Makonda kachangia sana kupanda kwa ufaulu wa matokeo kidato cha 4 mkoa wa Dar

BUMIJA

JF-Expert Member
Oct 19, 2011
5,816
10,999
Huyu jamaa alikua akihimiza ujenzi wa staff nzuri za walimu wa Dar.Walimu huvutiwa zaidi na mazingira mazuri ya kazi.Viongozi wengi wanahimiza ujenzi wa madarasa na kuwasahau walimu wao.Naomba wakuu wa mikoa yote Tz waige mfano huu.
 
Kwani ili ujue umefaulu kwenda kidato cha tano inabidi uwe na alama zipi jamani maana daah niko na stress
 
Mchango wa walimu unatambulika,ila kaweka mazingira wezeshi na kuwajali sana
 
Huyu jamaa alikua akihimiza ujenzi wa staff nzuri za walimu wa Dar.Walimu huvutiwa zaidi na mazingira mazuri ya kazi.Viongozi wengi wanahimiza ujenzi wa madarasa na kuwasahau walimu wao.Naomba wakuu wa mikoa yote Tz waige mfano huu.
Shule zipi walijengewa Staff?
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom