Watu milioni 1.7 kila mwaka hufa kutokana na matumizi ya bidhaa za tumbaku

Victor Mlaki

JF-Expert Member
May 1, 2016
3,548
3,460
Matumizi ya tumbaku na bidhaa za tumbaku unazidi kuwa mwiba wa Dunia. Tafiti zinaonesha magonjwa mengi yasiyo ya kuambukiza yanasababishwa na matumizi ya bidha za tumbaku.
 
Mkuu acha masihara,dunia nzima Ina watu almost bilioni 7,sasa kwa vifo bilioni 1.7 baada ya Miaka mitano ijayo dunia itakuwa haina watu kutokana na tumbaku tu,bado malaria,kansa nk
 
Dunia ina watu billion 8.
Maana yake kama matumizi ya tumbaku yangeanza 2010 basi mpaka leo dunia ingekuwa nyeupe bila mtu hata mmoja.
Je matumizi ya tumbaku yameanza mwaka huu? kama sio mwaka huu then yalianza mwaka gani?

Bila shaka unamaanisha watu Million 1.7 kila mwaka.
 
Mtoa uzi ni bingwa wa uongo.

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
 
Screenshot_20220110-034319.jpg
 
Back
Top Bottom