PART ASIFIWE MALILA
Member
- Mar 21, 2024
- 27
- 49
Washikaji eeeh
Leo ninatamani niwape taarifa kidogo kuhusu dawa imayoitwa PARAFORCE. Sasa hii ni dawa inayotumika kuua magugu, nyasi na hata kukausha mazao wakati wa mavuno mfano zao la PAMBA.
Paraforce ina ingridient inayoitwa paraquat dichloride viwango hutofautiana na muuzaji.
Dawa hii matumizi makuu ni kuua magugu, kukausha mazao kabla ya mavuno mfano mkuu ni PAMBA.
FAIDA ZA PARAFORCE
1. Inafanya kazi haraka sana
2. Inasaidia kuandaa shamba haraka bila palizi za mikono.
Je dawa ya paraforce inafanyaje kazi???
Mkulima anapopiga dawa hii inaua seli ambazo zinazopatikana kwenye magugu wakati wa photosynthesis watu wa PCB na CBG watanielewa hapa 😂😂😂😂 kwa hio baada ya muda mfupi unakuta hauna tena magugu maana yamesha nyauka.
Mambo ya msingi ya kuzingatia katika matumizi ya PARAFORCE.
1. Kwanza hakikisha kuwa unasoma maelekezo yote ambayo unayaona kwa chupa ya dawa yako.
2. Hakikisha unalinda kunusa, kujimwagia dawa hii kwa sababu ni sumu.
3. Weka mbali na watoto
Ikitokea umeinywa dawa hii au kuigusa dawa hii utaona dalili hizi
1. Maumivu kwenye koo
2. Muwasho
3. Kuharibika ngozi
4. Kuwashwa macho kama imeingia machoni.
Nb: kwa haya yote muone daktari