Wauguzi wa Chumba cha Upasuaji kutoka Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) wameendelea kupatiwa mafunzo ya kuwakumbusha misingi na kanuni za matumizi sahihi ya vipandikizi vinavyotumika katika matibabu ya mivunjiko ya mifupa, ikiwa ni sehemu ya programu endelevu inayodhaminiwa na...
Habari mimi ni Mwanachama wa Red Cross Tanzania Mkoa wa Tawi la Chuno, Mtwara, Wanachama wa Red Cross tunashangazwa na uhuni unaofanyika katika taasisi hii katika uchaguzi ulioanza tarehe 22/06/2026.
Mwenyekiti wa Mkoa ambaye hata wanachama hawajui ni mkazi wa Mkoa gani anashirikiana na baadhi...
Anonymous
Thread
mabaya
madaraka
matumizimatumizi mabaya
matumizi mabaya ya madaraka
mtwara
red cross
uchaguzi
utata
Naibu Waziri Mkuu Kivuli wa chama cha ACT Wazalendo, Luhaga Mpina, amekosoa vikali muundo wa Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2026/2027, akidai kuwa kiasi kikubwa cha fedha za umma kinapotea kwenye matumizi yasiyo na uhalisia na ukopaji usio na tija.
Akizungumza leo Juni 23, 2026...
Haya hapa ni maana ya emoji zilizopo kwenye picha sc.jpeg, zikiwa zimepangwa mstari kwa mstari kuanzia kushoto kwenda kulia:
Mstari wa Kwanza (Juu)
👍 Kidole gumba juu (Thumbs Up): Inamaanisha kukubali, kuafiki, au kuonyesha kuwa kitu ni sawa/kizuri.
👎 Kidole gumba chini (Thumbs Down)...
Kumemekuwa na kawaida viongozi wengi wakiwemo Mawaziri kutembea na misafara mikubwa wanapokwenda kwenye ziara zao ikiwemo kuwasafirisha waandishi wa habari kila waendako. JE hizi bajeti hutoka wapo?
Anonymous
Thread
fedha
kodi
matumizimatumizi ya fedha
misafara
misafara ya viongozi
viongozi
walipa kodi
Malengo makuu ya miundombinu ya mabasi ya mwendokasi (BRT) ni kupunguza msongamano wa magari na kurahisisha usafiri wa haraka na salama jijini Dar es Salaam.
Hata hivyo, lengo hili linahujumiwa vikali na ukiukwaji mkubwa wa sheria za usalama barabarani. Waendesha bodaboda na bajaj wamekuwa...
Naona Kuna taasisi nyingi zimeweka mabanda hapa chilangali kuhitimisha wiki/kilele cha Utumishi wa umma jambo ambalo halina manufaa kwa Taifa,ni afadhali kungekuwa na tamasha la tamaduni kuliko haya mambo ya ajabu.
Katika kuonyesha ukosefu wa ubunifu na uzwazwa, serikali imeleta sheria inayowataka watanzania kutoa risiti kwa kila malipo wanayopokea.
Je, na akian dada na mama poa nao huwa wanazo EDFs na huwa wanatoa risiti? Je, serikali nayo inatoa risiti pale inapopokea fedha toka kwa wafadhili na...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete amesema kuwa licha ya jitihada mbalimbali zinazofanywa na Serikali, Utumishi wa Umma bado unakabiliwa na changamoto kadhaa, ikiwemo kutokuzingatiwa kikamilifu kwa sheria, kanuni, taratibu, miiko na...
Nimekuwa nikiwaza na kuwazua sana kwa muda mrefu.
Mungu ametujalia akiba kubwa ya gesi Songosongo na MnaziBay.Naelewa kila kitu huanza taratibu,lakini kwa unafuu wa bei ninaoushuhudia kwenye bei za CNG vs petrol/diesel kwa sasa ni mkubwa mno.
Tayari 5+ years magari yameweza kuwa converted...
hili jambo jamii haitaki kulisema sijui inaona aibu kuliongelea kwa vile wenye indusrty yao watasema hakuna ushahidi wa kisayansi lakini amini usiamini matumizi ya porn yanaweza kusababisha kile kinachoitwa "escalation", ambapo mtumiaji huanza na maudhui ya kawaida lakini baada ya muda...
Mdau, unatumia muda gani kwenye matumizi ya AI kwa siku?
Kutokana na ukuaji mkubwa wa teknolojia, mitandao imekuwa sehemu muhimu ya kupata ushauri, habari, elimu, burudani pamoja na kujifunza mambo mbalimbali kwa haraka zaidi kuliko zamani. Leo watu wengi wanategemea teknolojia katika kazi...
MATUMIZI YA ZABURI
Dr. Dogoli kinyamkela 💀 ☠️
1. KWA KURUDISHA MABAYA KWA ALIYETUMA (“Back to Sender”)
Soma Zaburi 51 mara moja na Zaburi 35 mara tatu kwenye maji. Kata kijiti kimoja cha ufagio vipande vitatu na uviweke ndani ya maji hayo. Kisha kunywa kiasi kidogo na uoge kwa maji hayo kwa...
Mkurugenzi wa Manispaa ya Shinyanga Amekuwa akificha barua za uhamisho zinazotoka kwa OR Utumishi kwa baadhi ya watumishi ambao ana chuki nao.
Na pia amekuwa akifanya Hamisho za ndani kwa uonevu pindi anapopishana na watumishi hao.
Mfano, Kuna dereva na Transport officer wamepelekwa...
Anonymous
Thread
barua
binafsi
chuki
kuficha
kuhamisha
mabaya
manispaa
matumizimatumizi mabaya
mkurugenzi
ofisi
ofisi ya rais
ofisi ya rais utumishi
or tamisemi
rais
shinyanga
tamisemi
uhamisho
utumishi
zake
https://youtu.be/PKlxnn1WN68?si=xbESROlkQTJU3OKI
Kupitia ALJAZERA Tv Television nimeona mjadala unaohusiana na kauli & Andiko lililotolewa na Pope Leo kuhusiana na ukuaji na kuenea kwa matumizi ya Artificial Intelligence (AI) katika maisha ya kila siku ya mwanadamu. Je analichokisema au...
Hizi ni pesa za walipa kodi na ni pesa ambazo zilipaswa kutumika kwa maendeleo ya Watanzania.
Sasa wanaletwa akina Rio Ferdinand, wacheza mieleka wapiga masumbwi na wakata viuno kwa kigezo cha kukuza utalii.
Huu ni upigaji na wizi wa pesa za umma ambao hayati Magufuli kama angekuwepo...
fedha
kati
kufanya
makonda
maliasili
maliasili na utalii
matumizimatumizi ya fedha
nchini
takukuru
uchunguzi
utalii
wanamichezo
wizara
wizara ya maliasili
MHE. GHATI CHOMETE AWASILISHA MAONI YA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE KUHUSU UTEKELEZAJI 2025/26 NA MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI 2026/27
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara Mhe. Ghati Zephania Chomete tarehe 22 Mei, 2026 akiwa katika mwendelezo wa Bunge la Bajeti Jijini Dodoma amewasilisha Maoni...
Mara ya mwisho nilikutana nae kwenye kijiwe chake cha wavuvi camp" fish point, huyu hakuwa Rafiki tu Bali alikuwa classmet wangu chuo kikuu.
Tukiwa wavuvi camp,A.K.A Fish point uku tukiwa tunaisubilia kusasamvua lisamaki kubwa, tukaanza kubadilishana story, nakumbuka aliniuliza SWALI ili na ndo...
Moja ya mambo ambayo ni muhimu ni kuhakikisha mto wami unajengwa bwawa mfano wa lile la Nyerere
Hii inawezekana sababu bonde la mto wami ni kubwa sana na liko under-utilized na bwawa likikamilika litakuwa na faida kubwa sana
Litazalisha umeme
Litaondoa kero ya maji wilaya ya chalinze, handeni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.