Naomba kujuzwa kuhusu PEP na matumizi yake

Tanzaman

Senior Member
Apr 17, 2023
139
164
Ninapenda kurudisha huu mjadala hapa kwa manufaa ya wengi kuliko kuongelea private ambapo wengine hawapati uelewa halisi.

PEP tunajua ni dawa ya kutumia pale unapo hisi umaweza kuwa umakutana na mtu anaye weza kukuambukiza vizuri za HIV, kuna maswali nilikua naomba kupata maelezo .

Je PEP ukiitumia zaidi ya mara moja mfano, umekutana na mtu hana maambukizi ila kwa kuhofu ukatumia kwa mwezi mmoja, baada ya hapo ukaendelea tumia tuseme labda kwa miezi mitatu ,je ukikutana na mtu mwenye maambuizi je PEP itafanya kazi au itakua imesha zoea mwilini na kutofanya kazi? labda nieleze kwa nilicho kifanya mimi na mwenue utaalamu anieleze ni hatari kiasi gani?

Suala liko hivi, nilikutana na mtu ambaye nina wasiwasi naye kwa tabia yake , baada ya kukutana naye nika mpima kwa kipimo kile cha kujipima, alikua hana maambukizi, ila kwa kuto kuwa na uhakika , nika tumia PEP kujilinda, kwa mwezi mmoja, baada ya hapo nika cheki sina mambukizi, baada ya hapo nikafanya hivyo hivyo kwa watu wengine kama 4 juma ni kama nime tumia PEP zaidi ya miezi 5 na wote niliwapima walikua hawana maambukizi.

Tatizo nimekuja kutana na mmja ambaye sikumpima na kuja gundua ana tabia ya kulala na watu wengi na baadhi ya actions alizo zifanya kwenye tendo , zinanipelekea kuona kama alini komoa ,sasa najiuliza je kama ana mambukizi ninakuwa salama kwa kiasi gani? Sababu nilipo kukutana naye, nilikua natumia PEP na ikabidi niongeze zingine kwa mwezi mmoja ili zitimie siku 30 na zimeisha leo yani baada ya kukutana na huyu jamaa zimesha pita siku 30, leo nimekwenda kupima l nime kuta hakuna kitu, Swali ni kuna usalama gani wa kutumia PEP kwa muda mrefu na kuna madhara gani ya virusi kama unatumia muda mrefu na kukutana na mtu mwenye maambukizi? Je Pep ukitumia muda mrefu ina zoea mwili na kufanya virusi kuwa sugu kama uakutana na mwenye virusi?

Ninatype huku nina usingizi hivyo kueleweka inawez akuwa shida ,ila natanguliza shukurani .
 
Matumizi mara kwa mara ya PEP (Prophylaxis Post-Exposure) hayapaswi kuwa njia ya kawaida ya kujilinda dhidi ya maambukizo ya VVU. PEP inapaswa kutumiwa katika hali za dharura tu, kama vile baada ya kufanya vitendo vinavyoongeza hatari ya kuambukizwa VVU, kama vile kujamiiana bila kinga na mtu aliyeambukizwa VVU au kutumia sindano iliyotumiwa. Matumizi ya PEP mara kwa mara na bila sababu maalum yanaweza kusababisha madhara makubwa kwa afya yako.

Athari za dawa za PEP zinaweza kutofautiana kulingana na aina ya dawa zinazotumiwa, jinsi mwili wako unavyozijibu, na muda wa matumizi. Baadhi ya athari za kawaida zinazoweza kutokea ni pamoja na kichefuchefu, kutapika, kuhara, maumivu ya tumbo, kizunguzungu, uchovu, na maumivu ya kichwa. Hizi ni athari za kawaida na kwa kawaida huisha baada ya muda mfupi.

Hata hivyo, kuna athari zisizo za kawaida lakini zenye uzito zaidi ambazo zinaweza kutokea, kama vile matatizo ya ini au figo, kuongezeka kwa hatari ya kuwa na ugonjwa wa damu, au athari kwa mfumo wa neva. Ni muhimu kuzungumza na mtaalamu wa afya kabla ya kuanza matibabu ya PEP ili upate uelewa kamili wa athari zinazowezekana na jinsi ya kushughulika nazo.
 
Rip in advance wewe endelea na michezo ya kavu na kutumia dawa mwaka mzima ukisubiri matokeo, wewe mwenyewe hujipendi hivyo hakuna sababu ya kukupetpet once again RIP in advance
 
Matumizi mara kwa mara ya PEP (Prophylaxis Post-Exposure) hayapaswi kuwa njia ya kawaida ya kujilinda dhidi ya maambukizo ya VVU. PEP inapaswa kutumiwa katika hali za dharura tu, kama vile baada ya kufanya vitendo vinavyoongeza hatari ya kuambukizwa VVU, kama vile kujamiiana bila kinga na mtu aliyeambukizwa VVU au kutumia sindano iliyotumiwa. Matumizi ya PEP mara kwa mara na bila sababu maalum yanaweza kusababisha madhara makubwa kwa afya yako.

Athari za dawa za PEP zinaweza kutofautiana kulingana na aina ya dawa zinazotumiwa, jinsi mwili wako unavyozijibu, na muda wa matumizi. Baadhi ya athari za kawaida zinazoweza kutokea ni pamoja na kichefuchefu, kutapika, kuhara, maumivu ya tumbo, kizunguzungu, uchovu, na maumivu ya kichwa. Hizi ni athari za kawaida na kwa kawaida huisha baada ya muda mfupi.

Hata hivyo, kuna athari zisizo za kawaida lakini zenye uzito zaidi ambazo zinaweza kutokea, kama vile matatizo ya ini au figo, kuongezeka kwa hatari ya kuwa na ugonjwa wa damu, au athari kwa mfumo wa neva. Ni muhimu kuzungumza na mtaalamu wa afya kabla ya kuanza matibabu ya PEP ili upate uelewa kamili wa athari zinazowezekana na jinsi ya kushughulika nazo.
Asante sana nimetumia kwa muda mrefu itabidi niache sasa.
 
Mkuu samahani ila ondoa hofu na wanawake aisee mbona wewe muoga sana? Yani unajitesa na hayo madawa kisa kuogopa kufa na ukimwi. Ukimwi haupatikani kirahisi hivo brother
 
Asante kwa ushauri wako , kwanini unasema haupatikani kirahisi?
 
Mleta uzi ni mwanamke bila shaka.
 
Asante kwa ushauri wako , kwanini unasema haupatikani kirahisi?
Kwasababu Mungu hakuumba kirusi hiyo ni kazi ya shetani na Mungu huyo huyo ndiyo atakulinda endapo utakuwa hatarini kifupi ugonjwa wa ukimwi ni matengenezo ya pepo walio katika mfumo wa binadamu waovu ila Mungu yupo na wanadamu. Maradhi ya kweli ni yale yanayosababishwa na bakteria tuu. Ingekuwa kupata ukimwi rahisi ungekuta ninao
 
Ninapenda kurudisha huu mjadala hapa kwa manufaa ya wengi kuliko kuongelea private ambapo wengine hawapati uelewa halisi.

PEP tunajua ni dawa ya kutumia pale unapo hisi umaweza kuwa umakutana na mtu anaye weza kukuambukiza vizuri za HIV, kuna maswali nilikua naomba kupata maelezo .

Je PEP ukiitumia zaidi ya mara moja mfano, umekutana na mtu hana maambukizi ila kwa kuhofu ukatumia kwa mwezi mmoja, baada ya hapo ukaendelea tumia tuseme labda kwa miezi mitatu ,je ukikutana na mtu mwenye maambuizi je PEP itafanya kazi au itakua imesha zoea mwilini na kutofanya kazi? labda nieleze kwa nilicho kifanya mimi na mwenue utaalamu anieleze ni hatari kiasi gani?

Suala liko hivi, nilikutana na mtu ambaye nina wasiwasi naye kwa tabia yake , baada ya kukutana naye nika mpima kwa kipimo kile cha kujipima, alikua hana maambukizi, ila kwa kuto kuwa na uhakika , nika tumia PEP kujilinda, kwa mwezi mmoja, baada ya hapo nika cheki sina mambukizi, baada ya hapo nikafanya hivyo hivyo kwa watu wengine kama 4 juma ni kama nime tumia PEP zaidi ya miezi 5 na wote niliwapima walikua hawana maambukizi.

Tatizo nimekuja kutana na mmja ambaye sikumpima na kuja gundua ana tabia ya kulala na watu wengi na baadhi ya actions alizo zifanya kwenye tendo , zinanipelekea kuona kama alini komoa ,sasa najiuliza je kama ana mambukizi ninakuwa salama kwa kiasi gani? Sababu nilipo kukutana naye, nilikua natumia PEP na ikabidi niongeze zingine kwa mwezi mmoja ili zitimie siku 30 na zimeisha leo yani baada ya kukutana na huyu jamaa zimesha pita siku 30, leo nimekwenda kupima l nime kuta hakuna kitu, Swali ni kuna usalama gani wa kutumia PEP kwa muda mrefu na kuna madhara gani ya virusi kama unatumia muda mrefu na kukutana na mtu mwenye maambukizi? Je Pep ukitumia muda mrefu ina zoea mwili na kufanya virusi kuwa sugu kama uakutana na mwenye virusi?

Ninatype huku nina usingizi hivyo kueleweka inawez akuwa shida ,ila natanguliza shukurani .
Kwanini unaishi na mateso kiasi hicho mkuu,achana na zinaa ufurahie kuishi,hii ni zawadi aliyotupa Mungu,acha kuendekeza hivyo vitu...
 
Back
Top Bottom