Guinea: Rais Alpha Conde kufunguliwa Mashtaka ya mauaji, utesaji na ubakaji

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
1651733098112.png

Mamlaka za Guinea zimesema zitamshtaki aliyekuwa Rais wa Nchi hiyo, Alpha Conde (84) pamoja na Maafisa wake 27 kwa makosa mbalimbali yaliyofanyiwa akiwa Madarakani.

Mbali na mauaji makosa mengine wanayotuhumiwa kufanya ni mauaji, kuwekwa kizuizini kinyume cha Sheria, utekaji nyara, utesaji na ubakaji. Conde aliondolewa Madarakani ya Jeshi Septemba Mwaka 2021.

Uamuzi wake wa kugombea Muhula wa Tatu uliibua Maandamano makubwa yaliyopelekea watu kupoteza maisha.

Pia soma:
1. Rais wa Guinea, Alpha Conde apinduliwa na Jeshi
2. Guinea: Jeshi lasema halitakubali kushinikizwa kumuachia Rais Alpha Conde

===
The authorities in Guinea say they will prosecute former President Alpha Condé for murder and other crimes committed during his time in office.

Mr Condé, who is 84, was toppled in a military coup last September.

A document from Guinea's public prosecutor says he is among 27 former senior officials who are facing a long list of alleged crimes.

These include murder, illegal detentions, abductions, torture, rape and kidnapping.

It seems the allegations relate to the final months of Mr Condé's time in office when the security forces were used to crush opposition to his third term.

Dozens of people were shot dead for taking to the streets.

The public prosecutor - who was appointed by Guinea's military rulers - said the case was launched following a complaint filed by FNDC - an umbrella group that spearheaded the protests.

Source: BBC
 
Na ambao waliuwa watu wengi lakini na wao wameshakufa pia washtakiwe na wahukumiwe ili ulimwenhu ujue maubaya yao
 
Back
Top Bottom