matumizi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Usinipangie matumizi ya sehemu zangu za siri asikika bikra akilalamika

    Nipo zangu mlimani City kwenye manbo ya kushuti Content za youtube channel yangu Tukiwa break mara wakaja wadada wawili buana mazungumzo yao yalikuwa hivi Dada wa kwanza: my dia usipotoa kwa wanaume hata kidogo wakuonje onje hautaolewa, Dada wa pili (bikra): kwahiyo mwenzetu wewe ulitoa kwa...
  2. X

    JamiiForums Tanzania Nimechoka kujifanya najua, hebu tusaidiane hapa

    Naombeni matumizi sahihi ya iko na ipo au tuko na tupo. Ukitoa maelezo na mfano wa sentensi itakuwa vizuri zaidi
  3. JamiiForums Tanzania Kuzuiliwa kwa matumizi kamili ya huduma za saa janja nchini

    Habari za muda huu wanajamvi. Naenda moja kwa moja kwenye mada.. Mpaka hivi leo matumizi ya saa janja za mkono (smart watch) yameongezeka sana hapa nchini na maeneo mengine duniani, hali hii imetokana na kuongezeka kwa uelewa juu ya teknolojia inavyoweza kusaidia kwenye maisha ya kila siku...
  4. JamiiForums Tanzania Pesa ya lodge wewe, pesa ya chakula na vinywaji wewe, mkimaliza kuzini pesa ya nauli wewe, pesa ya matumizi wewe. Kijana, tafakari una akili timamu?

    Ngono ni kitu kinachotukuzwa sana bila ya sababu za msingi. Mwanadamu ana matamanio makuu 3. 1. Kufanya ngono 2. Kula na 3. Kutawala (kuwa kiongozi, kumiliki mali na vitu vizuri). Kijana amepata kibarua siku analipwa posho yake anahaha kutafuta kabinti wakale kahela kake ambako ni kadogo. Ila...
  5. JamiiForums Tanzania China yavunja na kubomoa misikiti kwa ajili ya matumizi ya kiserikali

    Hongera China kwa hiki mnachokifanya, hakika nchi yenu itabaki na amani kwa kudumisha tamaduni na dini zenu. Endeleeni na hizohizo dini zenu za Confucianism and Buddhism, waachieni waarabu na tamaduni zao. Chinese authorities have decommissioned, closed down, demolished, and converted mosques...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini matumizi ya Condom hubaki kwa mwanaume ndiye mwenye uamuzi?

    Kichwa cha habari chajitosheleza...Yaan mwanamke hubaki kusikiliza mwanaume ameamua nini...Huwa hawajali kabisaa,awe msomi, mwanafunzi, mke wa mtu na n.k.. Wenyewe hubaki kusikiliza mwanaume kaamua nini ...
  7. JamiiForums Tanzania Hivi yale Maji ya Mvua yanayopenda Kutuama sehemu nyingi Mkoani Morogoro hayawezi Kuhifadhiwa kwa Matumizi ya Kipindi cha Ukame?

    Muda na Nguvu za Kumuonyesha Mbwembwe za Kishamba za Kimedani Adui yako Genius wa Afrika upo ila wa Kutumia Akili Kubwa ya Kuhifadhi Maji mengi yanayozagaa Mkoani Morogoro kutokana na Mvua na Mafuriko ili yaje kuwa Msaada kwa Wakulima Kipindi cha Ukame hatuna.
  8. K

    JamiiForums Tanzania SGR, JNHPP, daraja la Busisi na ndege 13 ni Matumizi mabaya ya madaraka ya Hayati Magufuli. Rais Samia achana navyo

    Mama Samia hongera kwa kazi nzuri. Kwa hayo niliyotaja hapo juu yalifanywa na Magufuli bila kutushirikisha private sector. Nakuomba ubinafsishe Kwa private sector ili Selikari ikusanye mapato na kulipana posho nzuri huku tukihakikisha wananchi wa vijijini wenye nyumba za ovyo wanalipia pango la...
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Lugangira: Matumizi ya Mitandao Katika Uchaguzi yaingie Katika Sheria

    Mbunge Lugangira: Matumizi ya Mitandao Katika Uchaguzi Yaingie Katika Sheria MBUNGE wa Viti Maalumu, Neema Lugangira ameshauri Mswada wa Sheria ya Tume Huru ya Uchaguzi uwe na Ibara inayoongelea masuala ya Matumizi ya Mitandao katika Uchaguzi ikiwemo (Akili Mnemba - AI). Lugangira ametoa...
  10. JamiiForums Tanzania Nimeliwa baada ya kutrade forex hela ya matumizi ya nyumba na nauli ya mdogo wangu kwenda shule.

    dah sijui nafanya nini mimi jamani.pesa ambayo ilikuwa ya matumizi ya nyumbani na nauli ya mdogo wangu kwenda shuleni niliingia ushawishi nikaipeleka kwenye forex. najuta sijui ntafanya nini mimi na sina sehemu ya kukopa sina mchele wala unga ndani,upumbavu wangu mimi kuipeleka laki tatu yote...
  11. JamiiForums Tanzania Nawakumbusha mwaka tu ndio umebadilika changamoto ni zile zile

    Wakati mzuri wa kushauriana wapo wanaofurahia Jan na wengine wameanza kulala jana bar nk Nawakumbusha mwaka tu ndio umebadilika changamoto ni zile zile ulizotoka nazo hulo Jifunze kutunza pesa kutumia pesa kwa heshima Alldbest
  12. JamiiForums Tanzania Matumizi ya akili

    Dar es Salaam watu Wanafanya kazi maeneo Mbalimbali. Sehemu ambayo mtu anaishi na anakofanyia Harakati zake za kiuchumi anatumia usafiri kurudi Nyumbani. Na Kila nikitazama Matukio ya watu kupigwa mtaani. Kuna Dada anauza Miogo usiku kuazia saa Moja usiku mpaka saa 4. Amepigwa ktk Mbavu. Na...
  13. JamiiForums Tanzania Tuambiane kuhusu matumizi ya jana!!

    Vipi ulitumia kiasi gani kwa ajili ya sherehe za christmass? Matumizi hayo unayaonaje utayarecover vipi january hii?
  14. JamiiForums Tanzania Unabana matumizi yako Kifedha wakati wa Sikukuu hizi au tukuache na mambo yako?

    Wakuu, pamoja na kuwa kila mtu na maisha yake na life style yake lakini ni vema kukumbushana kuwa na tahadhari kwenye matumizi ya Fedha. Bila hivyo kuna mambo yataparangana Januari au hata miezi mitatu ya mwanzo mwaka 2024. Tule bata ila kwa mipango
  15. JamiiForums Tanzania Matumizi ya picha yasiyo sahihi huweza kusababisha upotoshaji

    Kuambatisha picha katika habari yoyote ni muhimu katika kuongeza uelewa na kufafanua tukio au taarifa fulani. Ili kutumia picha katika kutoa taarifa kuhusu jambo fulani, unapaswa kuzingatia uhalali wa hiyo picha, uwiano wa picha hiyo na tukio unalokusudia kulitolea taarifa au kulifafanua...
  16. JamiiForums Tanzania Oven ya ukubwa gani itafaa kwa matumizi ya familia ya watu 6?

    Wakuu salamu kwenu, Heri ya mwaka mpya 2024. Sasa wakuu, nahitaji kununua oven kwa ajiili ya matumizi ya familia ya watu 6-8. Ni oven kampuni gani nzuri itanifaa na za ujazo wa litre ngapi?
  17. JamiiForums Tanzania Tanzania yapata nafasi katika Obiti kwaajili ya Matumizi ya Satelaiti

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Nnauye, amesema Tanzania imefanikiwa kupata nafasi katika 'Obiti' ambayo ni Nyuzi 16W itakayowezesha Matumizi ya Eneo la Anga Kidigitali ikiwemo urushaji wa Satelaiti. Endapo Urushaji wa Satelaiti utafanyika, Tanzania itaongeza uwanda...
  18. JamiiForums Tanzania Wabunge nchini Marekani wamepiga kura za kumwondoa Rais Biden madarakani kwa tuhuma za Rushwa na matumizi mabaya ya madaraka kuitajirisha familia yake

    Wabunge nchini Marekani wamepiga kura kukosa imani na Rais wao Joe Biden kwa malalamiko ya kwamba Rais anatumia madaraka yake kula rushwa, kutakatisha fedha na familia yake kuwa na utajiri wa mabilioni huku vyanzo vikitiliwa mashaka. Matokeo ya kura, Wabunge 221 wameunga mkono, wabunge 214...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Wanaficha costs za safari na sababu ya kuwa huko maana Watanzania wamekuwa wakilalamika matumizi ya hovyo ya fedha zao

    Haiwezekani Second on Top nationa l ranking administratively/power atoke nchini for 30 days halafu uwaambie wenye akili eti alikuwa kwenye kazi maalum. Watu si wajinga wajue! 1. Mnaficha gharama z safari be it matibabu or else other bussiness 2. Mnaficha ugonjwa Yatajulikana maana huko...
  20. JamiiForums Tanzania Mwitiko wa Serikali Kuhusu Maporomoko ya Katesh-Hanang: Matumizi ya 'kanuni ya sera duni' katika kukabili maafa yameonekana, yapongezwe, yaendelezwe!

    https://youtu.be/FHNY4s5ekxk "Mnamo saa kumi na mbili asubuhi, nilikuwa nimelala ndipo mume wangu aliponiamsha, akiuliza, 'hilo si tetemeko la ardhi?' Mimi na watoto wetu tulianza kukimbia nje, lakini tulijikuta tumezungukwa na matope kila mahali, na yalianza kutuburuta. Tulikwama kwa saa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…