mauaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. beth

    JamiiForums Tanzania Iran yataka Trump ashtakiwe kwa mauaji ya Jenerali Soleimani

    Rais Ebrahim Raisi amesema aliyekuwa Rais wa Marekani, Donald Trump anapaswa kuwajibishwa kwa nafasi yake katika mauaji ya Jenerali Qassem Soleimani yaliyotokea miaka miwili iliyopita, au Iran italipiza kisasi Raisi ametaka kuundwa Mahakama ya Haki ambayo Trump, aliyekuwa Waziri wa Mambo ya...
  2. wajingawatu

    JamiiForums Tanzania Kwa nini mauaji yamekua yakiongezeka siku hado siku?

    Kumekua na ongezeko la mauaji ya watu hasa nchini kenya na Tanzania siku za hivi karibuni. Tumezoea kusikia mauaji ya kinyama huko marekani, india na ulaya lakini si Africa Je, ni nini kinasababisha watu kuuana wenyewe kwa wenyewe na hii tabia inawezaje kukomeshwa?
  3. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Nini kilikuwa sababu ya kuuawa Dkt. Mvungi na Prof. Juani Mwaikusa?

    Watanzania tulivyo wasahaulifu hawa watu hatuwakumbuki kabisa. Na hatukumbuki kuwa walio waua watu hawa mpaka sasa hawajapatikana. Tunaendelea kusifu huku na kuponda kule. Yaani Halali au Haramu inategemeana imetendwa na nani. Mauaji ya watu kadhaa yamekuwa ni sehemu ya Utendaji wa watu flani...
  4. Jembe Jembe

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi Chuo cha Ufundi Arusha amuua mwenzake akimdai Tsh. 3000

    Mwanafunzi Ibrahim Shaaban wa Chuo cha Ufundi Arusha (ATC) anashikiliwa na polisi Mkoani Arusha Kwa kosa la kumuua mwenzake Evance Florian (17) katika ugomvi wa kudaiana sh, 3000. Kamanda wa polisi Mkoa hapa Justine Masejo amethibitisha tukio hilo na kudai kuwa mwili wa marehemu umehifadhiwa...
  5. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Watu watano wauawa wakati wa maandamano Sudan

    Watu watano wameuawa na wengine wengi kujeruhiwa wakati wa maandamano ya kudai utawala wa kidemokrasia nchini Sudan hapo jana Jumamosi. Haya ni kwa mujibu wa kamati kuu ya madaktari nchini Sudan. Kamati hiyo imedai kuwa vikosi vya baraza la mapinduzi ya kijeshi nchini humo, vilivamia hospitali...
  6. exalioth

    JamiiForums Tanzania Geita: Mume amchinja mke wake na kisha yeye kujichoma kisu tumboni

    Imetokea katika wilaya ya Mbogwe kata ya Lulembela mkoani Geita, ambapo tukio limetokea mida ya saa 6 mchana. Wawili hao wenye watoto saba imegundulika baada ya mtoto kutoka shule na kukuta nyumba imefungiwa ndani huku mziki ukiwa unapigwa (sabufa) badae mtoto akaenda kuita majirani baada ya...
  7. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Baada ya mauaji ya ajabu kutokea Kangaye Mwanza, sasa wananchi kufunga siku tatu mfululizo

    Baada ya watu watatu kufariki wakati wa mazishi na hivyo kusababisha misiba kufika minne, wakazi wa Kangaye Mwanza wameamua kufunga kwa siku tatu mfululizo kuomboleza misiba hiyo pamoja na kuombea amani katika eneo lao. Itakumbukwa siku sio nyingi wakati mazishi yakiendeleaa, mtu mmoja alitoa...
  8. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Gwiji la mauaji ya kimbari Theoneste Bagosora afariki gerezani

    Kanali katika jeshi la zamani la Rwanda aliyepatikana na hatia kutokana na nafasi yake katika mauaji ya kimbali ya mwaka 1994 ambapo watu zaidi ya 800,000 waliuawa, amefariki gerezani nchini Mali ambako alikuwa akitumikia kifungo. Théoneste Bagosora, mwenye umri wa miaka 80, alikuwa afisa wa...
  9. simulizi za kweli

    JamiiForums Tanzania SoC01 Kukosekana kwa Upendo na Msongo wa mawazo, Chanzo cha mauaji ya wanawake nchini

    Hapa nchini kumekuwa na mauaji mengi na kujeruhiana kati ya wapenzi .Taarifa ya kufunga mwaka ya 2020 ya Jeshi la polisi nchini inaeleza kwamba idadi kubwa ya matukio ya mauaji kwa mwaka 2020 yalikuwa yanahusiana na sababu za wivu wa mapenzi ikilinganishwa na sababu nyingine. Pia jeshi la...
  10. Fbn

    JamiiForums Tanzania Hizi ndizo dhambi kubwa

    Dunia inavyozidi kuendelea kuna dhambi ambazo kila kona zinaongoza kwenye billboard za mbinguni. Hizi dhambi huwezi kukosa kusikia kwenye habari hata siku moja. 1-uzinzi 2-mauaji 3-dhulma 4-ushirikina miaka nenda rudi lazima ukutane nazo
  11. beth

    JamiiForums Tanzania Marekani: Aliyehukumiwa kwa mauaji ya George Floyd kukata rufaa

    Aliyekuwa Polisi wa Jiji la Minneapolis ambaye mwezi Juni mwaka huu alihukumiwa kifungo cha miaka 22.5 kwa mauaji ya Mmarekani Mweusi George Floyd amesema atakata rufaa Derek Chauvin amedai kulikuwa na masuala kadhaa na waliotoa Hukumu dhidi yake, na Kesi haikupaswa kusikilizwa Minneapolis...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TAMWA: Vyombo vya ulinzi viwachukulie hatua kali watuhumiwa wa vitendo vya mauaji ya Wanawake na Watoto

    TAMWA, Zanzibar yaviomba vyombo vya ulinzi kuwachukulia hatua kali kwa mujibu wa sheria watuhumiwa wa vitendo vya mauaji ya wanawake na watoto Chama cha waandishi wa Habari Wanawake Tanzania, Zanzibar (TAMWA, ZNZ), kinaviomba vyombo vya ulinzi kuhakikisha vinawakamata na kuwafikisha Mahakamani...
  13. Mystery

    JamiiForums Tanzania Nadhani tulikosea kuwakabidhi Jeshi la Polisi kuchunguza tukio la mauaji ya Hamza

    Hivi karibuni kulitokea tukio la kustua na kutisha Sana, ambapo kijana mmoja anayefahamika kwa jina la Hamza, alipofika kituo cha Selander Bridge na kuwafyatulia risasi kwa kutumia bastola yake na kuwaua askari 2 na kuchukua "machine gun" yao na kuanza kuwasaka Polisi popote pale walipo na...
  14. H

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, unda tume huru kuchunguza mauaji ya Hamza

    Leo DCI ametoa taarifa aliyoiita kuwa ni matokeo ya uchunguzi. Kwangu mimi, na nadhani kwa Watanzania walio wengi, Polisi hawakuwa taasisi sahihi ya kufanya uchunguzi wa mauaji yaliyofanywa na Hamza dhidi ya polisi na pia kifo chake yeye mwenyewe Hamza. Kwa nini? Katika tukio la mauaji ya...
  15. beth

    JamiiForums Tanzania Nigeria: Shughuli kadhaa za kiuchumi zafungwa ili kudhibiti matukio ya mauaji na utekaji nyara

    Mamlaka katika Jimbo la Zamfara Nchini humo zimepiga marufuku shughuli kadhaa za kiuchumi, ikiwa ni jitihada za kudhibiti magenge ya uhalifu kufanya mauaji na utekaji. Masoko ya kila wiki yatafungwa na matumizi ya usafiri wa pikipiki yatadhibitiwa. Vilevile Serikali imepiga marufuku...
  16. kilambimkwidu

    JamiiForums Tanzania Kauli ya IGP Sirro inafikirisha kuhusu mauaji ya Mwangosi na uonevu wa polisi

    Wakati huu Sirro anapaswa kua mnyenyekevu na kuongoza vikosi vyake kujitathimini na kujirekwbisha kwa mauaji na uonevu waliofanya dhidi ya 'raia wema'. Ni kweli na ni ukweli mtupu maisha ya polisi hayana thamani yoyote zaidi ya maisha ya raia. Lakini vipigo, uporaji, mauaji na dhukuma ndicho...
  17. Zero Star

    JamiiForums Tanzania Je,ungependa jicho pevu lifanye uchunguzi juu ya mauaji ya Hamza na Polisi?

    aj Binafsi jibu ni ndio...huyu jamaa na timu yake wapo vzuri katka kufunya uchunguzi na katka kudadavua ukweli ....bila kuiogopa serikali. Naamini adi sasa tungejua mbivu na mbichi,but waandishi wa Sasa tz wengi waoga sanaa..
  18. Mystery

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi kujipa jukumu la kuchunguza mauaji ya askari, ni sawaswa na kesi ya nyani kumpa ngedere

    Jeshi la Polisi nchini limejipa jukumu la kuchunguza mauaji yaliyotokea kwenye daraja la selander, ambapo mtu mmoja anayefahamika kwa jina la Hamza, aliwafyatulia risasi askari watatu na mlinzi mmoja wa kampuni ya SGA na kuwaua wote na askari wengine kadhaa kujeruhiwa na hatimaye yeye mwenyewe...
  19. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Kuanza kuhusisha siasa kumtengenezea Muuaji kadi ya Chadema ama kuonyesha UCCM wake ni ushamba

    BINAMU HIMSELF: TUKIO LA MAUAJI SALENDER BRIDGE JANA Tukio la mauaji Salender Bridge jana Kumekuwa na hisia na hukumu nyingi kuhusiana na tukio la jana lililopoteza maisha ya watu watano. Ugaidi, kisasi, chuki vimetajwa kama sababu na baadhi ya wengi, Ilimradi kila mmoja amesema anavyodhani ni...
  20. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Kulihusisha tukio la mauaji Kinondoni na vyama vya siasa ni kukosa busara za kisiasa

    Huku sio kuchafuana au kupakana matope bali ni kukosa busara za kisiasa. Maana huwezi kusema kuwa ni Chadema yetu au Ccm yao itachafuka kwa upuuzi wa kutunga mitandaoni. Hili ni tukio baya la kuterrorise maisha ya watu kama lingekuwa motivated na chama cha siasa asingekwenda mtuhumiwa mmoja...
Back
Top Bottom