mauaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Q

    JamiiForums Tanzania UVCCM mbona hawatoi Tamko kuhusu viongozi wao wanaotuhumiwa kwa mauaji Loliondo

    Wapo madiwani wa CCM 9 na mwenyekiti wa CCM wa wilaya, mbona mko kimya.
  2. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Polisi yachunguza chanzo cha mauaji Padre Mbeya

    Polisi yachunguza chanzo cha mauaji Padre Mbeya Padre huyo aliaga kanisani kwake kwenda kufanya mazoezi Juni 10, ambapo Juni 11 mwili wake ulikutwa kwenye mto Meta jijini Mbeya akiwa amechinjwa na viungo vyake kutengenishwa na kuwekwa kwenye blanketi. By Saddam Sadick IN SUMMARY Padre huyo...
  3. chiembe

    JamiiForums Tanzania Meya Jackob akumbuka CCM ilivyowafadhili yeye na viongozi wa CHADEMA, akiwemo Mbowe, iliwahifadhi katika Ofisi zao wakati wa mauaji ya Akwilina

    Ni mwendelezo wa mahaba ya wanachadema kwa uungwana na urahimu wa CCM. Meya Boniphace katika ukurasa wake wa twitter ameonekana "kukunwa" na uungwana wa Wana CCM baada ya kupewa hifadhi wakati wanakimbia kipondo kikali na Cha haja kutoka kwa Polisi. Meya Boniphace Jackob na Mbowe pamoja na...
  4. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Baba aliyepoteza binti mauaji ya Watoto 19 kuishtaki kampuni ya silaha iliyotumika kuua

    Baba wa mtoto wa miaka 10 aliyeuawa Texas katika shambulizi la lililoua watoto 19 na watu wazima wawili anataka kuishitaki Kampuni ya Daniel Defense ambayo silaha zake ndizo zilizotumika. Alfred Garza ameitaka kampuni hiyo itoe taarifa kuhusu utangazaji wa biashara zao kwa vijana na watoto...
  5. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Mume wa aliyekuwa mwimbaji wa nyimbo za injili nchini Nigeria, amekanusha mashtaka ya mauaji ya mkewe

    Peter Nwachukwu,aliyekuwa Mume wa mwimbaji maarufu wa nyimbo za Injili wa Nigeria aliyefariki mwezi Aprili mjini Abuja amekana mashtaka yote yanayohusiana na kifo chake na madai ya unyanyasaji katika ndoa yao Kifo cha Osinachi Nwachukwu kilizua ghadhabu baada ya familia yake kudai kuwa alikuwa...
  6. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Mtuhumiwa wa Mauaji ya Buffalo Marekani akana mashtaka dhidi yake

    PaytonGendron (18) anayeshtakiwa kwa kuua watu kumi na kujeruhi watatu katika supermarket huko Buffalo (eneo likaliwalo na watu weusi) alifikishwa mahakamani Juni 2 ambapo alikana shtaka hilo pamoja na mashtaka mengine, ambapo mwendesha mashtaka akitaja ushahidi dhidi yake kuwa mkubwa Vile...
  7. U

    JamiiForums Tanzania Ndoa za Kanisani Zifutwe , tuwe na ndoa za Serikali tu, mauaji mengi

    Nashauri Ndoa za Kanisani ambazo hakuna kuachana mpaka kufa zifutuliwe mbali na badala yake tuanze na tuwe na ndoa za mahakamani tu ambapo mkuu wa wilaya hapo bomani anawafungisha ndoa, na ni rahisi sana kuitengua ndoa hii. Kwakuwa mauaji ndoani yameshika Kasi ,ambayo yanasababishwa na hizi...
  8. Mchochezi

    JamiiForums Tanzania Jirani: Kabla ya tukio la mauaji ya wanandoa, kulitokea mauzauza nyumbani kwao

    Ngonjera zazidi kuibuka sakata la mauaji ya wanandoa huko Mwanza. Leo jirani yake na Marehemu Saidi na Marehemu Swalha amehojiwa na Azam News na kusema wiki moja kabla ya kutokea kwa mauaji hayo, kulitokea mauzauza nyumbani kwa wanandoa hao. Njiwa aliyefungwa sanda alidondoka getini katika...
  9. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Rais wa Zamani wa Gambia kushtakiwa kwa mauaji

    Serikali ya Gambia imesema itamfungulia mashtaka Rais wa zamani Yahya Jammeh ambaye hivi sasa anaishi uhamishoni nchini Equatorial Guinea kwa mauaji, ubakaji, utesaji na uhalifu mwingine unaodaiwa kufanywa wakati wa utawala wake wa zaidi ya miaka 20. - Wizara ya Sheria imesema kuwa Mei 25...
  10. Lady Whistledown

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Muuguzi wa Kenya auawa na mumewe aliyempata Hospitalini hapo

    Lydia Nyaguthii, muuguzi wa Hospitali ya Tumutumu PCEA, Kaunti ya Nyeri ameuawa na mwenza wake, Stephen Muriithi ambaye walikuwa kwenye uhusiano kwa miaka 20 baada ya kukutana hospitali wakati Stephen alipofika hospitalini hapo kupatiwa matibabu Lydia alimhudumia Stephen aliyemwagiwa maji ya...
  11. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Marekani: Rais Biden asema Mauaji ya watu 10 ni ugaidi wa ndani

    Rais wa Marekani, Joe Biden ametamka kuwa tukio la kuuawa kwa watu Weusi 10 kwa risasi lililotokea Buffalo, New York ni Ugaidi wa ndani uliosababishwa na dhana ya ubaguzi wa rangi. Biden na mkewe, Jill Biden walikutana na ndugu wa marehemu na wengine watatu waliojeuruhiwa baada ya kutembelea...
  12. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Marekani na Umoja wa Mataifa walaani mauaji ya Mwandishi wa Habari wa Al Jazeera

    Marekani na Umoja wa Mataifa wamelaani vikali mauaji ya mwandishi wa habari wa Al Jazeera ambaye alikuwa anaripoti kuhusu operesheni ya jeshi la Israel katika ukingo wa magharibi. Shireen Abu Akleh, m Mmarekani mwenye asili ya Palestina mwenye umri wa miaka 51, alipigwa risasi licha ya...
  13. beth

    JamiiForums Tanzania Guinea: Rais Alpha Conde kufunguliwa Mashtaka ya mauaji, utesaji na ubakaji

    Mamlaka za Guinea zimesema zitamshtaki aliyekuwa Rais wa Nchi hiyo, Alpha Conde (84) pamoja na Maafisa wake 27 kwa makosa mbalimbali yaliyofanyiwa akiwa Madarakani. Mbali na mauaji makosa mengine wanayotuhumiwa kufanya ni mauaji, kuwekwa kizuizini kinyume cha Sheria, utekaji nyara, utesaji na...
  14. OLS

    JamiiForums Tanzania Kwanini Tume ya Haki za Binaadamu na Utawala bora haijawahi kulaani mauaji ya raia?

    Leo nimeingia katika website ya tume ya Haki za Binadamu na Utawala bora (THBUB) nimeona kwa kipindi cha 2015 hadi 2022 hawajawahi kutoa tamko la kulani mauaji ya raia yaliyowahi kutokea nchini ikiwemo mauaji ya Akwilina, na raia kadhaa kule Zanzibar kipindi cha uchaguzi. Hata hivyo imeonesha...
  15. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Watu watatu wafikishwa Mahakamani kwa kosa la mauaji yaliyotokea miaka 20 iliyopita

    Watu watatu wamefikishwa Mahakamani kwa tuhuma za mauaji ya kuua mwanamke Mkoani Mtwara miaka 20 iliyopita. Watuhumiwa hao ni wakazi wa Wilaya ya Masasi Mkoani Mtwara wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Masasi kwa tuhuma za mauaji ya mwanamke aliyetambulika kwa majina ya Nora Hamisi...
  16. Mystery

    JamiiForums Tanzania Kwanini ripoti ya mauaji ya mfanyabiashara wa madini wa Mtwara hayatolewi kwa Umma wa watanzania hadi sasa?

    Mwanzoni mwa mwezi February mwaka huu, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, aliunda Tume ya kuchunguza ya Mauaji ya mfanyibiashara wa madini, Mussa Hamisi, kwa maelekezo ya Rais Samia. Tume hiyo iliyoundwa na Waziri Mkuu, ilipewa muda wa wiki 2 kukamilisha ripoti hiyo. Tume hiyo ilikamilisha ripoti...
  17. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania DAR: Amuua mtoto wa mdogo wake kwa kipigo, aufunga mwili kwenye ndoo kisha kuutupa Ubungo

    Jeshi Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linamshikilia Mwanamke mmoja kwa tuhuma za mauaji ya Mtoto wa Mdogo wake aliyekuwa na umri wa miaka miwili (2) na miezi minne. Mtuhumiwa huyo LATIFA BAKARI (33), mkazi wa Mabibo aliachiwa mtoto huyo na mdogo wake kwa lengo la malezi na Tarehe 05/04/2022...
  18. beth

    JamiiForums Tanzania Burkina Faso: Rais wa zamani, Blaise Compaore afungwa maisha kwa mauaji ya Mtangulizi wake, Thomas Sankara

    Mahakama ya Kijeshi imemhukumu Blaise Compaore aliyeongoza Nchi hiyo kuanzia Oktoba 1987 – Oktoba 2014 kifungo cha maisha kwa kuhusika katika mauaji ya 1987 ya Mtangulizi wake, Thomas Sankara Sankara aliuawa kwa kushambuliwa na risasi katika Mji Mkuu wa Taifa hilo, Ouagadougou miaka minne baada...
  19. BigTall

    JamiiForums Tanzania MTWARA: Kesi ya Askari 7 wanaotuhumiwa kwa mauaji yapigwa kalenda

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Mtwara, leo Aprii 5, 2022 imeahirisha tena kesi ya mauaji inayowakabili maafisa saba wa Polisi hadi itakapotajwa tena Aprili 19, 2022. Akiahirisha kesi hiyo, Hakimu Mkazi wa Mahakama hiyo, Mussa Essanju amesema upelelezi wa kesi hiyo namba 1/2022 haujakamilika. Amesema...
  20. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Mtwara: Amuua Mkewe na kumzika shambani

    Kaimu RPC wa mkoa wa Mtwara, ACP Nicodemus Katembo amesema kuwa Jeshi la Polisi Mkoani humo, linamshikilia Shaibu Kuselela 58, mkazi wa kijiji cha Lipalwe halmashauri ya wilaya ya Tandahimba Mkoani Mtwara, kwa tuhuma za kumuua mkewe kisha kumzika shambani. ==================== ACP Nicodemus...
Back
Top Bottom