.

Meya Boniphace katika ukurasa wake wa twitter ameonekana "kukunwa" na uungwana wa Wana CCM baada ya kupewa hifadhi wakati wanakimbia kipondo kikali na Cha haja kutoka kwa Polisi.

Meya Boniphace Jackob na Mbowe pamoja na timu nzima ya CDM iliyoingia barabarani kutaka kuvuruga amani na kuleta vita, ilipoumana na dola, Mbowe na viongozi wenzake walitoka nduki kwa spidi ya sauti na walienda kujihifadhi katika Ofisi za CCM huku wakitweta kwa hofu.

CCM itabaki kuwa chama Cha amani na chama kiongozi, hata wale wanaokishambulia wanakikimbilia pale wanapolemewa.

John Heche na yeye alijihifadhi katika maduka yaliyo katika Ofisi za CCM.

Long live CCM !

View attachment 2253631View attachment 2253620
Holy Crap
 
Hii nchi ilikuwa chini ya utawala wa shetani.

sio CCM wote wana roho mbaya, ila kiongozi wao mkuu anapokuwa na roho mbaya anaathiri sana
Sisi hatujawahi kuwa chini ya utawala wa shetani labda wewe peke yako. Walio chini ya utawala wa shetani ni kama yule jamaa yenu anayeshikishwa ukuta kule ubeleji, huyo ndiye yuko chini ya utawala wa shetani.
 
Ni mwendelezo wa mahaba ya wanachadema kwa uungwana na urahimu wa CCM.

Meya Boniphace katika ukurasa wake wa twitter ameonekana "kukunwa" na uungwana wa Wana CCM baada ya kupewa hifadhi wakati wanakimbia kipondo kikali na Cha haja kutoka kwa Polisi.

Meya Boniphace Jackob na Mbowe pamoja na timu nzima ya CDM iliyoingia barabarani kutaka kuvuruga amani na kuleta vita, ilipoumana na dola, Mbowe na viongozi wenzake walitoka nduki kwa spidi ya sauti na walienda kujihifadhi katika Ofisi za CCM huku wakitweta kwa hofu.

CCM itabaki kuwa chama Cha amani na chama kiongozi, hata wale wanaokishambulia wanakikimbilia pale wanapolemewa.

John Heche na yeye alijihifadhi katika maduka yaliyo katika Ofisi za CCM.

Long live CCM !

View attachment 2253631View attachment 2253620

Ukiondoa u CCM na u Chadema, Kuna u Tanzania na ubinadamu! Mke wangu ni CCM Damu, Ila uchi ananipa! Hatujafikia uadui huo!
 
Back
Top Bottom